Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 11,050
- 31,412
Technologia gani hii mkuu, na Ni Nani ana idrive maana naona kila paragraph ana geuka kushoto kuliaBoth...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Technologia gani hii mkuu, na Ni Nani ana idrive maana naona kila paragraph ana geuka kushoto kuliaBoth...
Kiitifaki rais wa zanzibar yuko juu ya makamu wa rais.Hivi kwa nini kwenye hotuba ya Rais Samia, Rais wa Zanzibar anetajwa kabla ya Makamu wa Rais wa JMT,. Kiitifaki yupi ni mkubwa hapa....!!?
Ok, ila naona inamzingua kidogo hadi anakunja suraKuna teleprompter
Yes kwa mujibu wa ufinyu wako wa uelewa wa katibaAwamu ya sita ipi?
Raisi wa sita awamu ya tano
Technologia gani hii mkuu, na Ni Nani ana idrive maana naona kila paragraph ana geuka kushoto kulia
Hao wengi ni Nyumbu.Kuna wanao dhani ata vunja bunge, humu vihiyo niwengi sana mkuu
Ukikinunulia pampaz kichanga chako hapo tayari umekalipia kodi.Mama aanza kuonyesha uchanga wake kwenye uchumi, anasema Tanzania ina walipakodi 60m; hata watoto (minor) wapo kwenye uwigo wa kulipa kodi?
AutocueHuyu anasoma au anatoa kichwani?
Team Barakoa wamefanyaje tena?😂😂😂Hadi muda huu nawaonea huruma team Barakoa
Huwezi kuwa seriousKiitifaki rais wa zanzibar yuko juu ya makamu wa rais.
Kwenye sector binafsi mama, badilisha kwanza sheria ambazo mwendazake aliziweka za kutaka serikali ndio ifanye biashara pekee na kujikuta makampuni binafsi mengi yamefunga biashara maana serikali inafanya yenyewe.Kufanya kazi kwa karibu sana na sekta binafsi
Ha ha ha kapoteana kwenye fikra zako, maana kile unachotamani akiseme hasemi.Mama kaanza kupoteana.
Hayo maneno tuuAnapigilia msumari "Kuaminiwa na jeipiemu ndiyo kumenifanya niwe Rais wa Tz wakwanza mwanamke "
Mbona Lipumba kavaa?Wale wa Tai nyekundu wameishia getini au wameruhusiwa kuingia!? 😜😜😜
Naangalia kwa makini sioni akiinamisha kichwa kusoma, kama kakariri basi mama yuko vizuriHii hotuba ina somwa au anatoa kichwan maana sion kama kashika karatas