Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
- Thread starter
- #181
Ok mkuu.Kwa Mimi ninaomba kawekeza kote .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ok mkuu.Kwa Mimi ninaomba kawekeza kote .
Sio kama, bali nlichoandika ndio ukweli wenyewe.Mimi sio mfatiliaji wa mambo ya siasa, lakin ulichoandika ni kama kina ukweli fulani ivi
1.Kizimkazi
Bora hizo za Samia zinabaki hapa hapa ili zikatwe kodi. Sasa zile anazochangiwa jamaa anakimbia nazo zote Ulaya.Kwani mishahara ya Samia na maposho yote si Michango yetu na wewe ukiwemo.
Kumbe mambo yenyewe yanafanyika mjini tu? Sisi wa vijijini mnatuona kama 'naniliu' tu ndiyo maana hamtujali eeh!Wewe uko kijijini nanjilinji huko, kamwe hauwezi kujua yanayofanyika mjini na hata ukiambiwa hautaelewa.
Subiri 2025 jamaa yenu aliekusanya michango yenu na kukimbilia Ulaya kula na familia yake ataporudi kuja kuomba michango mingine na kura za uraisi.
Huu utaratibu wa kina Lisu kujaza funza katika vichwa vya wanachama wao ili wawe na utaratibu wa kupinga kila kitu kinachofanyika katika mikoa yao kimewaathiri wengi kisaikolojia.Kumbe mambo yenyewe yanafanyika mjini tu? Sisi wa vijijini mnatuona kama 'naniliu' tu ndiyo maana hamtujali eeh!
Kushindwa kwako kunieleza jambo hata moja lililofanyika huko mjini kunaonyesha wazi hakuna chochote kilichofanyika.
Btw, ni kweli niko kijijini, lakini siyo Nanjilinji (kilwa), mimi niko Nkotokwiana (Newala)
Ok mkuu tuko pamoja.Sawa mkuu
Mbeya hawapendeki hao na ninwajuaji sio sehemu sahihi kimkakati sana sana anamsaidia Spika Tulia tuu maana bila huyo huo Mkoa wangeshautelekeza una watu jeuri wajuaji na wabishi wanaotaka Ligi mda wote ndio maana ujenzi wao ni hovyo hovyo Bora liende.
Kuna Mikoa ni ya CCM hakuna Cha Upinzani kama Ruvuma,Manyara,Tabora,Katavi,Rukwa,Njombe,Iringa, Morogoro,Pwani,Tanga ,Lake zone yote kasoro Mara.
Kiufupi Tanzania hakuna upinzani labda ccm wakosee kuchaguana
Vipi kuhusu tume huru ya uchaguzi??Mbeya hawapendeki hao na ninwajuaji sio sehemu sahihi kimkakati sana sana anamsaidia Spika Tulia tuu maana bila huyo huo Mkoa wangeshautelekeza una watu jeuri wajuaji na wabishi wanaotaka Ligi mda wote ndio maana ujenzi wao ni hovyo hovyo Bora liende.
Kuna Mikoa ni ya CCM hakuna Cha Upinzani kama Ruvuma,Manyara,Tabora,Katavi,Rukwa,Njombe,Iringa, Morogoro,Pwani,Tanga ,Lake zone yote kasoro Mara.
Kiufupi Tanzania hakuna upinzani labda ccm wakosee kuchaguana
InakujaVipi kuhusu tume huru ya uchaguzi??
Hakuna Kodi yeyeto ambayo Mbeya inakusanya zhaipo hata top 10 sana sana mko kwenye top 3 ya GDP.Unaongea kipunguani sana, yaani Mkoa wenye watu wapambanaji kiasi cha kuwa kwenye top 3 hadi 5 ya ukusanyaji kodi ndiyo unakuja na hoja zako za mataputapu eti wanajifanya wajuaji? When since kujua imekua dhambi?
Wangekua hawachangii pato la taifa kwa kutokusanya kodi hapo ungekuwa na kila sababu ya kuwalaumu.
Au ujuaji wao unaokuumiza wewe ni kuona serikali imewatupa lakini bado wanaendelea kuwa miongoni mwa watanzania waliostaarabika kwa kusomesha watoto, kuwa na huduma za afya, nyumba nzuri za kuishi, kujitambua, kuelimika n.k?
Uwe unajipima kiakili kabla ya kutapika.
Ona unavyojikanyaga na sitapoteza muda ku deal na na vitu unavyojaribu kuviumba. Yote hiyo hako kamchezo ulikotaka Mbeya wakufanyie. Nenda Pwani watakupa hitaji la mwili na Moyo wako.Hakuna Kodi yeyeto ambayo Mbeya inakusanya zhaipo hata top 10 sana sana mko kwenye top 3 ya GDP.
Punguzeni ujuaji maana Kwa sheria za Sasa za mgawanyo wa Rasilimali hasilazimishi anaetoa sana kupata sana Bali Mali inagawanywa sawa bin sawia bila kujalisha nani amezalisha sana au kidogo hakuna swala la kula kulingana na urefu wa kamba Yako au jasho lako.
So Kwa mazingira hayo ujuaji na mdomo mdomo will cost you forever,Hadi mipango Miji mnabisha yaani ukipakana plot na mtu wa Mbeya ni shida tupu.View attachment 2762515
Hapo mmejengewa ziwaAkimaliza mikoa iyo uliotaja aje na uku kwe2 Singida.
Tume huru sio sababu ya wagombea wanaoshindwa uchaguzi kusema wameibiwa.Vipi kuhusu tume huru ya uchaguzi??
Mkuu naona unatoa darasa zuri lenye kueleweka. Sema tatizo hao vijana wengi wao wamejazwa funza katika vichwa vyao na yule tapeli anaewakamua michango afu anakimbia nayo ulaya kula na familia yake.Hakuna Kodi yeyeto ambayo Mbeya inakusanya zhaipo hata top 10 sana sana mko kwenye top 3 ya GDP.
Punguzeni ujuaji maana Kwa sheria za Sasa za mgawanyo wa Rasilimali hasilazimishi anaetoa sana kupata sana Bali Mali inagawanywa sawa bin sawia bila kujalisha nani amezalisha sana au kidogo hakuna swala la kula kulingana na urefu wa kamba Yako au jasho lako.
So Kwa mazingira hayo ujuaji na mdomo mdomo will cost you forever,Hadi mipango Miji mnabisha yaani ukipakana plot na mtu wa Mbeya ni shida tupu.View attachment 2762515
🙄mungine
TamashaHuko amepeleka mradi gani mkuu?
🤣🤣🤣Tamasha
Yani ukitumwa kutafuta wafuasi wa lisu unaweza kuja kunichukua mimi? Acha matusi ya rejareja bro!kama Lisu hajakuruhusu kukubali nilikutumia basi bado utaendelea kunibishia tu.