Hii ndio mikoa ambayo Rais Samia amewekeza nguvu kubwa kuiletea maendeleo

Kwani mishahara ya Samia na maposho yote si Michango yetu na wewe ukiwemo.
Bora hizo za Samia zinabaki hapa hapa ili zikatwe kodi. Sasa zile anazochangiwa jamaa anakimbia nazo zote Ulaya.
 
Wewe uko kijijini nanjilinji huko, kamwe hauwezi kujua yanayofanyika mjini na hata ukiambiwa hautaelewa.

Subiri 2025 jamaa yenu aliekusanya michango yenu na kukimbilia Ulaya kula na familia yake ataporudi kuja kuomba michango mingine na kura za uraisi.
Kumbe mambo yenyewe yanafanyika mjini tu? Sisi wa vijijini mnatuona kama 'naniliu' tu ndiyo maana hamtujali eeh!
Kushindwa kwako kunieleza jambo hata moja lililofanyika huko mjini kunaonyesha wazi hakuna chochote kilichofanyika.
Btw, ni kweli niko kijijini, lakini siyo Nanjilinji (kilwa), mimi niko Nkotokwiana (Newala)
 
Huu utaratibu wa kina Lisu kujaza funza katika vichwa vya wanachama wao ili wawe na utaratibu wa kupinga kila kitu kinachofanyika katika mikoa yao kimewaathiri wengi kisaikolojia.

Unakuta kijana anajua kila kitu kizuri kinachofanywa na serikali katika mkoa au wilaya yao, ila kwa vile Lisu au Zito hajampa ruhusa ya kukubali, ukimuuliza atapinga tu hata kama maendeleo au miradi hiyo inafanyika mbele ya nyumba yao. Walianza kutia funza akili za vijana wa Kigoma wakawa wabishi wabishi, wakaja Arusha ikawa pinga pinga isiyo na tija, wakahamia Mbeya na sasa ujinga huo umesambaa sehemu mbali mbali.

Anyway kukubali au kukataa kwako hakutasaidia lolote. Nakuwekea miradi inayoendelea huko Mtwara japo najua kama Lisu hajakuruhusu kukubali nilikutumia basi bado utaendelea kunibishia tu.
 
Attachments

  • Screenshot_20230925-230804.png
    Screenshot_20230925-230804.png
    107.5 KB · Views: 1
  • Screenshot_20230925-230900.png
    Screenshot_20230925-230900.png
    65.9 KB · Views: 2
  • Screenshot_20230925-230951.png
    Screenshot_20230925-230951.png
    72.3 KB · Views: 3
  • Screenshot_20230925-231130.png
    Screenshot_20230925-231130.png
    79.6 KB · Views: 2
Mbeya hawapendeki hao na ninwajuaji sio sehemu sahihi kimkakati sana sana anamsaidia Spika Tulia tuu maana bila huyo huo Mkoa wangeshautelekeza una watu jeuri wajuaji na wabishi wanaotaka Ligi mda wote ndio maana ujenzi wao ni hovyo hovyo Bora liende.

Kuna Mikoa ni ya CCM hakuna Cha Upinzani kama Ruvuma,Manyara,Tabora,Katavi,Rukwa,Njombe,Iringa, Morogoro,Pwani,Tanga ,Lake zone yote kasoro Mara.

Kiufupi Tanzania hakuna upinzani labda ccm wakosee kuchaguana

Unaongea kipunguani sana, yaani Mkoa wenye watu wapambanaji kiasi cha kuwa kwenye top 3 hadi 5 ya ukusanyaji kodi ndiyo unakuja na hoja zako za mataputapu eti wanajifanya wajuaji? When since kujua imekua dhambi?
Wangekua hawachangii pato la taifa kwa kutokusanya kodi hapo ungekuwa na kila sababu ya kuwalaumu.
Au ujuaji wao unaokuumiza wewe ni kuona serikali imewatupa lakini bado wanaendelea kuwa miongoni mwa watanzania waliostaarabika kwa kusomesha watoto, kuwa na huduma za afya, nyumba nzuri za kuishi, kujitambua, kuelimika n.k?
Uwe unajipima kiakili kabla ya kutapika.
 
