Iran yapeleka malalamiko rasmi Baraza la Usalama la umoja wa mataifa

Eti Iran isionekane wakorofi,kwani Hama's ambao ndio chanzo cha yote yanayotokea kwa kuishambulia Israel na kuua raia 1200 na Iran ndio wanaowafadhali pamoja na makundi yote yanayoishambulia Israel,huo siyo ukorofi?.

Iran imeishambulia Israel mara kadha huo wote siyo ukorofi?.
 
Aliyeandika barua ni Iraki kulalamikia Israel kutumia anga lake kushambulia Irani.
Iran awachape Iraq kwa kukiuka amri aliyoitoa kuwa nchi yoyote itakayoruhusu Israel kutumia anga lake kuishambulia ataichapa.
 
Kijana nadhani wewe ni miongoni mwa wale nilowakataza kuni quote maana hamuna hoja bali mnaropoka mihemko.
Ugomvi haukuanzia Oktoba 7,ugomvi ulianzia toka Agosti 2023 IDF ilipogawa silaha kwa israel settlers na kuvamia mashamba ya Khani younis na kuwapiga raia wa Gaza na kulazimisha upanuzi wa makazi Jenin refugee camps.
Haya yote yalijadiliwa katika vikao vya Cairo Summit na UNGA,ndio maana unaona Gutteres anasema ugomvi haujaanzia Oktoba 7 ndio maana unaona mataifa makubwa kama Spain, Belgium,Brazil yalivunja uhusiano wa kidiplomasia na Israel.
Pia kaa ukijua makundi haya chanzo chake ni uchokozi wa Israel.
Kama Israel isingemuua msuluhishi wa Norway na kukwamisha uundwaji wa Palestina basi Hamas isingeundwa na kushika silaha.
Shida huna unalojua.
Usiwe unani quote.
 
Wewe naye chenga yaani ili USA amuwekee vikwazo Iran lazima apitie UN? Mnatia aibu badilikeni aisee.
Ona unaanza kuropoka sasa.
Vikwazo vya USA vitafanyaje kazi kimataifa kama sio kupitia UN!?
Unatumia hata akili kidogo kaka!?
Vikwazo vya uchumi aliviweka kupitia UN na vikwazo vya silaha na nuclear aliviweka kupitia UN nuke watchdog.
Na bahati mbaya vya nuke vimeisha UN wakamruhusu uchakataji nuke na uundaji silaha hata USA alivyogoma vikwazo vyake vikawa havina nguvu maana majority imekubali kumuondolea.
 
Sa we mjukuu wa mkosa nyumba unadhani Iran kufanya vile nidhaifu? Hio ni siasa atakapo mchakaza Israel na yeye asipigwe sunction. Hapo weka akilini Iran kamkusudia safari hi kipondo kizito sana utakuja niambia hapa.
 
cc: Ritz, FaizaFoxy
 
Iran ilitakiwa itandikwe vya kutosha ili mashariki ya kati kuwe na amani. Ngoja ajibu shambulizi aone cha moto. Ni bora akae kimya tu
Ww unatamani kupigana na mtu usiomweiza hapo ndo uwezo wake amejistretch ww kwa mwezi mmoja ndo akaleta hicho ww ulitaka afanyaje ..kama kimekuuma sana kamsaidie kulipiza iki aman unayoitaka urudi ...
 
Hawa jamaa wanadhihirisha walivyo wajinga!
Mjinga wewe usiyejua diplomasia,unaanza kumtia ubaya kwanza mtu anayeonekana mtakatifu na kupenda kutumia kete ya 'haki ya kujilinda'
 
Iran hajapigwa kabisa,Mzayuni ameshangazwa.jana .Allahu akbar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…