Hotuba ya Rais Samia Bungeni: Kuboresha Kilimo na Uvuvi, Kukutana na Wanasiasa, Awaonya wanaopotosha Mitandaoni, ATCL kulindwa, Wanawake kuzingatiwa

Hotuba ya Rais Samia Bungeni: Kuboresha Kilimo na Uvuvi, Kukutana na Wanasiasa, Awaonya wanaopotosha Mitandaoni, ATCL kulindwa, Wanawake kuzingatiwa

Nawasalimu kwa jina LA JMT,Leo tar...22/4/2021 kama ilivyo haleluya kuu iimbavyo katika siku ya pasaka ndivyo kilisikika kigelegele kikuuu katika viunga vya Bunge la JMT Dodoma,kilichopigwa kwa sauti ya kipeekee ya juu madaha,ustadi Mara baada ya wimbo wa tuna Imani na Mh.Samia kusikika....kigelegele hicho kitakatifu kilipasua anga za bunge kwa sauti ya juuu sana...hata hivyo haijajulikana ni mbunge yupi mwenye sauti hiyo ya ndege aliyekipasua....ama kweli watu wanajua kutetea ugali wao....life is too short sio kwa ubaya amenifurahisha sana aliyekipasua. Kazi iendelee.
 
Bongo bwana! Eti wale makamanda waliokaa pale wametambulishwa kwa "makapeni" pale nyuma ya viti vyao... TAKUKURU, DRUGS N.K
 
If you don't know history,it is as if you were bone yesterday!
 
Serikari IPO tayari kupokea ushauri wa wabunge na watu wengine wenye nia nzuri na taifa
 
“Vyombo vya utoaji haki vijielekeze katika kutenda mambo ya haki kwa wananchi na tutaendelea kuimarisha taasisi zingine za utoaji haki kama ofisi ya taifa ya mashitaka,ofisi ya wakili Mkuu,mwanasheria mkuu wa serikali na jeshi la polisi,” -RaiSuluhuSamia
 
Hayati alikuwa ni bure kabisa!!! Hatimaye kuna kila dalili ya Taifa kupata ahueni baada ya mateso ya muda mrefu.
 
Mengi yameshatajwa mkuu. Huyu mama ni tunu kwa taifa. Ichongwe sanamu yake na ziwekwe kwenye roundabout zote nchini.
Jichunge usiendeshwe na mihemko,huyu ni mwanasiasa kama wanasiasa wengine huwa wanasema hivi vitendo watakavyofanya na waliyoyasema hugeuka mbingu na nchi.

Hifadhi post yangu hii mwakani rudi hapa uniambie.
 
Back
Top Bottom