Matovu Godfrey
JF-Expert Member
- Oct 5, 2025
- 986
- 693
#MO29πImportant Statement from the Foreign Ministers of π¨π¦ π¬π§ π³π΄ expressing concern and calling for restraint in Tanzania - GOV.UK
Taarifa Muhimu kutoka kwa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa π¨π¦ π¬π§ π³π΄ wakielezea wasiwasi wao na kutoa wito wa kujizuia nchini Tanzania.
View attachment 3496361
#MO29 πΉπΏ #OktobaTunatoka #tanzania #FreeTunduLissu #wakeupTanzania #FreePolepoleNow #struggle_for_africa #riseupTanzania
Ma keyboard warriors wote wanapost saa hizi, sasa nani alikuwepo kwenye mapambano ya kuikomboa nchi kama bado mko hai?Kuna watu walikuwa wanasema maandamano hayatakuwepo, acha niwatag ππ
Lucas Mwashambwa huyu jamaa ni chawa mkubwa wa Samia humu JF, Samia aking'olewa madarakani sijui ataweka wapi sura yake πππ
Stuxnet fundi wa matusi huyu. Sasahivi haamini macho yake
ChoiceVariable kijana wa Mbeya halafu ana support CCM wakati CCM imeisahau Mbeya na kuinyima maendeleo muda mrefu. Thank God watu wa Mbeya ni intelligent wameandamana na kupinga serikali katili ya Bi Chura
Robert Heriel Mtibeli Mwanzo alikuwa ana support sana maandamano baadae akaacha, akaanza kuandika thread ndefu za kukatisha tamaa maandamano na kutuletea utabiri wake uchwara eti maandamano yatafeli vibaya. ππ
Lucha huyu dada siku za mwanzo alikuwa anapretend kuwa hana side yoyote, hayupo upande wa wananchi wala CCM. Lakini akawa anakandia sana wananchi na kuwaita nyumbu, waoga na kwamba hamna watakachofanya. Siku za mbele akazidi kujionesha kuwa ni Pro CCM, alikuwa mkali dhidi ya comments za kumpinga Samia. Haya, kiko wapi ππ
Tulia bidada, tuna misiba mingi Tanzania. Sina muda wa kujibizana na machawaMa keyboard warriors wote wanapost saa hizi, sasa nani alikuwepo kwenye mapambano ya kuikomboa nchi kama bado mko hai?
Key board warrior na matako makubwa sababu ya kukaa sebuleni, usituchosheTulia bidada, tuna misiba mingi Tanzania. Sina muda wa kujibizana na machawa
Hili ***** lilibishana na genius na wapumbavu wenzie wa masjid wakampa like na kingereza chache kwa kutafutia mabasha wa kizungu kule Zanzibar. The IcebreakerYou only have time to be mentally unstable and emotionally reactive when you have too much free time. Smart people focused on clear goals don't throw tantrums every time they don't get their way. The world doesn't revolve around you and no one cares. Stay calm, understand your problems, and fix them. There is no other way.
AhhhNi sahihi. Maandamano yameishia mtandaoni kwani hakuna serikali itakayoruhusu maandamano yaliyopangwa zaidi ya miezi 3 yafanikiwe.
MhhhTuliwaambia maandamano hakuna wakajikuta Wana mdomo sana angalia aibu ilivyowakuta nakawambia wanaanza kutafuta excuses
OhoooNimeamka saa sita usiku naendelea na maandamano .Sikati tamaaa
Asee wewe kajamaa sikuona hii comment yako.Mpo salama!
Kwa waliopo Dar hii haijawahi kutokea. Hata siku ya jumapili haiwagi hivi. Barabara ni nyeupe sana sijapata kuona. Fikiria Morogoro road unaweza ukavuka barabara ukiwa umefumba macho. Barabara ambayo kwa hapa Tanzania ndio iko busy 24/7 kwa siku zingine kwani ndio barabara lango la mji wa Darisalama.
Daladala zipo moja moja yaani kila baada ya dakika kumi hivi wakati siku nyingine hapakaliki.
Siku ya leo kama Lisu akichukuliwa akawekwa ndani ya gari siri ya nyuma. Ili aonyeshwe hali ilivyo hakika ataumia kuliko alivyopigwa risasi au kuliko alivyowahi kupata maumivu wakati wowote katika maisha yake.
Hata Polisi, Askari na serikali hawajategemea mambo yawe rahisi kiasi hiki. Wenyewe hawaamini kama Watu wangeweza kuwasaliti wengine kwa kiwango hiki. Hii ndio tafsiri ya Usaliti.
Kwenye maisha yako. Hakuna jambo baya kama kutetea watu wajinga na maskini wasiokuwa tayari kutetewa.
Kwa hizi barabara zilivyo unaanzia wapi kuandamana. Ni nyeupe ajabu. Nilitokea Kimara mpaka ubungo kweupe kuna doria za hapa na pale za askari.
Nimeenda njia ya Mwenge, kisha makumbusho, nimerudi Magomeni mpaka mjini, posta kumepoa. Aiseeh!
Yaani hapa ukibeba bango lako hata askari wenyewe watakucheka sana. Barabara zimekumeza. Unakuwa kioja na kituko.
