Hivi wale wadada wa enzi ile JF wako wapi? Hebu watag hapa waje tujikumbushe nyuma kidogo

Jamii ya kijiditali ya enzi hizo ndio huo umri wa akina Mh. Zito, Maderu, Ridhiwani, Kitila na Mzee wa nje ya box ambao wengi wao walikuwa humu na wengine wachache bado wapo ila in silent mood. Basi ukiangalia enzi za hao tayari wamehama majukwaa na vijiwe vya kukaa kulingana na umri wao na nyadhifa walizo nazo. Humu tunabaki na mzee mwenzangu bro Mshana Jr madam Faiza na mzee wangu Mayala

Labda wewe enzi zako ni zipi?
 
Kwakweli upo sahihi
Wakati naingia ndo nilikuta hiyo gen ya chitchat ya kina lara1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…