Kampeni dhidi ya Diamond Platnumz: Wanaharakati kuweni serious kidogo
Maria, chadema na kigogo ni fungu la kukosa!

Diamond sasa hivi ni mkubwa kuliko chadema mana wanapambana nae kuliko walivyopambana na ccm
Subiri uone kunguni wanavyosagwa, hakuna cha dimond wala dimonde, alijiunga na muuaji magufuli sasa hivi atajuta yani
 
Ni swali zuri, kwa tafiti za sayansi ya jamii ukiongea na sample ya watu 15, hapa namaanisha mazungumzo ya kina kabisa na ya muda mrefu, inatosha kufanya hitimisho. Na ndicho nilichofanya. Huwezi kuwaaminisha vinginevyo waafrika wengi kuhusu Magufuli. Tafiti za aina hii huwa ni qualitative.

Ungekuwa umetajwa utafiti wa twaweza ungekuwa umeeleweka vyema zaidi mkuu.
 
walau wewe una hoja, lakini hata kama ningetumia quantitative methods nakwambia bado Magufuli alipendwa na wengi...amini nakwambia.. mi mwenyewe iliniudhi, maana ukiwaeleza ukatili wake hawakuelewi, Sijawahi kukutana na mwafrika aliyempinga Magu...
JPM hakufanana na marais wengi wa afrika kwa sababu ya back ground yake, ni mtu wa sayansi aliyeamua kugombea na akakutana na zali la kuwa mgombea.

Hakuwa na mwanzo wa mwanasiasa kama hayati Mkapa au JK, pia hakupenda kuwa mwanasiasa kwani tangu mwanzo alifahamu uhusiano wa mwanasiasa na maisha ya udanganyifu ambayo mwanasiasa anayaishi.

Ndani kabisa ya moyo wake JPM hakumkubali JK ila ilimbidi amheshimu akiwa bosi wake kwa miaka kumi na kiumri ni kaka yake mkubwa.
 
Alikuwa Bonge la Rais ndio, ndio maana aliiingia nafasi ya 2 miongoni mwa washindani wa tuzo hizo hapo chiniView attachment 1812534
Kuna wale ambao shughuli zao ziliharibika kwa sababu ya maamuzi magumu na ya kishujaa ya JPM, mara nyingi hasira zao wanamalizia humu jukwaani kwa kuanzisha threads.

Wananchi wa kawaida kabisa waliotetewa wakarudishiwa mashamba waliyoporwa hawawezi kumsema vibaya hayati. Waliopata hati za viwanja baada ya miaka mingi ya kusumbuliwa wizarani hawawezi kumsema vibaya hayati.

Wanafunzi walioanza kukalia madawati mwaka 2016 baada ya miaka ya mgongo kuuma sakafuni ndio wale walikuwa wanalia pale uwanja wa uhuru baada ya kukatiza mbele ya jeneza, huwezi kuwasoma humu jukwaani.
 
Shalom from Jerusalem,

Awali ya yote napenda niweke wazi kuwa sikumpenda kabisa Magufuli kutokana na ukatili wake ambao uliumiza wengi Tanzania. Lakini ukweli usiopingika ni kwamba ukatili wa Magufuli waafrika wengi nje ya Tanzania na hata ndani ya nchi hawakujua kilichokuwa kinaendelea. Kiufupi kulikuwa na kitu kama brainwashing iliyowafanya wengi kutokuona maovu ya rais huyo dikteta.

Nimepata wakati mgumu sana kuwaaminisha watu (waafrika wa nchi nyingine mbali na Tanzania) kuwa Magufuli hakufaa na kwamba alikuwa muuaji, alikandamiza wapinzani, alibambikiza kesi wapinzani na uovu unaofanana na huo.

Hivyo kujitokeza kwa wanaharakati wakiongozwa na Maria Sarungi wanaotaka BET imwondoe Diamond eti kwa sababu alimuunga mkono Magufuli , "kipenzi cha waafrika", kunaweza kusieleweke kwa waafrika wengi ambao ndiyo hasa wapiga kura kwenye tuzo za 2021 za BET.

Wala siyo siri weusi wengi huku ugaibuni wanamwona Magufuli alikuwa shujaa na ni ngumu sana kuwaaminisha vinginevyo.

Jambo baya zaidi wanalolifanya akina Maria ni kumpinga Diamond lakini wakati huo huo na kwa nguvu isiyo na mfano kumuunga mkono Burna Boy. BET inaweza isiwaelewe na inaweza kuona kuwa wanatumika.

Imani yangu ni kwamba hata ikiwa Diamond atashindwa basi siyo kwa sababu ya akina Maria bali ni ushindani wa kawaida kabisa wa mziki.