Nimehoji baadhi ya askari huku kwenye doria kutaka maoni yao kuhusu hali ilivyo wenyewe wanashangaa sana. Wanasema hata kama ni uoga sio wa kiwango hiki. Ni uoga uliopitiliza sana.
Zaidi wanasema wanajisikia uchungu kwa taifa kupata aibu kwa wananchi wake kushindwa hata kujitokeza walau pawe busy na vyombo vya kimataifa vipate kazi ya kufanya.
Upande wa wapiga kura hali yao bado ni mapema kueleza situation ilivyo. Ila baadhi ya watu niliokutana nao asubuhi hii ni kama wanategeana.
Hawaelewi kama watapiga kura au hawatapiga.
Kwa ujumla siku ya leo;
1. Serikali imeshinda, vyombo vya usalama, Dola vimeshinda kwenye hii vita.
Inaweza kuonekana ni jambo rahisi lakini wamejitahidi pakubwa.
Ubao unasoma 2-0 dakika bado ni zamapema.
2. Waandamanaji sio tuu wapo nyuma kwa bao moja lakini pia kimchezo wamezidiwa. Uwanja umeinama.
Hawachezi kama timu. Timu yao imevurugwa na kuvunjwa vunjwa.
3. Kuna uwezekano leo asipigwe hata mtu mmoja. Yaani kusiwe na fujo ya aina yoyotem yaani hata rungu moja hutosikia.
4. Wapiga kura watakuwa wachache sana. Kwa hali Ilivyo.
Ingawaje hii haiwathiri upande wa serikali. Wao lengo lao siku ya leo ipite salama. Pili watakaojitokeza hata kama ni elfu moja haohao watatumika kueleza kwa kulikuwa na uchaguzi.
5. Baada ya siku ya leo nini kitatokea?
a) Waandamanaji watakuwa wamekatishwa tamaa na watakuwa wamepata aibu kubwa ambayo sijui kama itaisha hivi karibuni.
b) Waliokuwa vinara mtandaoni watakasakwa wiki za mwanzoni za mwezi November kisha serikali itaachana na mambo ya uchaguzi kwani hang over na tension ya uchaguzi itakuwa imeisha.
So ni vizuri kama ulikuwa mstari wa mbele kuhamasisha maandamano wiki hizi mbili ujitahidi sana kujificha. Ukifanikiwa basi utakuwa umeokoka.
c) Matusi mitandaoni yatarudi tena kutukana sasa waandamanaji kwa kuwa waoga na kunguru. Kenya watatukana Sana watanzania.
d) Maridhiano ya kitaifa kufanyika na wale waliokamatwa kwa sababu za kisiasa na kiuchaguzi kuachiliwa.
e) Kusafisha baadhi ya taasisi za dini na kuunda sheria mpya zitakazobana taasisi za dini kujihusisha na siasa.
f) Influencers wa mitandaoni kubanwa zaidi na kuwekewa sheria za kitaaluma, na kimaudhui na kikodi.
Kwamba bila kiwango fulani cha taaluma kuna mambo haupaswi kuyajadili mitandaoni kama muanzisha maudhui na influencer.
Ila ku-post mambo personal kama picha zako utapewa uhuru.
g) Bado vuguvugu la waliotekwa, kuuawa na kupotezwa litaendelea kusakama huku kelele za wanaharakati mmojammoja wakiwa wanajitahidi kukumbushia.
h) serikali muda huo itafanya jitihada kuwasahaulisha watu habari hizo na mambo ya kukamatana kamatana baada ya mwezi mmoja kuelekea 2026 yatapotea. Jambo ambalo litafanya wale wanaharakati wanaokumbushia utekaji n mauaji kuchokwa na watu kama sio kupuuzwa.
I) mwaka 2026 utakuwa mwaka wa kitofauti sana.
J) Lisu atakuwa ameachiwa lakini atakuwa amekata tamaa. Sio kwa sababu ya kunyoroshwa na Serikali bali kutokana na Wale anaowapigania kumnyorosha, kumsaliti na kumtelekeza.
Poleni wote. Hayo ndio maisha.
TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
akitoka , hali ya wazenj utakuwaj ?Ndiyo awamu aliyokuwepo ilikua kamshikilia john pombe yeye awamu yake ndio kwanza anaianza kmme mtaisoma namba machogo π
Hope the dick you sucked, helped to awaken your inner self.Mpo salama!

Huyu jamaa anajikuta mjuaji kuliko watu woteHoped the dick you sucked, helped to awaken your inner self.
mwafrika anaefuraia mauti ya mwafrika mwenzie bas huyo ni zaid ya shetan?Key board warrior na matako makubwa sababu ya kukaa sebuleni, usituchoshe
Soma comment ya Roba, utajua jamaa chenga wa sinza.Alieleta huu uzi na waliousapport mtakufa vibaya sana ππΏ
Vipi Mwafrika anaye haribu au kuiba mali ya mwafrika mwenzie kwa kisingizio cha maandamano??mwafrika anaefuraia mauti ya mwafrika mwenzie bas huyo ni zaid ya shetan?
Siku nyingine usishangilie ushindi kabla ya filimbi ya mwisho.Mpo salama!