Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila wakishiriki za chadema itakuwa fresh tu!Too late man, that's a wake up call, mitandao siku hizi ina nguvu zaidi ya polisi na Ndugai, liwe funzo kwa Diamond mwenyewe na wasanii wenzake kina Harmonize, Kiba na wengine, ole wao tena washiriki kampeni za CCM, mbaya zaidi alijitutumua twitter hajawahi kushindwa vita ndio akajiharibia kabisa.
Wasanii wanaojitambua duniani hawafanyu ujinga unaofanywa na wasanii wetu hapa Tz, wengi hujiweka mbali na siasa ili kuepuka kuwavuruga fans wao wanaoweza kuwa na itikadi tofauti.Funzo lipi mkuu, Diamond amewakwamisha wapi kufanya siasa za mafanikio?
Elewa dada, hawatakiwi kujihusisha na siasa ili wasiwavuruge fans wao wenye itikadi tofauti.Ila wakishiriki za chadema itakuwa fresh tu!
Huu upumbavu upo tz tu
Kwaiyo hii ndo sababu ambayo iliyopelekea cdm kuanguka kwenye chaguzi.Wasanii wanaojitambua duniani hawafanyu ujinga unaofanywa na wasanii wetu hapa Tz, wengi hujiweka mbali na siasa ili kuepuka kuwavuruga fans wao wanaoweza kuwa na itikadi tofauti, hawa wetu walizubaa akili zao muda mrefu sana sasa ndio wanaamshwa, next stop kwa wale wajinga bongo movie kina Steve Nyerere, Wema, Uwoya, na wenzao, hakuna kununua movie zao.
Huu uzi wakipumbavu na umeandaliwa na mjinga wa ccm.
1. Watanzania kila mmoja anahaki kutoa maoni yake.
2. Chadema hawana uhusiano kama chama Kwenye sakata hili
3. Uhuru, haki na Amani .... matunda kila mtanzania angeyatamani kuyafurahia
Uhuni wa wasanii kila nyakati za uchaguzi kujiweka ccm na kuwabagua watanzania wengine ni ujinga na upumbavu
Ikumbukwe na ieleweke wazi, msaani yeyote anawashabiki katika vyama vyote na pia kwawasio na vyama
Act, Chadema, ccm, cuf, NCCR nk,
Msanii anapojifungamanisha na ccm pekee na kuwatukana wale wengine wote,anajiharibia.
Namaanisha yeye anajirasmisha kuwa Mali ya ccm na hivyo basi mashabiki wake ni ccm..... waliobakia wote nje ya ccm anakuwa amewakanana
Waliobakia wote, haramu kwa msanii huyo. Hii concept ya cdm unaipataje hapa? Hawa wengine unawaweka wapi?
Kauli ya kuwafungamanisha cdm na kuwaacha wengine wote kama cuf, nccr, Act, Tlp nk ni upumbavu wa uccm na propaganda za kijinga.
Kwaiyo hii ndo sababu ambayo iliyopelekea cdm kuanguka kwenye chaguzi.
Kama chama yako mambo ya msingi ya kufanyia kazi na si huu upuuzi eti hakuna kununua movie zao.
Kwaiyo ukishaacha kununua movie zao ndo wale wabunge 19 walofukuzwa chama wataondolewa bungeni?
Shida ni yeye kuamua kujiunga na watesi wa jamii ya Tanzania,ilhali msanii anajiita kama ni kiooHabari za wakati huu wakuu.
Naomba kuzungumza nanyi mnaojiita wanaharakati pamoja na wafuasi wenu.
Hiki kinachoondelea huko mitandaoni sio tamko rasmi la Chama kuwa sasa wameamua kufanya vile, ila ukimya wa viongozi juu ya hili jambo unanambia kuwa chama kimebariki.
Mi naomba mnifafanulie kidogo kwanini mnafanya hivi kwa uyu kijana mtafutaji kama ninyi mlivyo watafutaji ila mlijioficha kwenye pazia la siasa.
Hivi ni kweli diamond ndo kikwazo cha nyinyi kufikia malengo mliojiwekea kama chama?
Hivi nikweli diamond ndo chanzo cha ninyi kuanguka katika chaguzi zilizopita?
Hivi ni kweli diamond ndo anawakwamisha kufanya siasa zenu na wananchi wakazipokea?
Lakini pia kama sijakosea wasanii wengi tu walifanya biashara ya kuuza burudani kwenye kampeni, kwanini Ninyi mmemuona diamond tu?
Tafadhali naomba mje mtoe ufafanuzi ni kiasi gani huyu Kijana muuza burudani ya muziki anawakwamisha katika siasa zenu.
Bila kusahau ni ninyi mnatuambia uongozi uliokwepo ulikuwa uongozi wa upendeleo na visasi, ulipendelea kichama kidini na hata kikabila, sasa Hiki mnachokifanya ninyi kinautofauti gani na hayo mliyotuaminisha yalikuwa yakitendeka.
Naomba urudie kusoma namba 3 hapo kwenye maelezo yako alafu uje unambie uhuru wa Diamond cdm mliununua kwa kiasi gani cha fedha.
Naona unachanganya biashara na haki. Yule ni mfanyabiashara, na mfanyabiashara yeyote anafata masirahi. Weka hii akilini1. Unaushahidi wa unachokiongea hapa ?
2. Chadema na kiongozi gani ametamka?
3. Nccr, cuf, Act, tlp nk wapo kundi lipi na kwa ushahidi upi?
4. Alipokuwa anapanda majukwa ya ccm lini alipanda majukwa ya Nccr, cuf, Act, tlp nk ili kuwapa watanzania wa itikadi zote haki ya usawa?
Naona unachanganya biashara na haki. Yule ni mfanyabiashara, na mfanyabiashara yeyote anafata masirahi. Weka hii akilini
Uhuni wa wasanii kila nyakati za uchaguzi kujiweka ccm na kuwabagua watanzania wengine ni ujinga na upumbavu
Msanii anapojifungamanisha na ccm pekee na kuwatukana wale wengine wote,anajiharibia.
Namaanisha yeye anajirasmisha kuwa Mali ya ccm na hivyo basi mashabiki wake ni ccm..... waliobakia wote nje ya ccm anakuwa amewakana
Huu udaku hapa si pahali pake mkuu