Kampeni dhidi ya Diamond Platnumz: Wanaharakati kuweni serious kidogo
Shalom from Jerusalem,

Awali ya yote napenda niweke wazi kuwa sikumpenda kabisa Magufuli kutokana na ukatili wake ambao uliumiza wengi Tanzania. Lakini ukweli usiopingika ni kwamba ukatili wa Magufuli waafrika wengi nje ya Tanzania na hata ndani ya nchi hawakujua kilichokuwa kinaendelea. Kiufupi kulikuwa na kitu kama brainwashing iliyowafanya wengi kutokuona maovu ya rais huyo dikteta.

Nimepata wakati mgumu sana kuwaaminisha watu (waafrika wa nchi nyingine mbali na Tanzania) kuwa Magufuli hakufaa na kwamba alikuwa muuaji, alikandamiza wapinzani, alibambikiza kesi wapinzani na uovu unaofanana na huo.

Hivyo kujitokeza kwa wanaharakati wakiongozwa na Maria Sarungi wanaotaka BET imwondoe Diamond eti kwa sababu alimuunga mkono Magufuli , "kipenzi cha waafrika", kunaweza kusieleweke kwa waafrika wengi ambao ndiyo hasa wapiga kura kwenye tuzo za 2021 za BET.

Wala siyo siri weusi wengi huku ugaibuni wanamwona Magufuli alikuwa shujaa na ni ngumu sana kuwaaminisha vinginevyo.

Jambo baya zaidi wanalolifanya akina Maria ni kumpinga Diamond lakini wakati huo huo na kwa nguvu isiyo na mfano kumuunga mkono Burna Boy. BET inaweza isiwaelewe na inaweza kuona kuwa wanatumika.

Imani yangu ni kwamba hata ikiwa Diamond atashindwa basi siyo kwa sababu ya akina Maria bali ni ushindani wa kawaida kabisa wa mziki.

ANGALIZO: KUPENDWA KWA HAYATI MAGUFULI TANZANIA NA AFRIKA HAKUMAANISHI KWAMBA ALIKUWA NI KIONGOZI MZURI LA HASHA, BALI NI UJINGA WA WATU KUTOKUTAMBUA YALIYOKUWA YANAENDELEA NYUMA YA PAZIA. KWA WAELEWA WA MAMBO MAGUFULI HAKUWA KIONGOZI MZURI HATA KIDOGO.
Mr. ulichosema ni kweli niko kwenye group moja la United Pan africanism(UPAM), ambalo limeundwa na waafrica waishio mabara mengine na wana wawakilishi karibia nchi zote za Africa. Mara zote wamekuwa wakimtazama Magufuli kama Rais wa mfano, kwa mawazo yangu nadhani ule msimamo wa JPM kuhusu whites na vile alivyohandle issue ya kolona, ilifanya azungumzwe sana kwenye vyombo vya nje hadi sehemu nyingine wakachora mabango wakisema mbuzi na papai la Magufuli vimekutwa na Korona. Pia kwenye website yao wameweka course za kiswahili ikiwa ni maandalizi ya baadae kutumia lugha hii kama lugha ya kwanza ya kiafrica katika mikutano yao. Hivyo hakuna anayeamini kuwa Magufuli alikuwa dictator. Jambo jingine lililosababisha ni vyombo vya habari, vyombo vya habari vilivyokuwa vinatoa habari za kukosoa vilifungiwa vikabaki vile ambavyo vilikuwa vinatangaza habari za serikali na maendeleo yake na habari za kupika za uchumi kupaa and the like.
 
Another shit,et Africa ilimpenda nireteeni gwajima!
Africa ya wapi?hashindi tunampigia B boy.Huyo mwehu mlamba midomo alikuwa sehemu ya mashetani yaliyokuwa yanaumiza watanzania
 
Maria Sarungi ni kigagula tu huyo. Ana uharakati wa kilozi tu. Anashindwa mambo ya familia take eti anapambana na Diamond? Atamuweza wapi? Pumbavu!

