Fedor von Bock
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 2,321
- 2,157
africa inawatu 1.34 billionNi swali zuri, kwa tafiti za sayansi ya jamii ukiongea na sample ya watu 15, hapa namaanisha mazungumzo ya kina kabisa na ya muda mrefu, inatosha kufanya hitimisho. Na ndicho nilichofanya. Huwezi kuwaaminisha vinginevyo waafrika wengi kuhusu Magufuli. Tafiti za aina hii huwa ni qualitative.
Kwa upumbavu unaoendelea Nigeria,Zimbabwe na kwingineko barani Africa,waliomba wapate Rais kama Mwendazake hata kwa mwezi mmoja.Shujaa ni Shujaa tu ailazimishwagi.Shalom from Jerusalem,
Awali ya yote napenda niweke wazi kuwa sikumpenda kabisa Magufuli kutokana na ukatili wake ambao uliumiza wengi Tanzania. Lakini ukweli usiopingika ni kwamba ukatili wa Magufuli waafrika wengi nje ya Tanzania na hata ndani ya nchi hawakujua kilichokuwa kinaendelea. Kiufupi kulikuwa na kitu kama brainwashing iliyowafanya wengi kutokuona maovu ya rais huyo dikteta...
Mimi nashabikia mziki mzuri haijalishi nani Kaiimba, siwezi changanyw siasa na burudaniTupe naomi yako,kwani wewe unasemaje.
Althought our late president alifanya mengi mazuri.watu wanajitahidi kuiaminisha dunia mpaka mishipa ya shingo inawatoka km magufuli alikuwa katili lakini wana dunia hawawaelewi kabisa... wanatumia nguvu nyingi na hasira zilizomo vifuani mwao ili watu wote wamuone magu mbaya lakini wapi...
Naunga mkono hoja yakoMaria, chadema na kigogo ni fungu la kukosa!
Diamond sasa hivi ni mkubwa kuliko chadema mana wanapambana nae kuliko walivyopambana na ccm
100% TRUE SAID MKUU @provocater!Mabibi na mabwana inashangaza kimbembe cha huyu bwana...
Sasa hivi corona imepungua hatuvai barakoa hadi wimbi la tatu lije.Corona Chief Provocateur...vipi barakoa ya ngapi leo hadi mda huu?
Hela yenyewe ya barakoa unayo ama unaongea tu nawe usikikeSasa hivi corona imepungua hatuvai barakoa hadi wimbi la tatu lije.
Mondi namkataa sana hata kama asingeji ngiza kwenye siasa.100% TRUE SAID MKUU @provocater!
Corona Chief Provocateur...vipi barakoa ya ngapi leo hadi mda huu?
Barakoa hadi jero siku hizi unapata na kuna hizi barakoa za kitambaa hazina gharama na hadi wazungu wanatumia siku hizi, ila ndio hivyo sasa hivi tunasubiri chanjo mambo ya barakoa sijui kuchukua tahadhari tupa kule habari ya mjini ni chanjo.Hela yenyewe ya barakoa unayo ama unaongea tu nawe usikike