Si Kweli,Kuna aliyeonesha nia ya kuwatafuta wahusika?Acha afanye litakalomsuuza moyo wake.Naamini kila akiziona hizo ndege anaona sura ya mbaya wake.
Akafilisi madeniLeo akizungumza na Waandishi wa Habari ,
Wakili msomi wa kwenye majukwaa Bwn. Tundu Lisu amesikika akijinasibu kuwa kesi yake dhidi ya Tigo na serikali ya Tanzania kuhusiana na madai ya kuvujishwa kwa data za mawasiliano yake ambayo mpaka sasa madai hayo hayajathibitishwa pasi na shaka yeyote,
Endapo akifanikiwa madai yake ya mapesa, basi atakua akikamata tu ndege zetu huko nje.
Hii si mara ya kwanza kwa Lisu kupambana na ndege za ATCL kwani uvumi upo kwamba yeye ndiye aliyemshtua yule mkulima kuzikamata ndege zetu huko nje.
Inashangaza namna huyu mgombea Urais wa Taifa hili asivyopenda kuona maendeleo kwa Taifa lake.
Hataki kuona ndege zikiruka.
Tuna mashaka na uzalendo wake, aligombea urais 2020 ili akafanye nini?? Akaliue Shirika au aifilisi nchi.
Tuna mshaka nae.
Zile 2 zilizokamatwa mwanzoni, moja Canada na nyingine South Africa, alisababisha nani ? Unaweza kuweka clip ya sauti akidai hayo?Leo akizungumza na Waandishi wa Habari ,
Wakili msomi Bwn. Tundu Lissu amesikika akijinasibu kuwa kesi yake dhidi ya Tigo na serikali ya Tanzania kuhusiana na madai ya kuvujishwa kwa data za mawasiliano yake ambayo mpaka sasa madai hayo hayajathibitishwa pasi na shaka yeyote.
Endapo akifanikiwa madai yake ya mapesa, basi atakua akikamata tu ndege zetu huko nje.
Hii si mara ya kwanza kwa Lisu kupambana na ndege za ATCL kwani uvumi upo kwamba yeye ndiye aliyemshtua yule mkulima kuzikamata ndege zetu huko nje.
Inashangaza namna huyu mgombea Urais wa Taifa hili asivyopenda kuona maendeleo kwa Taifa lake.
Hataki kuona ndege zikiruka.
Tuna mashaka na uzalendo wake, aligombea urais 2020 ili akafanye nini? Akaliue Shirika au aifilisi nchi.
Tuna mshaka naye.
PIA SOMA
- Tundu Lissu kuiburuza Tigo mahakamani
Kama kawaida yako, kwenye ubora wako.Huwa anagombea urais kwa ajili ya nini kama hapendi maendeleo kwa Taifa lake.
Usimpangie cha kukikamata au kukiacha.Kila ubaya ulipwe kadiri ya dinari zitakiwazo.Si Kweli,
Hizo ndege mbona anazipanda mara Kwa mara?
Lissu aachane na ndege zilizonunuliwa Kwa JASHO letu, kuendelea na hatua hiyo, tutamwona anatumika na watu Fulani wasio na Nia njema na Taifa na Uchumi na raslimali zetu.
Mijinga mingi nchi hii hailijui hili, imepotezwa na propaganda za sisiem na kuaminishwa watu wa muhimu kama hao kuwa ni maadui wa taifa...hakuna mwanasiasa na mwanaharakati ametumia taaluma yake kuwapigania Watanzania kama Tundu Lissu " Simba wa Tanganyika. "
Napinga Kwa nguvu zote Lissu au mtu yeyote kushanbuliwa.Usimpangie cha kukikamata au kukiacha.Kila ubaya ulipwe kadiri ya dinari zitakiwazo.
Endelea kupinga hadi uchoke.Napinga Kwa nguvu zote Lissu au mtu yeyote kushanbuliwa.
Lakini hili la Nchi kushtakiwa, ndege zetu zikamatwe Ili Lissu alipwe fidia napingana nalo Kwa nguvu kubwa.
Suala hili liende kijinai Si kiuchumi!!
