IKULU: Rais awataka Msajili na Vyama vya Siasa kutafuta njia bora ya kufanya mikutano ya hadhara nchini

Wajadili nini na wote wateule was mkuu,
Mkutano wa wadau halafu unamwalika Spika.
 
acheni kutisha watu wanapotoa maoni,kwani uongo?
Kanuni na miongozo si vipo Sasa hapo wanataka Nini Tena au ndio umungumtu kama ilivyo ada ya watawala wa Afrika kuishi Kwa matamko na kuvunja katiba?
Shame!
Nadhani kukosoa hakuna shida yoyote.
Shida ipo kwenye kumtukana RAIS. Kumwita RAIS fool ni utovu wa adabu.
Lakini tunajua ni malezi tu hayo yamekosekana.
 
... the best way ni kuzingatia Katiba inavyosema; Msajili anaweza na always yuko biased! Msajili na Katiba nani superior? Mbona Katiba ya nchi inapuuzwa namna hii?
Kaziiendelee
 
Haelewi anachofanya. Sasa kulikuwa na maana gani kuwa na sheria hizo?
 
KATIBA IMEELEKEZA KILA KITU NANI AFANYE NINI TATIZO KUNA CHAMA HAKITAKI VYAMA VINGINE VIFANYE MIKUTANO NA KINATUMIA POLISI
 
Hivi CHADEMA kinawalaza macho sana eeh.. Maana bila kukitaja hampati raha kabisa
 
KWA MATUSI HAYA KWA RAISI WETU, MIMI NAONA AENDELEE KUWAZUIA MIKUTANO YENU YA HADHARA. KWELI MAMA WAWATU ANAHANGAIKA NAMNA HII KULETA MWAFAKA WA SIASA MUMEANZA MATUSI MAPEMA HII??
Kwa mujibu wa katiba yetu Rais hana mamlaka ya kuzuia au kuruhusu mikutano ya siasa.Mikutano ya siasa ipo kwa mujibu wa katiba yetu pamoja na sheria zetu.

Wewe unaongea mambo yasiyoeleweka ya Rais kuzuia mikutano ya siasa, labda utakuwa umechanganyikiwa kama yeye au umebeba mzigo wa umbumbumbu kichwani mwako kama yeye pia.
 
Daaah
 
KWAHIYO ANASITAHILI KUTUKANWAA??
 
Tatizo wewe ni pumbaavu wa katiba ya nchi hii!
 
KWAHIYO ANASITAHILI KUTUKANWAA??
Ametukanwa wapi?Wewe ukiwa kichaa kisha ukatokea mahali halafu watu wakasema kuwa yule kichaa anakuja,hao watu watakuwa wanakutukana?

Tunamwita ni mbumbumbu kutokana na matendo yake pamoja na maneno yake.

Unataka tumwite kuwa ni mwerevu wakati anafanya mambo ya umbumbumbu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…