Hivi inawezekana kuishi kwa bajeti ya kila kitu? Chakula, mavazi, matumizi binafsi, nk?

Kuna kupanda na kushuka Kwa huduma so haiwezekani labda uweke na emergency kulingana na matumizi yako
 
Never tena?🤣🤣

Utake usitake itafikia stage utaiwazia tena sana, utapanga na kupangua, utaichungulia hela yako maana siku zote mapato yanakuwa madogo, siku zote mahitaji ni mengi.
Hapo ndo panachosha sasa maana umri nao unasogea sogea,. Ila nitajitahidi nikue nabana matumizi kadiri ya uwezo wangu,.
Ni kuomba tu huyo Mr ntakaekua naye awe na akili timamu
 
Bro unapoteza muda bana hebu muache tu, endelea na bajeti ya kitimoto roast hapo 😂😂😂
 
Sasa ni mwanamke ndo anatafuta mwanaume au vice versa?
I have made my viewpoint clear, I also understand I can’t dictate the view of others.

What is right or wrong, it depends on experience ya mtu.

Halikadhalika kwa ndoa ya mama yangu na dada zangu, hayo ni majukumu ya baba.

Hata mimi sitegemei mwenza wangu aumize kichwa kuhusu hiyo budget,

Otherwise couldn’t care less wanawake nao wana standard zao na expectations zao.
 
Haujanunua nguo mwaka wa sita??? Duhh si zinachakaa na kupauka mkuu....au ilimradi haupo uchi 😁
 
Mbon
Mbona we ndo unayetoboka sasa kukiko mumeo.
 
Haujanunua nguo mwaka wa sita??? Duhh si zinachakaa na kupauka mkuu....au ilimradi haupo uchi 😁
Tafuta gentlemen.

Unajua kuna wanaume mwanamke wake akipendeza ndio furaha yake. .

You come across as someone who hasn’t experienced a gentleman love.

Hizi sio mada zangu.

Kuna wanaume wakipenda furaha yao ni kuona mwanamke anaempenda anafuraha tu,

Ukikutana mwanaume huyo bills usingezijua kwenye maisha yako

Kuna wenzako bills, hawajui kabisa kwenye maisha yao.

Achana na machalii wa chit chat nenda jukwaa la siasa kule kuna wanaume.

Mtoto wa kiume ashindi siku nzima kuchat na watoto wa kiume.

Yaani ukiona mtoto wa kiume ana marafiki wa kike hakuna shughuli hapo.
 
Mi siioni shida mwanamke kutafuta pia kuna leo afu kuna kesho..... Bahati mbaya ya kesho provider akatangulia au akatembeza talaka???

Au talaka ndio chaaap mtu anatafuta chungu kingine ndoa shwaaaa akitangulia je??? Familia inakuaje???
 
Hapo sasa!! Mimi siamini katika kutegemea mwanaume kwenye kila kitu.
 
Hapo ndo panachosha sasa maana umri nao unasogea sogea,. Ila nitajitahidi nikue nabana matumizi kadiri ya uwezo wangu,.
Ni kuomba tu huyo Mr ntakaekua naye awe na akili timamu
Tena ukiwa mama bajeti ni muhimu sana, mama/mke asiyekuwa na bajeti nyumba inaweza kukosa maendeleo.

Ila hinafsi naamini kila mtu ana bajeti tatizo ni kukosa nidhamu.
 
Bro kwani uko kwenye miaka ipi hadi ujipigilie misumari home, haujafika 25???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…