Iran Imethibitisha Kuwa Kiongozi Mkuu, Ayatollah Ali Khomeini ameuawa

N furaha yangu kuona makobaz wakipelekewa moto 😂
 
Wewe unachuki sana na uislamu lkn haitasaidia mimi nashangaa waislamu wamewakosea nini humu?
Hata mimi nilikuwa najua haya mambo yana udini lakini nilipoona Iran inazishambulia Saud, Qatar, UAE, Kuwait, Jordan nk

Nikajua hili jambo linapotoshwa sana na sisi wachangiaji kuingiza maswala ya kidini.
 
Kwani huyu ni mshirikina?
 
Namuonea huruma mkuu Reuben Challe kumuelewesha mtu mwenye ubongo kama wako
Analazimisha kuwa ukiwa na rafiki muislamu basi ni lazima um-support Ayatollah. Anasahau hata wale watu 3000+ waliouliwa na huyu kiumbe ni waislamu pia. Siwezi kamwe, ku support miuaji yenye roho mbaya kama hilo lizee
Madikteta kama hawa wakiangushwa kwangu ni furaha 24/7
 
Trump endelea kuwapelekea moto bado wanapumua hawa makobaz, bado kobaz mmoja malaya hapo tanzagiza nae awaishwe akaungane na bikra wngn 72 apelekewe moto na Ayatollah kabla hajachoka
 
Wakati mwingine jifunze kuwa kimya Mkuu! Jipe muda wa kutafakari! Unataka kusema Ayatollah Khamain hakujua vita inakuja! Hiyo military machineries alikuwa anadhani ni utani? In short ni kama unasema Iran ni mazezeta!

Tulia kidogo Adiosamigo.....Tafakari labda unaweza kupata njia ya kuwasaidia jamaa zako wa Iran.
 
Hata mimi nilikuwa najua haya mambo yana udini lakini nilipoona Iran inazishambulia Saud, Qatar, UAE, Kuwait, Jordan nk

Nikajua hili jambo linapotoshwa sana na sisi wachangiaji kuingiza maswala ya kidini.
Kabisa, haya ni masuala ya kisiasa na kimaslahi sio ya kidini.
Sijui nani alidanganya Watz kuwa kui support Iran ndio ku support uislamu
Ingekuwa ni udini Iran asingeanza kulipua airport za wenzake
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…