Vipi kuhusu tume huru ya uchaguzi??
 
Hakuna Kodi yeyeto ambayo Mbeya inakusanya zhaipo hata top 10 sana sana mko kwenye top 3 ya GDP.

Punguzeni ujuaji maana Kwa sheria za Sasa za mgawanyo wa Rasilimali hasilazimishi anaetoa sana kupata sana Bali Mali inagawanywa sawa bin sawia bila kujalisha nani amezalisha sana au kidogo hakuna swala la kula kulingana na urefu wa kamba Yako au jasho lako.

So Kwa mazingira hayo ujuaji na mdomo mdomo will cost you forever,Hadi mipango Miji mnabisha yaani ukipakana plot na mtu wa Mbeya ni shida tupu.
Screenshot_20230926-062953.jpg
 
Hakuna Kodi yeyeto ambayo Mbeya inakusanya zhaipo hata top 10 sana sana mko kwenye top 3 ya GDP.

Punguzeni ujuaji maana Kwa sheria za Sasa za mgawanyo wa Rasilimali hasilazimishi anaetoa sana kupata sana Bali Mali inagawanywa sawa bin sawia bila kujalisha nani amezalisha sana au kidogo hakuna swala la kula kulingana na urefu wa kamba Yako au jasho lako.

So Kwa mazingira hayo ujuaji na mdomo mdomo will cost you forever,Hadi mipango Miji mnabisha yaani ukipakana plot na mtu wa Mbeya ni shida tupu.View attachment 2762515
Ona unavyojikanyaga na sitapoteza muda ku deal na na vitu unavyojaribu kuviumba. Yote hiyo hako kamchezo ulikotaka Mbeya wakufanyie. Nenda Pwani watakupa hitaji la mwili na Moyo wako.
Kumbuka, kuna watu wa kuwakomoa, but Mbeya is far better kuliko asilimia zaidi ya 90 ya maeneo yote ambayo wewe unayaona ni submissive katika namna uitakayo.
Ni vyema unakiri kuwa ni sababu ya kutopendelewa ndiyo maana ipo vile, na Mbeya ipo proud kuwa kumbe ipo vile kwa jitihada binafsi basi ni jambo jema sana shikilia popcons zako vyema ujiandae kushuhudie wababe usio wataka vile wanasonga mbele. Utaratibu ni uleule, hakuna kumpigia magoti mtu na itaendelea kuwalisheni and all that...kenge kabisa nyie.
No wonder mnaingia mikataba isiyo na uwiano, kukbe ndicho mnachowafanyia hata wananchi.
 
Vipi kuhusu tume huru ya uchaguzi??
Tume huru sio sababu ya wagombea wanaoshindwa uchaguzi kusema wameibiwa.

Marekani ndio nchi yenye tume bora kabisa ulimwenguni, na nchi inayoongoza kwa demokrasia duniani, lkn baada ya uchaguzi mkuu mgombea alieshindwa (Trump) alilalamika kuibiwa kura.

Hivyo kiubinadamu, au kwa aina ya wanasiasa wetu nchini, usitegemee kuna mwanasiasa atakubali kuwa alishindwa kupitia tume huru.
 
Hakuna Kodi yeyeto ambayo Mbeya inakusanya zhaipo hata top 10 sana sana mko kwenye top 3 ya GDP.

Punguzeni ujuaji maana Kwa sheria za Sasa za mgawanyo wa Rasilimali hasilazimishi anaetoa sana kupata sana Bali Mali inagawanywa sawa bin sawia bila kujalisha nani amezalisha sana au kidogo hakuna swala la kula kulingana na urefu wa kamba Yako au jasho lako.

So Kwa mazingira hayo ujuaji na mdomo mdomo will cost you forever,Hadi mipango Miji mnabisha yaani ukipakana plot na mtu wa Mbeya ni shida tupu.View attachment 2762515
Mkuu naona unatoa darasa zuri lenye kueleweka. Sema tatizo hao vijana wengi wao wamejazwa funza katika vichwa vyao na yule tapeli anaewakamua michango afu anakimbia nayo ulaya kula na familia yake.
 
Back
Top Bottom