Diamond atashindwa kama mpambanaji na atashinda kama mshindani na sio nguvu yoyote kutoka kwa wajinga kama akina Maria Sarungi!
 
Ni swali zuri, kwa tafiti za sayansi ya jamii ukiongea na sample ya watu 15, hapa namaanisha mazungumzo ya kina kabisa na ya muda mrefu, inatosha kufanya hitimisho. Na ndicho nilichofanya. Huwezi kuwaaminisha vinginevyo waafrika wengi kuhusu Magufuli. Tafiti za aina hii huwa ni qualitative.
in-depth!
 
nope nope nope . kwa issue kama hiyo unahitaji sample space zaidi ya 300.
unafanyia mahojiano 15 peoples halaf una conclude ni africa nzima?

ulisoma chuo gani ww?
be serious man
Yuko sahihi kwa asilimia nyingi, hata mimi hitimisho langu kutokana na majadiliano na watu wengi nje ya nchi yetu wengi wanaamini dikteta mwendazake alikuwa kiongozi safi na mfano wa kuigwa kwa viongozi wengine barani Afrika.
Nilikuwa nikijaribu sana kuwaelimisha kinachoendelea lakini nadhani alifanikiwa sana katika kuhadaa watu wengi(mataifa mengi) na hata raia(blacks) wa nchi za Ulaya na Amerika ya Kaskazini wanaofuatilia siasa za Afrika walimuona kama shujaa dikteta mwendazake.
 
no ww ndio hujui hata qualitative research inakupa result za aina gani.
kwenye issue kama hii unatumia quantitative research kupata actual data kutokana na idadi ya watu unao hoji.
Absolutely right mkuu!
Mathalani kama kahoji mtu mmoja mmoja kutoka nchi 15, data zimetosha?? 😂 Waliokula maganda wakabugi wapo!

Everyday is Saturday...............................😎
 
Waneharibu kampeni yao baada ya kutaja haki za mashoga
 
Kwa hizi shutuma zinazoelekezwa kwa Diamond na kutaka asishirikishwe kwenye tuzo, ni nani aliwahi kuthibitisha hadharani tuhuma za wanaotajwa?.

Hivi kuna chombo gani chenye mamlaka kiliendesha uchunguzi na kutoa hukumu ambazo Diamond alizipuuza?

Hivi hatuoni kelele tunazopiga ni kujionesha tu kama Wapuuzi mbele ya macho ya kimataifa?

Bila shaka Wahusika watawapuuza Wapuuzi wote wanaokurupuka tu na kutafuta kusikika kupitia mgongo wa Msanii Diamond.
 
Maria, chadema na kigogo ni fungu la kukosa!

Diamond sasa hivi ni mkubwa kuliko chadema mana wanapambana nae kuliko walivyopambana na ccm
Hivi mnasubiri nini kuhamia kwenye Kaburi kule Chato?
 
Vipi hawa "Wapuuzi" wasipo puuzwa Mondi amejipangaje kwa mengine yajayo?
Kibinadamu kuwa na mbadala ni muhimu.
Mshaurini na hilo pia
 
Jiulize swali hao wanaomtuhumu diamond wakati wa matukio wengi wao walikimbia nchi, wengi wao wanatumia tu accounts za mitandao kwa majina fake ila wanataka diamond abebe bango barabarani, mange kimambi aliwai kuitisha maandamano hakuna hata kunguni mmoja aliyetoka ndani kazi kupiga kelele kwenye mitandao
 
Soma hapa chini uone huyu PhD candidate wa Oxford alitafiti PhD research 500 na alipata averaje kwamba sample size iliyotumika ilikuwa ni 30 tu. Sasa hapa wewe uliyesoma vyuo vyako vya kata ambavyo hata kwenye 1000 bora duniani havimo unapinga nini. Kumbuka kwenye hiyo 30, kuna waliotumia sample size ya 40, 25, 13 n.k kiasi akapata average ya 30...


