Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,229
- 50,144
Anasoma, mwangalie kwa makini kuna upande anasoma half badae anageuka anafafanua baadhi ya pointsNgoja tuta sikia
Comment za wana genzi lkn assumption yangu HASOMI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anasoma, mwangalie kwa makini kuna upande anasoma half badae anageuka anafafanua baadhi ya pointsNgoja tuta sikia
Comment za wana genzi lkn assumption yangu HASOMI
Kuna kitu kinaitwa autocue.Naangalia kwa makini sioni akiinamisha kichwa kusoma, kama kakariri basi mama yuko vizuri
Ukitaka kujua anasoma wewe sikiliza kwa makini kuna muda anakosea na anarudia maneno mara mbili mbili.Anasoma, mwangalie kwa makini kuna upande anasoma half badae anageuka anafafanua baadhi ya points
Achana na hao vichaa mskize Mama.Hivi wabunge wanashida gani kupiga vigeregere? Kisa ATCL ama Nini?
Ndio nimeona hilo saivi baada ya kumfatilia kwa makini.Ukitaka kujua anasoma wewe sikiliza kwa makini kuna muda anakosea na anarudia maneno mara mbili mbili.
Kuna mmoja anasinzia balaaNaona Kristofa Ole Sendeka anatafakari wakati wenzake wanamsikiliza Mhe. Raisi
Leo watajisaidia kitandani hii hotuba inawachoma sana na kunawatu wamezima tiv wameingia chumbani kulia saizi.😂😂😂😂😂Hao ni zero brain wa Mafia Boss Mbowe.
Wanataka avunje bunge, mara afukuze Majaliwa, mara afukuze Dotto James, mara afukuze nani sijui. Ukiwauliza makosa yao, hawana majibu eti maria sarungi kasema, sijui fatuma karume kasema ama kigogo kasema. Hawa ndio wanaomba Lissu awe rai awateue kwenye nafasi za uongozi nchi hii.
AnasomaNgoja tuta sikia
Comment za wana genzi lkn assumption yangu HASOMI
Yuko ndani ya ukumbi wa bunge bwashee!