Kambulanga
JF-Expert Member
- Jun 1, 2020
- 261
- 97
Chadema ni mzigo wa takataka hawajui wanataka nini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CHADEMA- wamekosa hoja wanaungaungaHabari za wakati huu wakuu.
Naomba kuzungumza nanyi mnaojiita wanaharakati pamoja na wafuasi wenu.
Hiki kinachoondelea huko mitandaoni sio tamko rasmi la Chama kuwa sasa wameamua kufanya vile, ila ukimya wa viongozi juu ya hili jambo unanambia kuwa chama kimebariki.
Mi naomba mnifafanulie kidogo kwanini mnafanya hivi kwa uyu kijana mtafutaji kama ninyi mlivyo watafutaji ila mlijioficha kwenye pazia la siasa.
Hivi ni kweli Diamond ndo kikwazo cha nyinyi kufikia malengo mliojiwekea kama chama?
Hivi nikweli Diamond ndo chanzo cha ninyi kuanguka katika chaguzi zilizopita?
Hivi ni kweli Diamond ndo anawakwamisha kufanya siasa zenu na wananchi wakazipokea?
Lakini pia kama sijakosea wasanii wengi tu walifanya biashara ya kuuza burudani kwenye kampeni, kwanini Ninyi mmemuona Diamond tu?
Tafadhali naomba mje mtoe ufafanuzi ni kiasi gani huyu Kijana muuza burudani ya muziki anawakwamisha katika siasa zenu.
Bila kusahau ni ninyi mnatuambia uongozi uliokwepo ulikuwa uongozi wa upendeleo na visasi, ulipendelea kichama kidini na hata kikabila, sasa hiki mnachokifanya ninyi kinautofauti gani na hayo mliyotuaminisha yalikuwa yakitendeka.
Taasisi yoyote ya Marekani haipaswi kumpa tuzo mtu mwenye uhusiano na Makonda.
Makamu mwenyekiti ye hatoi tamko la chama,mbona tamko la chama lipo waziii tena wazi Sanaa mpaka viongozi wake wanajionyeshaa,Acha ugoro umeona tamko la chama wapi dhidi ya huyo nyegezi, tamko la chama anatoa M wenyekiti au Katibu Mkuu zaidi yachapo yanakuwa mawazo binafsi ya watu, na ndiyo demokrasia hiyo, usihusishe mawazo binafsi na chama wewe mtetezi wa
Mkuu nilicho kiandika mimi hapo juu umekielewa?Unasumbuliwa na utoto kijana, wengine tumeanza kutetea na kudai haki hata kabla ya CCM kuzaliwa mwaka 1977! Toka enzi hizo hatujatetereka katika maswala yanayohusu utawala unaozingatia sheria. Kwa bahati mbaya CCM imehakikisha hatuna utawala mwingine tunaoweza kuurejea na kuulinganisha nao.
Wengine tumepoteza mengi kwa kutoikubali CCM kwa muda wote huo na hatutachoka kudai utawala wa haki na serikali inayojitambulisha kama ya wananchi na si serikali ya CCM. Wewe endelea kuunga mkono tawala za kiimla ambazo hata zikiteua vichaa, wanapewa rungu la kutupigia sisi wananchi.
Tunataka kila moja apate hili somo, huwezi kulala na fisi wakati una jukumu la ulinzi na usalama wa kondoo...hicho ndicho kiwango cha unafiki unaowatafuna Watanzania walio wengi kwa sababu ya uelewa mdogo. Unaweza kunenepa kwa kula makombo unayotupiwa ukiwa chini ya meza kuu mradi ukubali utumwa.
Hiki chama hakitafanyikiwa kamwe wamejaa chuki sana na ukabilaMakamu mwenyekiti ye hatoi tamko la chama,mbona tamko la chama lipo waziii tena wazi Sanaa mpaka viongozi wake wanajionyeshaa,
Nafikiri ni chama cha visasi tu hiki
Huu ni uongo wa mchana kweupe. Wasanii wa nchi gani wasanii wanajiweka mbali na siasa?Wasanii wanaojitambua duniani hawafanyu ujinga unaofanywa na wasanii wetu hapa Tz, wengi hujiweka mbali na siasa ili kuepuka kuwavuruga fans wao wanaoweza kuwa na itikadi tofauti.
Hawa wetu walizubaa akili zao muda mrefu sana sasa ndio wanaamshwa, next stop kwa wale wajinga bongo movie kina Steve Nyerere, Wema, Uwoya, na wenzao, hakuna kununua movie zao.
Sasa kama wanaharakati wanajua tuzo haitorudisha uhai kwanini wanahangaika nayo?Kumbe wewe ni mpumbavu kiasi hiki. Wanaharakati ni watu wanaodai uhuru, haki na usawa na utawala unaoheshimu, kulinda na kuitetea Katiba.
Kama huyo msanii wako akachagua upande wa watekaji, watesaji na wauwaji wa Watanzania wenye misimamo tofauti kisiasa huo ni uamuzi wake.
Watanzania walipotekwa alikuwa kimya, walipoteswa alikuwa kimya, walipopotezwa hakupaza sauti...hii ina maana kuwa aliwaunga mkono wahusika.
Halafu leo anawataka hao hao waliopitia machungu huku yeye akiwa kimya wamuunge mkono katika kutafuta umaarufu kupitia mgongo wao, ili iweje?
Hiyo tuzo itawarudishia uhai wapendwa wao? Hiyo tuzo itawaponyesha vilema wa maungo? Hiyo tuzo itawafuta machozi wazazi, ndugu na marafiki wa waliopotezwa?
Acheni ujinga, huyo na usanii wake tupa kule...kama mnampenda mkanywe naye chai huko kuzimu aliko huyo dhalimu anayemvisha kofia.
Na huu wimbo wa Sadala unautafsiri vipi?Hiki chama hakitafanyikiwa kamwe wamejaa chuki sana na ukabila
Inahusiana vp hiyo commentNa huu wimbo wa Sadala unautafsiri vipi?
Magufuli baba lao, Makonda baba lao...
CCM baba lao, Wapinzani piga risasi
Tuna polisi, tuna jeshi...wamekwishaaa!
UOngoHata wacongoman waliwanyoosha wanamuziki wa congo kwa kumsapoti dikteta Kabila abadili mihula ya uongozi.Hakuna mwanamuziki yeyeto wa congo anaweza piga show ulaya yote si koffi,werason,wala inoss
Hiyo inawekana kama mtu ni mkabila kuwa mdini ni possibleCdm na naona wanalifanya hili Jambo kwa. Hisia fln HV za kidini pia maan ukianglia hakuna waislmu wanaokubali hayo mfno mzur bananga yey Yuko tofauti
Nadhani kwa hapa tulipofikia ni heri kukuweka kwenye ignore list! Looks like am wasting my time!Inahusiana vp hiyo comment
Leta ukweliUOngo
Wewe ndie mwenye jukumu la kuleta ushahidi, ila isiwe kesi Innos B na Fally Ipupa walikuwa Ufaransa na Canada mwaka 2019 mwishoni, mwaka jana kulikuwa na Corona sasa hizo habari zako umepata wapi?Leta ukweli
Wewe bila shaka ni member mkongwe wa LGBT.Taasisi yoyote ya Marekani haipaswi kumpa tuzo mtu mwenye uhusiano na Makonda.