Ileje
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 9,524
- 13,682
Kila jambo lina mwanzo, tumeamua kuanza na Sadala na wengine watafuata baadaye!Hawa watu wanatuchanganya mkuu, Wako bungeni miaka kibao leo wanataka mapishi yaliyowashinda wao wakati wako jikoni wamtwishe Diamond.
Yani Diamond leo ndo kawa sababu ya chama fulani kutofanikiwa katika mambo fulani.
Yeye alimtukuza Magufuli ambaye alikuwa jambazi la kisiasa na muuaji kuwa ni baba lao na sisi tunataka kumuonyesha kuwa ni baba lao katika sanaa zake!