Jaribu kujenga picha kichwani mwako, kwamba wewe ndio Diamond na ukiimba huo wimbo unalipwa shilingi milioni 500 au zaidi.
... sanaa ya kuhamasisha wengine wapigwe risasi? He could do better than that please! Ana tofauti gani na Interahamwe!
 
... sanaa ya kuhamasisha wengine wapigwe risasi? He could do better than that please! Ana tofauti gani na Interahamwe!
Huko USA wanapoishi wafadhili wa miradi yetu ya afya watoto wa shule za msingi wanawapiga risasi waalimu na wanafunzi wenzao, wewe unashangaa hapa Tanzania.

Punguza roho za wivu, zitaishia kuiumiza tu nafsi yako.
 
Huko USA wanapoishi wafadhili wa miradi yetu ya afya watoto wa shule za msingi wanawapiga risasi waalimu na wanafunzi wenzao, wewe unashangaa hapa Tanzania.

Punguza roho za wivu, zitaishia kuiumiza tu nafsi yako.
... kwa hiyo ndio jamaa alikuwa anahamasisha ili na sisi tufikie level hizo?
 
... naye akatumia sanaa kukoleza ubabe na kuchochea chuki ndani ya jamii! Cheki kipande cha mashairi yake; unayatafsiri vipi?

Magufuli baba lao, Makonda baba lao...
CCM baba lao, Wapinzani piga risasi
Tuna polisi, tuna jeshi...wamekwishaaa!
Tatizo watu wengi wanapenda kutunga uongo juu mtu, hizo lyric mstari wa mwisho hazipo kwenye nyimbo zake.
Lyric ya nyimbo husika hii hapa:-
It's S2kizzy beiby)
(Ayolizer)
Magufuli baba lao (Baba lao)
Joseph baba lao (Baba lao)
John Pombe baba lao (Baba lao)
Magu baba lao (Baba lao)
Eeeh Ma Samia mama lao (Mama lao)
Majaliwa baba lao (Baba lao)
Bashiru baba lao (Baba lao)
CCM chama lao
Kona kwa kona, chocho tuchocho
Kwa wakubwa mpaka watoto
Magu anazidi pamba moto
Wapinzani matumbo joto
Mmechoka eti? (Aaah wapi)
Mnataka lala? (Aaah wapi)
Wapinznai watatuzidi? (Aaah wapi)
Wataweza huu muziki? (Aaah wapi)
Sasa twende kisa mjini sambamba
Magu anazidi bamba
Anafufua na viwanda
Ndege zetu tunapanda
Wataweza kweli? (Aaah wapi)
Kushindana nasi (Aaah wapi)
Hata wakiungana (Aaah wapi)
Matusi kututukana (Aaah wapi)
Magufuli baba lao (Baba lao)
Joseph baba lao (Baba lao)
John Pombe baba lao (Baba lao)
Magu baba lao (Baba lao)
Eeeh Ma Samia mama lao (Mama lao)
Olepole baba lao (Baba lao)
Mzee Mangula baba lao (Baba lao)
CCM chama lao
Majib Selema
Hadija Selema (Selema)
Wananchi wamesema
Tunashinda tena (Eeh tena)
Wanadhani kura mseleleko
Eeeh tunawakwepa
Watabaki masononeko
Eeeh tunawacheka
Kwanza kunja gaju (Eeh kunja gaju)
Nikupe mikakati (Eeh mikakati)
Ameleta mwendo kasi
Barabara juu na kati
Eeh shule za kata (Ni bure)
Sekondari (Ni bure)
Hospitali (Ni bure)
Kwa wazee (Ni bure)
Sisi twashinda tena
Sisi CCM twashinda tena eeh
Magu anashinda tena
Magu Magu anashinda tena eeh
Samia anashinda tena
Mama Samia anashinda tena
Sisi twashinda tena
Sisi CCM twashinda tena eeh
Magufuli baba lao (Baba lao)
Joseph baba lao (Baba lao)
John Pombe baba lao (Baba lao)
Magu baba lao (Baba lao)
Eeeh Makonda baba lao (Mama lao)
Eri James baba lao (Baba lao)
Juma Mabogi baba lao (Baba lao)
CCM chama lao
Mzuka ukipanda
Na hili shati navua (Acha uongo)
Mzuka ukipanda
Na hili bukta navua(Acha uongo)
Jamani navua (Acha uongo)
Mama navua (Acha uongo)
Mwenzenu navua (Acha uongo)
Eeeh kuna BASATA!
Basi napiga Yope (Huwezi)
Oooh napiga Yope (Huwezi)
Magu napiga Yope (Huwezi)
Ma Samia napiga Yope (Huwezi)
Eeh! Eeh! Eeeh! Eeeh! Eeeeeh!
Eh! Eh! Eh! Eh Eh! Eeeh!
Wabunge napiga Yope (Huwezi)
Madiwani napiga Yope (Huwezi)
Wajumbe napiga Yope (Huwezi)
Wenyekiti napiga Yope (Huwezi)
Eeh! Eeh! Eeeh! Eeeh! Eeeeeh!
Eh! Eh! Eh! Eh Eh! Eeeh!
 
... kwa hiyo ndio jamaa alikuwa anahamasisha ili na sisi tufikie level hizo?
CCM kwa bongo hii huwezi kuikwepa, vumilia tu kumuona anaimba wakati wa kampeni. Unaongelea kuua ukisahau kuwa kuna mengi sana mema yanafanyika nchi nzima.

Chuki za kitoto zitakutesa tu.
 
Kwanini unaizungumzia CHADEMA wakati hakuna mahali chama kimetoa tamko lolote? Kwanini unaihusisha chadema kwenye hili? Kwani wanaharakati kina Fatuma Karume, Maria Sarungi na Kigogo ni viongozi wa CHADEMA?
 
Kwanini unaizungumzia CHADEMA wakati hakuna mahali chama kimetoa tamko lolote? Kwanini unaihusisha chadema kwenye hili? Kwani wanaharakati kina Fatuma Karume, Maria Sarungi na Kigogo ni viongozi wa CHADEMA?
Kwani lisu sio kiongozi?
 
Kama ndivyo basi duniani pasingekuwa na neno adhabu kwa kosa lolote ili mtu ajifunze
 
CHADEMA ni chama cha hovyo sana na hao wanaharakati uchwala, wasanii wote wa Tanzania wameshiriki kwenye shughuli za CCM na hiyo ilikuwa biashara ina maana hata wao wangemtaka si wangeweka hela mezani akaenda kwenye shughuli zao huu ni upuuzi wa kiwango cha lami
 
Mi nauliza tu hivi huyo Diamond ndo nani kwani?
 
Mijitu mipumbavu et inataka kumharibia dogo wa Tandale wakati hana tatizo na mtu anatufuta pesa kwa jasho lake tuwe wazalendo tupende vya kwetu..kama lile Choko wanaliita mwijaku sijui kama halina shanga kiuononi na mwenzake H baba hana tofauti Asha Ngedere wanaongea shombo za kichoko kwa mwanaume mwenzao
 
Asante
 
Hahahahaha
 
Kwani wewe unaona kutetea haki ya wwliodhulumiwa ni vibaya?

Kwa nini mhusika yuko kimya au asiombe radhi? Kila mtu ashindwe mechi zake
 
Ndugu punguza mihemko kidogo utuambie ni wimbo upi alisema wapinzani wapigwe risasi
 
Hii ni ishara nzuri tu kuwa hiki chama tunachokishabikia bado haijakomaa kushika nchi
 
Mwijaku alianzisha hii kampeni mapema kabla ya chadema..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…