ANGALIZO: KUPENDWA KWA HAYATI MAGUFULI TANZANIA NA AFRIKA HAKUMAANISHI KWAMBA ALIKUWA NI KIONGOZI MZURI LA HASHA, BALI NI UJINGA WA WATU KUTOKUTAMBUA YALIYOKUWA YANAENDELEA NYUMA YA PAZIA. KWA WAELEWA WA MAMBO MAGUFULI HAKUWA KIONGOZI MZURI HATA KIDOGO.
Mkuu,
Siku hizi huwa hamuweki majina yenu na namba za simu kama ilivyokuwa enzi za mwendazake

What's wrong???
 
Huna lolote mkuu toa mchafu wako
 
Kuna wale ambao shughuli zao ziliharibika kwa sababu ya maamuzi magumu na ya kishujaa ya JPM, mara nyingi hasira zao wanamalizia humu jukwaani kwa kuanzisha threads.

Wananchi wa kawaida kabisa waliotetewa wakarudishiwa mashamba waliyoporwa hawawezi kumsema vibaya hayati. Waliopata hati za viwanja baada ya miaka mingi ya kusumbuliwa wizarani hawawezi kumsema vibaya hayati.

Wanafunzi walioanza kukalia madawati mwaka 2016 baada ya miaka ya mgongo kuuma sakafuni ndio wale walikuwa wanalia pale uwanja wa uhuru baada ya kukatiza mbele ya jeneza, huwezi kuwasoma humu jukwaani.
Mwendazake alikuwa na DNA ya Burundi, alijaa chuki, kiburi, manyanyaso, UWONGO na wizi.

Alitumia udhaifu wa Watanzania kwa kuwanyima habari kwa kuwa vyombo vya habari vilivyokuwa vinamkosoa alivifungia kama Mwanahalisi, Mawio na Tanzania Daima.

TVs zote na magazeti yakawa yanatangaza habari zake tu ambazo Ni PROPAGANDA za uwongo.

Kwa hiyo unachosema Phillipo Bukililo kuwa wananchi wa kawaida aliowapa mashamba wanamuona kama mkombozi siyo ajabu.

Wakati wa BWM kulikuwa na kashfa ya EPA na wakati wa JK kulikuwa Richmond na Escrow. Tusingeweza kuzijua kama Uhuru wa Habari ungebanwa kama Mwendazake alivyobana kipindi chake.

Yeye alijijua ni DIKTETA na mwizi na mwongo hivyo basi akaanza na kuvidhibiti vyombo vya habari ili anapokwapua zile Tsh 2.4 Trillion visiripoti.

Tuwe serious, hivi unaweza kusema unapambana na UFISADI bila kuwa na CAG anayefanya kazi independently?

Hapana !! Mungu ametupenda sana Watanzania kwa kumuondoa huyo Mrundi Magufuli kabla hajaiharibu sana nchi yetu
 
Shalom from Jerusalem,

Awali ya yote napenda niweke wazi kuwa sikumpenda kabisa Magufuli kutokana na ukatili wake ambao uliumiza wengi Tanzania. Lakini ukweli usiopingika ni kwamba ukatili wa Magufuli waafrika wengi nje ya Tanzania na hata ndani ya nchi hawakujua kilichokuwa kinaendelea. Kiufupi kulikuwa na kitu kama brainwashing iliyowafanya wengi kutokuona maovu ya rais huyo dikteta.

Nimepata wakati mgumu sana kuwaaminisha watu (waafrika wa nchi nyingine mbali na Tanzania) kuwa Magufuli hakufaa na kwamba alikuwa muuaji, alikandamiza wapinzani, alibambikiza kesi wapinzani na uovu unaofanana na huo.

Hivyo kujitokeza kwa wanaharakati wakiongozwa na Maria Sarungi wanaotaka BET imwondoe Diamond eti kwa sababu alimuunga mkono Magufuli , "kipenzi cha waafrika", kunaweza kusieleweke kwa waafrika wengi ambao ndiyo hasa wapiga kura kwenye tuzo za 2021 za BET.

Wala siyo siri weusi wengi huku ugaibuni wanamwona Magufuli alikuwa shujaa na ni ngumu sana kuwaaminisha vinginevyo.

Jambo baya zaidi wanalolifanya akina Maria ni kumpinga Diamond lakini wakati huo huo na kwa nguvu isiyo na mfano kumuunga mkono Burna Boy. BET inaweza isiwaelewe na inaweza kuona kuwa wanatumika.

Imani yangu ni kwamba hata ikiwa Diamond atashindwa basi siyo kwa sababu ya akina Maria bali ni ushindani wa kawaida kabisa wa mziki.

ANGALIZO: KUPENDWA KWA HAYATI MAGUFULI TANZANIA NA AFRIKA HAKUMAANISHI KWAMBA ALIKUWA NI KIONGOZI MZURI LA HASHA, BALI NI UJINGA WA WATU KUTOKUTAMBUA YALIYOKUWA YANAENDELEA NYUMA YA PAZIA. KWA WAELEWA WA MAMBO MAGUFULI HAKUWA KIONGOZI MZURI HATA KIDOGO.
Acha kuchekesha watu, Magufuli alikuwa comedian na alichekesha dunia mzima na siyo kwamba alipendwa!
 
