Fedor von Bock
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 2,321
- 2,157
africa inawatu 1.34 billionNi swali zuri, kwa tafiti za sayansi ya jamii ukiongea na sample ya watu 15, hapa namaanisha mazungumzo ya kina kabisa na ya muda mrefu, inatosha kufanya hitimisho. Na ndicho nilichofanya. Huwezi kuwaaminisha vinginevyo waafrika wengi kuhusu Magufuli. Tafiti za aina hii huwa ni qualitative.
unajimwambafai kabisa..eti kisayansi ukiongea na watu 15 inatosha, what a joke, hiyo survey yaa ainaganimkuu kwa sample space uliyonayo,na umewaselect kwa niagani mpaka warepresant population target yako