Iran imerusha makombora kwenye base za USA za Qatar na Iraq

Ilianguka USSR sembuse Iran iliyogawanyika gawanyika
i
 
Piga Gaidi mkuu,Marekani,huyo Marekani ndio Gaid Mkubwa.
 
Yaan mim Israel ikipigwa hata kama naumwa najisikia kupona nasikia rahaa ajabu nawachukia hap watu mim ,Marekan angekaa pembeni tuone Israel taifa la shetan anakaaje umbwa
Tandika Magaidi IIsrael,na ndio Magaidi hao Israel
 
Ilianguka USSR sembuse Iran iliyogawanyika gawanyika

i
Mkuu, Unafikiri Marekani ni Mjinga kutaka cease fire au kwamba hawezi kumpiga Iran? Iran kakaa kwenye moyo wa uchumi ulipo kwa hivi sasa, we fikiria Iran akifunga njia ya kupita meli za mafuta Hali itakuaje duniani? Much worse akisema mnataka kuangushwa kwa serikali yangu na Mimi naharibu visima vyenu middle east Unafikiri Marekani kutakalika??
 
Kwa hiyo kile kiapo Cha US watajuta, ndio haya maroketi 6?

Irani wangechutama tu aisee.
Marekani wangechutuma,wanapigwa kote kote,wanapigwa base zao,wanapigwa Israel,Gaidi Marekani yuko hoi.
 
Hakukaliki,Trump presha iko juu
 
Gaidi Marekani,anakula kichapo kote kote,nyuma nq mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…