Hussein Machozi: Nilitaka nimpige risasi Ruge, show nililipwa milioni 12 akanipa milioni 1 tu

Unachoandika kisome kwanza, wewe zungumzia pesa kwanini zirudishwe huo ni ukandamizaji
nyie hamjui tu michezo inayoendeleaga kwenye malipo ya serikali hapo sio RUGE tu alikata chake ni kuanzia kwa wanaoidhinisha malipo na waliopitisha jamaa atoe huduma hapo 5% za kodi imekatwa yaani ni mauza uza tu kwenye malipo ya serikali,kuna hadi mamluki kwenye malipo hadi ya posho mbalimbali kwa mfano unaingizwa uhudhurie kikao fulani ambacho hakikuhusu na posho ni nene ila unapewa masharti na aliyekupeleka ukipokea posho yako ni kiduchu na mzigo uliobaki umkabidhi ni balaa unaweza kulia.
 
Nakuelewa sana na biashara ni Imani hata mi kariakoo nimefanya sana ila sio kiwango Cha 12-1 hapo kama Ruge achukue 7 mi 4 sawa maana huenda nae Kuna wale atawapoza kupata deal zingine ila 01 hapana
Wewe unaamini at that time kuna mwendawazimu yeyote alikuwa anaweza lipia 12M kwa performance ya Hussein Machozi?

Milioni 12 kwa mtu kuimba demu kafia ghetto? Hivi hamuoni uongo wa wazi humu.
 
Ukisikilza story za wasanii wengi mbali na njaa zao na umbumbu wao kuwaponza unagundua Ruger pia alikua ni mkandamizaji asiekuwa na haya usoni kabsa…chipukizi wanalijua hilo mfano chibu alisema aliombwa kijana konde akapige show fieest aliposema wanamlipaje akasema wanamsaidia kumtangaza ndo malipo yake akasema fresh, bas mta-mgharamikia yeye na madancer wake mavazi kwenye kila stage atakayopanda Mzee Ruger aligoma anataka apewe msanii free free na msaniii ajigharamikie mavazi kote atakapo mtumia Chibu akamwambia muache hapa akae ndo akaachwa nae kupgwa kweny media zake. Baraka da pri alshasemaga alijigharamikia show stage zote alzopanda kipnd anatoka.

Wakiume walinyonywa kivyao na wakike walifanywa mboga. Walitoboa kwa mbinde sana.

All in all utajiri hautaki sura flati unataka ndita😑
 
Daah aisee umeandika sana ila hakuna ukweli hapa pesa za kupewa mkononi wakina Ruge zina kodi kweli...
tatizo wabongo mnakuwaga wabishiwabishi unaijua ata ITA kweli,ukitoa huduma yoyote kwa serikali na kama wewe ni resident lazima wachukue /withhold 5% ya malipo kwa mfano umewalisha kwenye semina,umepiga show kwenye mikutano yao nk
 
hayo Maneno yake tu yanaonesha huyo machozi hajitambui

Yaani show yenyewe amezipata kwa kwenda kumuomba ruge amuweke.

Kwa nini yeye mwenyewe asiandike proposal ikulu kwa ajili ya kuomba tenda awekwe kwenye show hiyo ya kumkaribisha magufuli?
Sio sababu ya kuhalalisha upigaji aliofanyiwa, hata Harmonize alipigwa sana na wasafi, mikataba bongo ya hovyo sana na ukiwa hujiwezi ndio unapigwa zaidi
 
juliana kanyomozi wa UG vile au KENYA?
 
Haka kadogo kaongo sana. Hata Bastola hakajui shika. Wenye Bastola huwa hatusemi huu upuuzi.
 
Na serikali wanalipa balaa bajeti ni za kuandika tu pesa za kutosha ukiwa gvt servant hautakiwi kuzionea uchungu,ukijifanya una huruma wenzako wanazipiga halafu uwa kuna utaratibu wa malipo pesa zinapigwa kuanzia juu hadi zinamfikia anayelipwa 80? imekatwa,RUGE mwenyewe hapo unakuta kapigwa na hajui
 
tatizo wabongo mnakuwaga wabishiwabishi unaijua ata ITA kweli,ukitoa huduma yoyote kwa serikali na kama wewe ni resident lazima wachukue /withhold 5% ya malipo kwa mfano umewalisha kwenye semina,umepiga show kwenye mikutano yao nk
Umesoma juzi wenzio tuna zaidi ya miaka 20 tumefanya paper za bodi hela zipi za kugawana wanazotembea nazo viongozi zina kodi hiyo taarifa anayotoa CAG kuhusu matumizi yasioeleweka ya baadhi ya taasisi za Serikali unadhani ni matumizi yapi CAG anatoa taarifa na zipo mtandaoni mkuu jaribu kupitia pitia kidogo.
 
kwa malipo ya serikali iyo ni kawaida sana kwa mfano MRISHO MPOTO wanavyomtumia kwenye mikutano yao ni analipwa vizuri ,pia malipo uwa na ujanja ujanja lazima na viongozi wachukue chao kupitia malipo yako ivyo lazima waandike fungu kubwa
 
Sina hofu 'cause me sio mbuzi wa shughuli
Ninanvyokata hizi vesi bila wasi (wasi)
Nitakaza mpaka mwisho labda nife kesho
Hii sio ngoma droo mjomba ushindi lazima (hii leo)
Hii sio ngoma droo mjomba ushindi lazima (leo)

Hizo kunde sina kabisa mpangonazo (mpangonazo)
Najua wazi mashuzi zitaniongezeamo
Walizani nacheza natania (tania hii leo)
Mungu inshaallah kanipandisha​
 
hayo Maneno yake tu yanaonesha huyo machozi hajitambui

Yaani show yenyewe amezipata kwa kwenda kumuomba ruge amuweke.

Kwa nini yeye mwenyewe asiandike proposal ikulu kwa ajili ya kuomba tenda awekwe kwenye show hiyo ya kumkaribisha magufuli?
Unadhani ni rahisi hivyo kama kumiliki tako?
 
In three words sentence you want to tell the world that 'Ruge was killed'
 
Kijana wangu Husein Machozi namfahamu tokea akiwa mtafutaji Mkoa wa Kagera akiishi hapo Karega Sugar Camp. Kijana mpenda haki na hataki manyanyaso. Hongera mzee wa Gheto. Ruge amewaumiza na kuwatapeli sana wasanii akiwemo Saida Karoli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…