Mkuu, nadhani ishu sio utafutaji, Diamond ana hela. Ishu ni tuzo anayogombea, anastahili? In narrow sence, Diamond hastahili tuzo ile, na kwa Burna Boy, anastahili kama watu wanavyozungumza. Frankly speaking, hata akiipata, hatakua mwenye furaha.
Lini Platinumz akazungumzia mabaya yanayoikumba nchi, kwa sababu ya uongozi dhalimu. It was 200% better kumpa hata Roma, tungemsapoti.
He needs to calm down, this isn't beef at all, watu tunasema uhalisia, and he needs to learn. Msanii anapandishwa ba watu, hata kama akijinasibu kwamba kakaa juu yeye, bado watu ndio wanamuweka pale.
Hastahili hiyo tuzo.
My pleasure.
Rumi.