Leo akizungumza na Waandishi wa Habari ,
Wakili msomi Bwn. Tundu Lissu amesikika akijinasibu kuwa kesi yake dhidi ya Tigo na serikali ya Tanzania kuhusiana na madai ya kuvujishwa kwa data za mawasiliano yake ambayo mpaka sasa madai hayo hayajathibitishwa pasi na shaka yeyote.
Endapo akifanikiwa madai yake ya mapesa, basi atakua akikamata tu ndege zetu huko nje.
Hii si mara ya kwanza kwa Lisu kupambana na ndege za ATCL kwani uvumi upo kwamba yeye ndiye aliyemshtua yule mkulima kuzikamata ndege zetu huko nje.
Inashangaza namna huyu mgombea Urais wa Taifa hili asivyopenda kuona maendeleo kwa Taifa lake.
Hataki kuona ndege zikiruka.
Tuna mashaka na uzalendo wake, aligombea urais 2020 ili akafanye nini? Akaliue Shirika au aifilisi nchi.
Tuna mshaka naye.
PIA SOMA
- Tundu Lissu kuiburuza Tigo mahakamani
Waliomshambulia Lissu washtakiwe, wakamatwe na wafungwe na wafilisiwe Mali zao Ili kumlipa fidia.Endelea kupinga hadi uchoke.
Kama wanaotakiwa kuchunguza hiyo jinai wameonesha hawana nia na hawataki hilo jambo litokee(kuwakamata wahalifu)unadhani Lissu atafanyaje?Waliomshambulia Lissu washtakiwe, wakamatwe na wafungwe na wafilisiwe Mali zao Ili kumlipa fidia.
Ndege zetu hazihusiki hata kidogo,
Ni sawa tu udhulimiwe na Abdul Kisha fidia ukamdai Mwajuma!!
Sasa ndio atushtakie ndege zetu zikamatwe?Kama wanaotakiwa kuchunguza hiyo jinai wameonesha hawana nia na hawataki hilo jambo litokee(kuwakamata wahalifu)unadhani Lissu atafanyaje?
Rejea:Ukitaka aliyekuudhi aumie sana,umiza mtu au kitu akipendacho.Sasa ndio atushtakie ndege zetu zikamatwe?
Hilo halikubaliki.
Atumie ushawishi wake kisheria kuwashughulikia wao na Mali zao binafsi hao waliohusika.
Una uhakika gani kwamba kuwa na hizo ndege ni maendeleo kwa taifa la Tanganyika?Leo akizungumza na Waandishi wa Habari ,
Wakili msomi Bwn. Tundu Lissu amesikika akijinasibu kuwa kesi yake dhidi ya Tigo na serikali ya Tanzania kuhusiana na madai ya kuvujishwa kwa data za mawasiliano yake ambayo mpaka sasa madai hayo hayajathibitishwa pasi na shaka yeyote.
Endapo akifanikiwa madai yake ya mapesa, basi atakua akikamata tu ndege zetu huko nje.
Hii si mara ya kwanza kwa Lisu kupambana na ndege za ATCL kwani uvumi upo kwamba yeye ndiye aliyemshtua yule mkulima kuzikamata ndege zetu huko nje.
Inashangaza namna huyu mgombea Urais wa Taifa hili asivyopenda kuona maendeleo kwa Taifa lake.
Hataki kuona ndege zikiruka.
Tuna mashaka na uzalendo wake, aligombea urais 2020 ili akafanye nini? Akaliue Shirika au aifilisi nchi.
Tuna mshaka naye.
PIA SOMA
- Tundu Lissu kuiburuza Tigo mahakamani
Aumize Mali binafsi za waliohusika kumshambulia,Rejea:Ukitaka aliyekuudhi aumie sana,umiza mtu au kitu akipendacho.
Muoneshe ili awaumize.Aumize Mali binafsi za waliohusika kumshambulia,
Ndege zetu hazihusiki asilani!!
Amesema anawajua,Muoneshe ili awaumize.
Uamuzi ni wake.Amesema anawajua,
Awashtaki hao wamlipe,
Aachane na ndege zetu zilizotokana na JASHO la Watanzania maskini.