"A number of issues can affect sample size in qualitative research; however, the guiding principle should be the concept of saturation. This has been explored in detail by a number of authors but is still hotly debated, and some say little understood. A sample of PhD studies using qualitative approaches, and qualitative interviews as the method of data collection was taken from theses.com and contents analysed for their sample sizes. Five hundred and sixty studies were identified that fitted the inclusion criteria. Results showed that the mean sample size was 31; however, the distribution was non-random, with a statistically significant proportion of studies, presenting sample sizes that were multiples of ten. These results are discussed in relation to saturation. They suggest a pre-meditated approach that is not wholly congruent with the principles of qualitative research."

Hiyo article unaweza kuipata hapa Sample Size and Saturation in PhD Studies Using Qualitative Interviews | Forum Qualitative Sozialforschung / Forum: Qualitative Social Research imekuwa published kwenye journal za maana zinazotambulika duniani
You are very right in both on the Diamond issue and the content on Magufuli, unfortunately you have to learn about the major demographics of the audience, such as general age, gender, education, religion, and culture, as well as to what groups the audience members belong.

Additionally, learning about the values, attitudes, and beliefs of the members of your audience.
 
Hii ndiyo shida ya kumtetea mwenda zake utatokwa na hadi mishipa poomb ni vema uakijpumzikia na kuanza kuleta refference kutoka kusiko julikana ili kujitetea hivi kweli una conclude kuwa bara zima la africa lenye wakaazi zaidi ya 1.2 bilion kawa kuhoji watu 15? hata kama ungesomea Lumumba huko Russia ningekugomea
 
Kama ni mwanasayansi au siyo mwanasayansi, unachotakiwa kujua ni kuwa kwenye statistical analysis, the bigger the sample the higher perfection. The smaller the samples the higher the biasedness.

Unaposema waafrika wengi, ni lazima hiyo sample yako ihusishe random sampling lakini inayozingatia utaifa.

Mimi, wakati wa utawala wa mwendazake, nilitembelea Mozambique, Burundi, Kenya, DRC, Zambia, Ghana, Burkina Faso, Mali, na South Africa. Nilichokishuhudia ni tofauti na unachokiongea. Kwenye nchi zinazopakana na Tanzania, wote nilioongea nao walionekana wazi kuutambua ubaya wa utawala wa marehemu. Nchi pekee niliowapata watu walioonekana kuamini marehemu ni kiongozi mzuri ni Ghana, Mali na Burkina Faso.
nature ya shuguli zangu zinanipa nafasi ya kutembea sana katika nchi nyingi za Africa, ulicho andika sio kweli.

Nilipata taabu sana kuwaelewesha viongozi wa Wizara ya Fedha wa South Sudan kuhusu Magufuli na Wakaniambia tuletee Mtanzania hapa mzuri tumkabidhi South Sudan Revenue Authority na nilopo mpendekeza walimuajiri kama Commissioner Mkuu.

Sijui baada ya kufa lakini Mtanzania wakati wa Magufuli waliaminika ni watu mwaminifu na wazuri kiutendaji.
 
Nikushauri

Hapa humsaidii msanii wako ndio unamaliza kabisa.

Debate za aina hii zinawafunguwa watu kutambua mengi yaliyojificha nyuma ya pazia

Hivi vithread ndio mnamzika kabisaa
Wewe Mungu?!
 
Hao wanaojiita Wanaharakati wanaoendaesha campaign dhidi ya Diamond ni wapumbavu tu ambao hawajawahi kuendesha campaign yoyote ikafanikiwa.

Hawana mchango kwa msanii yeyote hapa nchini. Mtu kama Maria Sarungi amesoma, amekula na kuishi kwa Kodi za wanyonge hawa hawa halafu anajifanya kuendesha campaign dhidi mtoto aliekulia kwenye lindi la umasikini na leo amejikwamua nae tunamuonea wivu.

Stupid!
Very
 
Back
Top Bottom