Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Renew....Nini maana ya kuhuisha?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Renew....Nini maana ya kuhuisha?
Kukipa kitu uhaiNini maana ya kuhuisha?
Toto la kitanga
Hana nafasi kabisa.Namuona Jiwe karudi kivingine...
Jichunge usiendeshwe na mihemko,huyu ni mwanasiasa kama wanasiasa wengine huwa wanasema hivi vitendo watakavyofanya na waliyoyasema hugeuka mbingu na nchi.Mengi yameshatajwa mkuu. Huyu mama ni tunu kwa taifa. Ichongwe sanamu yake na ziwekwe kwenye roundabout zote nchini.
Shukran mkuu. Nimejifunza kitu leoKufufua. Kukipa kitu uhai mpya.
Msikilize president sasaWanasemaga mashallah