Serious nidhamu ni tatizo,. Halafu kuna ile unafanya kitu au unanunua kitu kwasababu umekiona sio kwamba unauhitaji nacho,.Tena ukiwa mama bajeti ni muhimu sana, mama/mke asiyekuwa na bajeti nyumba inaweza kukosa maendeleo.
Ila hinafsi naamini kila mtu ana bajeti tatizo ni kukosa nidhamu.
Mkuu kama vile unaniwekea maneno kitu ambacho sipendi kwenye maisha yangu ni kumdhau mtu au mtu kuniletea dharau.mbona kama unajisifia sana kiongozi! Angalia sana aliyekupa wewe ndiye anayeweza kukushusha pia; unaweza kuamka kesho asb uko hohe hahe...
Tumuogope Mwenyezi Mungu na tuwe wanyenyekevu tusidharau wenye vipato vidogo.. kama umezaa watoto wa kike au unaye dada basi jiandae kwa haya unayowasimangia wenzako humu. Karma huwa haikosei njia..
Haupo peke yako, ndio maana machinga wamejaa kila kona kwa sababu huwa tunanunua vitu kwa vile tumeviona sio kwa vile tunavihitaji.Serious nidhamu ni tatizo,. Halafu kuna ile unafanya kitu au unanunua kitu kwasababu umekiona sio kwamba unauhitaji nacho,.
Hili inabidi nilifanyie kazi aisee lasivyo nitadhalilisha watu
Daaaah bro acha nikuunge kwenye group la kina T.I.D muwe mnachat chat π€£π€£π€£July Mwakani ndio natimiza 25 broπ,.
Hapa Nadhani ninunue gundi kabisa ili nijinatishie mazima sioni dalili za kutoka hapa
Wakizeeka unaanza kuwatisha tisha unajiona mali zako πππNikiondoka nani atarithi sasaπππ,. Mie nimejitolea kuwalea mpaka wakizeeka
Kuishi kwa bajeti maana yake nataka kujua na kuishi mwezi huu nitatumia mchele elf 10, unga elf 10 saloon 10, viatu 10 maana yake mwezi ukiisha hivyo vitu vyangu vitembee humo na sio kutumia tumia badala ya hiyo 40 ifike 95 umenielewa???
Nimeshamwomba msamaha mkuu.Huyu ni mwanamke bwana wewe
Una raha na mkeo ana raha sana hongeraYou are right Ila malalamiko kama vile ni fist person.
Sijali sana, nilitaka tu kuchana.
Wakati mimi naishi na mwanamke last time in my 20βs alikuwa hajui gharama za nyumbani na alikuwa anafanya kazi.
Sasa baba yake akiwa na shida alikuwa anantumia hela mpaka marehemu baba yake akawa anaogopa. Isije kuwa anamfanya binti yake kufanya mambo ya ajabu ili amtumie hela.
Kumbe wala mimi nilikuwa sigusi hata shillingi yake atajuwa atakavyotumia hela yake. Na kwake haikuwa na kazi zaidi ya kumtumia baba yake na kuwanunulia wadogo zake viwalo.
Same, mama yangu alikuwa na shughuli zake; lakini changamoto za ada zilikuwa zake ambazo sidhani kama maza alikuwa anazijua.
It saddens me kuona mwanamke analalamika maisha, nabaki najiuliza who did she marry kwa malezi yangu.
Anyway mta ji JJ ngonja nikatafute ugomvi kwenye siasa.
Binafsi siwezi kuwa na mwanamke mwenye kuhaha shida, I wonβt allow that
Hayuko huyo mke IΕa kuna katoto fulani insta nikikiona nipo tayari kuwaibia watanzania wanisamehe tu kwa jinsi yule binti anavyorembua macho Hakuna namna kodi yao lazima iliwe tu.Una raha na mkeo ana raha sana hongera
Hii ndio hatua ya kwanza unayopaswa kufanya kabla ya kupanga bajeti. Andika Kila kitu unachonunua. Uzuri siku hizi Kuna apps zinazorahisisha Hilo. Baada ya mwezi au miwili tumia data hizo kupanga bajeti. Kumbuka bajeti ni Sheria, utofauti ni kwamba haijapangwa na bunge ni Sheria uliyojipangia mwenyewe. Itii. Bila budget sio rahisi kutoboa.Japo ni kipengele kuishi kwenye bajeti ila kuanza anza kua unaandika matumizi yako kila siku kuanzi siku unapata kibunda.
