Ipi sifa yako kuu moja inayoelezea personality trait yako?

Mimi bingwa la kukurupuka kama Kasongo.
 
Deep down ni mtu mwenye misimamo mikali inayopelekea kuwa mkali kupitiliza kiasi cha kutoa adhabu Kali hata kwa kitu kidogo pia mwenye visasi visivyoisha.
 
Kuto kujihusisha na ya watu kutafanya nije kususiwa msiba wazee

Mswahili usipojihusisha na yake kwa wema tu, tafsiri yake kwenye ndonga yake ni moja tu "unajiona, mjeuri na unajidai"

Nitakuja kuanzisha uzi wa kwanza humu kuomba msaada waswahili wakiwa wamenisusa na wamenikinai na Nahisi Iyo vita inakaribia veri soon
 
Dawa yako 31 zipo 6 na wewe ulibana Bromapoakaajaa 🤣
Ushaelewa code 🤣🤣🤣
Aibu uliifichia wapi sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…