Hivi inawezekana kuishi kwa bajeti ya kila kitu? Chakula, mavazi, matumizi binafsi, nk?

Mimi nilikuwa naona ni ngumu sana kuandika kila matumizi pia, lakini sasa hivi natumia tu app ya Airtel Money. Kila mwisho wa mwezi inanipa breakdown safi ya kila kitu nilichotumia. Na kwa sababu karibu kila malipo yangu yapo hapo, inanisaidia sana kujipanga bila stress ya kuandika kila kitu manually kwenye notebook.
 
Hayuko huyo mke IΕ‚a kuna katoto fulani insta nikikiona nipo tayari kuwaibia watanzania wanisamehe tu kwa jinsi yule binti anavyorembua macho Hakuna namna kodi yao lazima iliwe tu.

πŸ‘‹
Handle gani anatumia nikamcheki wifi sasa wife yuko wap na ulikua hujui anatumiaje hela yake jamani
 
Hiyo app inarekodi malipo tu? Au ni kila kitu hata ukinunua apple punch inaandika??
 
Kama wewe nizee.mbusu klabu sahahu budget ni mwendo wa kumoka. Siku zote kumoka hakuna budget ni sawa na kuvuta sigara
 
Miaka miwili ya mwanzo baada ya kuajiriwa nilikuwa naishi kwa bajeti ilikuwa raha sana. Tena bajeti yangu ilikuwa zaidi ya swali lako maana nilikuwa na bajeti mpaka ya matumizi ya muda kwa siku na matukio muhimu yote ya siku jioni nayadhibiti kwenye diary. Siku hizi kilichonikumba sijui ni kisurisuri gani aisee haiwezekani kabisa kila ninavyojitahidi
 
Nmekaa na kalamu na karatasi nitaifanya kazi hii wiki nzima, kisha nitaanza na nitaleta mrejesho baada ya miezi mitatu, nikijaaliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…