Andika unatoa kiasi gani, umenunua nini na nini. Kama ni mtu ambae fuba linaisha hata tarehe 10 haijafika basi pitia daftari lako jiasses ni wapi umezingua, kitu gani umenunua na hakikua na umuhimu? Usijionee aibu na kujipa excuses za uongo jichane hapa ulizingua.
Utaona tu pesa yako inakimbilia wapi zaidi, kwangu niligundua kula msosi mgahwani kunamaliza mno pesa kindezi, nikaanza kunua vitu kwa jumla na kutia ndani na kupika mwenyewe sometimes kupitia darasa huru la Mwachiluwi .
Vile vyote ambavyo umeona vinakula sana pesa, viandalie njia mbadala ya kupunguza matumizi yake. Ni mpenzi sana wa bolt/boda hata mahali pasipo na ulazima wa boda, punguza. Ni mlaji hovyo wa pweza, ukwaju, juice,soda au bia bila mpangilio kila ukijiskia, punguza/control hiyo hali.
Notebook yako itafanya ujue mengi kuhusu wewe, ujue ni mianya ipi ambayo hukuizingatia ila inakula pesa kimyakimya baada ya hapo budget utaipanga kulingana na vipaumbele vyako.
Kuishi Kwa bajeti ni kujitoa.Ma bro hamjambo.......
Hili jambo huwa linanitafakarisha sana, najaribu jaribu bajeti siku chache mara napoteana, ila kiukweli siku nnazoishi kwa bajeti naona kabisa matumizi ya pesa yanakuwa vizuri.
Bajeti namaanisha kuanzia eneo la chakula nyumbani, yani unapanga matumizi na kuishi ndani ha matumizi.
Baada ya hapo matumizi binafsi mwezi huu labda bajeti ya wanja, lipstic pochi ni kiasi flani na uishi humo. Hivi hii kitu inawezekana??? Kuna watu wanaishi na bajeti hivi labda hata mwezi???
Kama inawezekana nipo serious kabisa naomba mtu anifundishe hatua kwa hatua, ikibidi mtu aniandikie, kati ya vitu nnavyotamani sana kutoka kwenye uvungu wa moyo wangu ni kuishi kwa bajeti ila sijafanikiwa π’
Natanguliza shukrani.
Ccm inawapa posho ya debe la unga, debe la maharage na debe la dagaa ili mpate shibe ya kuitukana CDM na Lissu.Nashukuru mikoani hatuna bajeti.
Unga ukiisha naingia store nachukua debe moja naenda kusaga maisha yanaendelea,
muda huu kijani kubichi, watu wako bize kuchuma mboga za majani na kuzikausha ili zitumike wakati wa kiangazi,
Nguo mpya ni mpaka Christmas tukijaaliwa π
Wewe ishi tu iwezekanavyo.Mambo ya bajeti utajifia bure!Bajeti kwa Tanzania ipo ikulu tu.Ma bro hamjambo.......
Hili jambo huwa linanitafakarisha sana, najaribu jaribu bajeti siku chache mara napoteana, ila kiukweli siku nnazoishi kwa bajeti naona kabisa matumizi ya pesa yanakuwa vizuri.
Bajeti namaanisha kuanzia eneo la chakula nyumbani, yani unapanga matumizi na kuishi ndani ha matumizi.
Baada ya hapo matumizi binafsi mwezi huu labda bajeti ya wanja, lipstic pochi ni kiasi flani na uishi humo. Hivi hii kitu inawezekana??? Kuna watu wanaishi na bajeti hivi labda hata mwezi???
Kama inawezekana nipo serious kabisa naomba mtu anifundishe hatua kwa hatua, ikibidi mtu aniandikie, kati ya vitu nnavyotamani sana kutoka kwenye uvungu wa moyo wangu ni kuishi kwa bajeti ila sijafanikiwa π’
Natanguliza shukrani.
Hii ni kweli u ajikuta unaona demu mzuri basi unahonga wee ili umkule wakati nyumbani wife yupo. Ninchangamoto kwa kweliSerious nidhamu ni tatizo,. Halafu kuna ile unafanya kitu au unanunua kitu kwasababu umekiona sio kwamba unauhitaji nacho,.
Hili inabidi nilifanyie kazi aisee lasivyo nitadhalilisha watu
Chatgpt anajibu kwa upendo hadi raha ππmwambie Chatgpt yaan anakubaruzia kabisa
Mhm wiki 320kπ²π²π²But yes inawezekana
fanya kwa week to week
150k ya chakula
120k ya usafiri
20 ya bando
30k ya others
then next week hivo hivo usiplay below that.