Twilumba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 12,576
- 14,522
Ukiona Mungu ameruhusu kiongozi mkubwa wa Taifa kuondoka katikati ya utawala wake, yakupasa kujiuliza sana aina ya uongozi wake!Baada hata ya miaka 1000, hii clip itaonyesha kwamba msaliti wa taifa anapaswa kuuawa! Na Magufuli ataonekana ni kiongozi bora sana aliyetimiza hilo la kudeal na wasaliti wa taifa.
MUNGU HAPENDI UONEVU, MUNGU HADHIHAKIWI