Dujia inazunguka haraka sana! Pesa anayoichezea leo ipo siku ataikumbuka!Staa mwenye cash bila dili za matangazo jana alimfanyia mtoto wake wa pekee sherehe ya kipaimara iliyomgharimu zaidi ya million 100! Kwa kweli ilikuwa ni sherehe ya kifalme.View attachment 2199981
Hiyo sio sketi ni vazi la kinaija.Halafu watu wakianza kumuita mwanae shoga anakuja juu.
Sisupport kudhalilishwa mtoto kwa kuitwa shoga kutokana na muonekano wake lakini kuna baadhi ya mambo huyo mama anachangia kumtukanisha mwanae.
Na wale wanaosema hayo ni mavazi ya kinigeria, yapo ya aina nyingi yasiyojumuisha sketi kwanini achague ya sketi.
Kati ya Buckingham na Jumba la kifalme la Japan hiyo sherehe kwenye picha ilifanyika wapi?Ukialikwa Buckingham Palace kwa mwaliko rasmi, unavaa Sketi ya Scottish Knight. Ukialikwa kwenye Jumba la Kifalme la Japan, unavaa Sketi iitwayo Japanese Kimono.
Sio makosa yangu kwa wewe kutojua literary meaning.Kati ya Buckingham na Jumba la kifalme la Japan hiyo sherehe kwenye picha ilifanyika wapi?
Nini hiki?View attachment 2201735
Mwingine huyu hapa
There is nothing literal on the examples you have given. The point being made was the kind of cloths a child has been made to wear considering his gender.Sio makosa yangu kwa wewe kutojua literary meaning.
Mama yoyooNini hiki?
Ualikwe au usialikwe. Tuache kuvaa sketiUkialikwa Buckingham Palace kwa mwaliko rasmi, unavaa Sketi ya Scottish Knight. Ukialikwa kwenye Jumba la Kifalme la Japan, unavaa Sketi iitwayo Japanese Kimono.
And who has told you that clothes are worn based to gender? If you're in Dar es Salaam, go to Open University, Biafra Office and ask to see Professor Mary Kitula. You'll get a good lesson on gender!There is nothing literal on the examples you have given. The point being made was the kind of cloths a child has been made to wear considering his gender.
There would have been a bit of relevance should the function have happened in Nigeria (in consideration of your Buckingham and Japan examples) thus my rhetorical question (I expected no response).
Anyway to each his own. Usiku mwema.
Well they are not based 'to' gender rather based ON gender.And who has told you that clothes are worn based to gender?
Duuu kumbe mpo wengiVazi la kinaigeria Ilo.hakuna gauni apo