Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatimae umepata pa kutolea nyongo iliyokuwa inakutesa.NA KWENYE SHOO ZAKE ATAENDA YEYE NA MKEWE
Sema alikuwa adui yako, wapo aliowatendea mema wengi tu ukitoa maharamia wachache waliopata stahiki zao kwa umafia waliokuwa wanaufanya uko nyuma kwenye tawala legelegeRAFIKI WA ADUI YAKO NI ADUI YAKO DIAMOND ALIKUWA RAFIKI WA JPM NA JPM ALIKUWA NI ADUI NA MTESI WA WATANZANIA .
Ndio mtaji wako huo, uchawi ma roho mbaya! Ndio maana bila shaka umefeli maisha maana maneno yako ni wazi una kisirani na kufeli kwako sasa unatafuta pa kupatia faraja..NA KWENYE SHOO ZAKE ATAENDA YEYE NA MKEWE
Wrong thinkingHamas na Hezbollah zilianza hv hv kujifanya ni watetezi wa watu then wakaanza kutumia nguvu kusambaza ideology yao kwa nguvu na kulazimisha kila mtu kuamini na kufata itikadi yao na leo vimekuwa vyama vya kigaidi ndo naona uelekeo wa chama fulani hapa Tanzania wanapita njia zile zile za Hamas na Hezbollah kutoka kwenye vyama vya kisiasa mpk kuwa vyama vya harakati mwisho kuwa vyama vya kigaidi .
Historia inaonyesha kwamba wasanii wanaojielewa husimama na wananchi kipindi cha mateso na huwa sauti ya wananchi na pia hukubali kuteseka pamoja nao. Ukiona msanii anasimama upande wa watawala wanaovunja katiba wazi wazi,wanaminya uhuru wa kujieleza, wanabana vyombo vya habari na kuzuia demokrasia hao hawafai duniani na hata mbinguni.Habari za wakati huu wakuu.
Naomba kuzungumza nanyi mnaojiita wanaharakati pamoja na wafuasi wenu.
Hiki kinachoondelea huko mitandaoni sio tamko rasmi la Chama kuwa sasa wameamua kufanya vile, ila ukimya wa viongozi juu ya hili jambo unanambia kuwa chama kimebariki.
Mi naomba mnifafanulie kidogo kwanini mnafanya hivi kwa uyu kijana mtafutaji kama ninyi mlivyo watafutaji ila mlijioficha kwenye pazia la siasa.
Hivi ni kweli Diamond ndo kikwazo cha nyinyi kufikia malengo mliojiwekea kama chama?
Hivi nikweli Diamond ndo chanzo cha ninyi kuanguka katika chaguzi zilizopita?
Hivi ni kweli Diamond ndo anawakwamisha kufanya siasa zenu na wananchi wakazipokea?
Lakini pia kama sijakosea wasanii wengi tu walifanya biashara ya kuuza burudani kwenye kampeni, kwanini Ninyi mmemuona Diamond tu?
Tafadhali naomba mje mtoe ufafanuzi ni kiasi gani huyu Kijana muuza burudani ya muziki anawakwamisha katika siasa zenu.
Bila kusahau ni ninyi mnatuambia uongozi uliokwepo ulikuwa uongozi wa upendeleo na visasi, ulipendelea kichama kidini na hata kikabila, sasa hiki mnachokifanya ninyi kinautofauti gani na hayo mliyotuaminisha yalikuwa yakitendeka.
Wrong commentWrong thinking
Sisi wananchi ndio hatumtaki maana kwenye mateso alichagua kusimama na watawala badala ya kusimama na wananchi.Habari za wakati huu wakuu.
Naomba kuzungumza nanyi mnaojiita wanaharakati pamoja na wafuasi wenu.
Hiki kinachoondelea huko mitandaoni sio tamko rasmi la Chama kuwa sasa wameamua kufanya vile, ila ukimya wa viongozi juu ya hili jambo unanambia kuwa chama kimebariki.
Mi naomba mnifafanulie kidogo kwanini mnafanya hivi kwa uyu kijana mtafutaji kama ninyi mlivyo watafutaji ila mlijioficha kwenye pazia la siasa.
Hivi ni kweli Diamond ndo kikwazo cha nyinyi kufikia malengo mliojiwekea kama chama?
Hivi nikweli Diamond ndo chanzo cha ninyi kuanguka katika chaguzi zilizopita?
Hivi ni kweli Diamond ndo anawakwamisha kufanya siasa zenu na wananchi wakazipokea?
Lakini pia kama sijakosea wasanii wengi tu walifanya biashara ya kuuza burudani kwenye kampeni, kwanini Ninyi mmemuona Diamond tu?
Tafadhali naomba mje mtoe ufafanuzi ni kiasi gani huyu Kijana muuza burudani ya muziki anawakwamisha katika siasa zenu.
Bila kusahau ni ninyi mnatuambia uongozi uliokwepo ulikuwa uongozi wa upendeleo na visasi, ulipendelea kichama kidini na hata kikabila, sasa hiki mnachokifanya ninyi kinautofauti gani na hayo mliyotuaminisha yalikuwa yakitendeka.
Sadala kweli anachekesha wakati WA Uchaguzi anajisifu yeye ni CCM kwenye kupigiwa Kura anawaomba hata wasio CCM.Dhambi iko wapi hapo we nyau?
Kwa hiyo hamtowataka wasanii wote isipokua hao wangapi tu.Binadam hatuelewekagi kabisaSisi wananchi ndio hatumtaki maana kwenye mateso alichagua kusimama na watawala badala ya kusimama na wananchi.
Ni ajabu sana hiiHawa watu wanatuchanganya mkuu, Wako bungeni miaka kibao leo wanataka mapishi yaliyowashinda wao wakati wako jikoni wamtwishe Diamond.
Yani Diamond leo ndo kawa sababu ya chama fulani kutofanikiwa katika mambo fulani.
Nadhani wameamua kumuandana ili kuamsha hisia chungu kwa mashabiki zake maana ni njia rahisi zaidi ya kukumbuka yaliyotendwa nyuma..sababu ushabiki uko na nguvu sana.Nimewaza tu hiliKasome tena unisaidie majibu mkuu, Diamond anawakwamisha wapi katika siasa zenu?
Yule alikosea kuwaomba Watanzania kumsapoti kwenye ule mpambano ndipo wanaharakati wakamwambia mbona tulipolia kuteswa na watawala hukutuunga mkono badala yake ukaungana na Watawala kutuzodoa. Kwa hali hiyo nawewe pambana na hali yako. Si suala la wivu ni suala la mshikamano. Hata huku mtaani kama hutokagi wenzio wakilia hata wewe utakapolia wanakunyamazia na kukuzodoa. Kwa hiyo dogo amelianzisha mwenyewe kuomba mshikamano wakati yeye hakushikamano wenzie walipolia.Naona unachanganya biashara na haki. Yule ni mfanyabiashara, na mfanyabiashara yeyote anafata masirahi. Weka hii akilini
Kwa hiyo una maanisha magufuli alipo kaa kimya dhidi ya upigwaji risasi lissu basi na yeye alibariki?Habari za wakati huu wakuu.