Iran yapeleka malalamiko rasmi Baraza la Usalama la umoja wa mataifa

Haya masenge kweli.

Walipoishambulia Israel walikuwa wanatekeleza mkataba Gani wa umoja wa mataifa??
Naona hilo tusi ujirudishie mwenyewe.
Mbona Israel ni yenye kulalamika UN kila ikiguswa!?
Kwahiyo Israel kulalamika ruksa ila Iran ikilalamika wasenge!??
Aisee akili za wabongo bana.
Tena Israel ikiguswa inaenda UN ila kufuata sheria za UN haitaki ikikutwa na makosa.
Tulieni Iran inatumia njia zenu wagalatia soon mtatema bungo.
 
hahahahha wakati wao wanawashambulia Israel wala hawakupeleka ombi Umoja wa Mataifa!ila kawagusa kidg tu wameshakimbilia UN
 
Kama ni kweli Iran kafanya ivo bhc tutaona umoja wa mataifa utakua upande gani?
US imewekea vikwazo nchi nyingi mnoo
Leo hii watu wanakasirika taifa teule lisipigwe ban
Ni mwendo wa Veto tuu
 
Unajiona bonge la mchambuzi,rudia tena kusoma haya mashudu yako kama hujajiona mjinga.
 
Duh si walisema Israel ikijibu wao watalusha makombora elf kumi sasa imekuwaje tena
Usiwe mjinga na wewe., hiyo ni kama kuwahi kupeleka hayo malalamiko ili ionekane Israel inavunja sheria na miakataba ya kimataifa lakini haimaanishi kwamba Iran haitaiadabisha Israel.
Wewe hufahamu chochote kuhusu mikataba na sheria za kimataifa

Kwanini hujiulizi russia kwanini haipigi nuclear kule ukrean ili mambo yakaisha? au kwanini US hawaipigi urissi nuclear mambo yakaisha ni kwamba wanabanwa ni sheria za kimataifa vita vinaenda kwa hatua. Mpaka leo US hawajawaruhusu Ukrean kutumia long range kuipiga russia moja kwa moja ni kwa sababu hizo hizo.
 
Aliyeandika barua ni Iraki kulalamikia Israel kutumia anga lake kushambulia Irani.
 
Hawa Iran ni mazwazwa haswaa!
Wamesahau wao ndio wameshambulia Israel tena mara mbili!
 
Iyo inaitwa for the records, Yajayo yana furahisha.

Sipendi vita, ila nafurahi kuona ngozi nyeupe zikionja madhara ya vita, kwasababu wamekua wachochezi sana wa amani barani africa bila kujali, maisha ya raia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…