Hotuba ya Rais Samia Bungeni: Kuboresha Kilimo na Uvuvi, Kukutana na Wanasiasa, Awaonya wanaopotosha Mitandaoni, ATCL kulindwa, Wanawake kuzingatiwa

Usafiri wa anga .... utanuzi wa ndege mikoani na kiwanja kikubwa dodoma
 
Anasoma, mwangalie kwa makini kuna upande anasoma half badae anageuka anafafanua baadhi ya points
Ukitaka kujua anasoma wewe sikiliza kwa makini kuna muda anakosea na anarudia maneno mara mbili mbili.
 
Naona Kristofa Ole Sendeka anatafakari wakati wenzake wanamsikiliza Mhe. Raisi
 
Kulifanyia uchambuzi wa kina , watakaoaminiwa ni watu wenye uweredi
 
Leo watajisaidia kitandani hii hotuba inawachoma sana na kunawatu wamezima tiv wameingia chumbani kulia saizi.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…