Mwendazake alikuwa na DNA ya Burundi, alijaa chuki, kiburi, manyanyaso, UWONGO na wizi.

Alitumia udhaifu wa Watanzania kwa kuwanyima habari kwa kuwa vyombo vya habari vilivyokuwa vinamkosoa alivifungia kama Mwanahalisi, Mawio na Tanzania Daima.

TVs zote na magazeti yakawa yanatangaza habari zake tu ambazo Ni PROPAGANDA za uwongo.

Kwa hiyo unachosema Phillipo Bukililo kuwa wananchi wa kawaida aliowapa mashamba wanamuona kama mkombozi siyo ajabu.

Wakati wa BWM kulikuwa na kashfa ya EPA na wakati wa JK kulikuwa Richmond na Escrow. Tusingeweza kuzijua kama Uhuru wa Habari ungebanwa kama Mwendazake alivyobana kipindi chake.

Yeye alijijua ni DIKTETA na mwizi na mwongo hivyo basi akaanza na kuvidhibiti vyombo vya habari ili anapokwapua zile Tsh 2.4 Trillion visiripoti.

Tuwe serious, hivi unaweza kusema unapambana na UFISADI bila kuwa na CAG anayefanya kazi independently?

Hapana !! Mungu ametupenda sana Watanzania kwa kumuondoa huyo Mrundi Magufuli kabla hajaiharibu sana nchi yetu
Mkuu hayo ni maoni yako na yanaheshimiwa. JPM kama asingekuwa jasiri asingefanya mengi huko mikoani.

SGR isingefika ilipofika, ndege zisingenunuliwa, lile jengo la kupokea wageni airport lisingemalizika kwa wakati.

JPM alikuwa jasiri na marais wengine wa afrika waliuona uthubutu wake ndio maana alipoenda Ethiopia wakawa wanamzunguka.

Hiyo habari ya yeye kuwa mrundi ni hadithi za kitoto za humu jukwaani sehemu iliyojaa CHADEMA na wengi waliobaniwa mianya yao ya kutajirikia maofisini.

Uhuru wa habari uwe na faida kwa kila upande, huwezi kupewa uhuru halafu ukawa siku zote unaihujumu nchi yako. Wakati wa vita ya ugaidi kule MKIRU mtu anafanyia kazi wageni yaani anaihujumu nchi aliyozaliwa!. JPM hakutaka kabisa huo ujinga.

Ameshalala na hataamka, lakini naamini aliwagusa watu wengi, asingeweza kuuvuta umati ule pale uwanja wa ndege siku jeneza lake lilipoenda Zanzibar kama kweli alikuwa na roho mbaya.
 
Shalom from Jerusalem,

Awali ya yote napenda niweke wazi kuwa sikumpenda kabisa Magufuli kutokana na ukatili wake ambao uliumiza wengi Tanzania. Lakini ukweli usiopingika ni kwamba ukatili wa Magufuli waafrika wengi nje ya Tanzania na hata ndani ya nchi hawakujua kilichokuwa kinaendelea. Kiufupi kulikuwa na kitu kama brainwashing iliyowafanya wengi kutokuona maovu ya rais huyo dikteta.

Nimepata wakati mgumu sana kuwaaminisha watu (waafrika wa nchi nyingine mbali na Tanzania) kuwa Magufuli hakufaa na kwamba alikuwa muuaji, alikandamiza wapinzani, alibambikiza kesi wapinzani na uovu unaofanana na huo.
Labda Africa ya chato alipojenga Uwanja wa ndege
 
Shalom from Jerusalem,

Awali ya yote napenda niweke wazi kuwa sikumpenda kabisa Magufuli kutokana na ukatili wake ambao uliumiza wengi Tanzania. Lakini ukweli usiopingika ni kwamba ukatili wa Magufuli waafrika wengi nje ya Tanzania na hata ndani ya nchi hawakujua kilichokuwa kinaendelea. Kiufupi kulikuwa na kitu kama brainwashing iliyowafanya wengi kutokuona maovu ya rais huyo dikteta.

Nimepata wakati mgumu sana kuwaaminisha watu (waafrika wa nchi nyingine mbali na Tanzania) kuwa Magufuli hakufaa na kwamba alikuwa muuaji, alikandamiza wapinzani, alibambikiza kesi wapinzani na uovu unaofanana na huo.

Hivyo kujitokeza kwa wanaharakati wakiongozwa na Maria Sarungi wanaotaka BET imwondoe Diamond eti kwa sababu alimuunga mkono Magufuli , "kipenzi cha waafrika", kunaweza kusieleweke kwa waafrika wengi ambao ndiyo hasa wapiga kura kwenye tuzo za 2021 za BET.

Wala siyo siri weusi wengi huku ugaibuni wanamwona Magufuli alikuwa shujaa na ni ngumu sana kuwaaminisha vinginevyo.

Jambo baya zaidi wanalolifanya akina Maria ni kumpinga Diamond lakini wakati huo huo na kwa nguvu isiyo na mfano kumuunga mkono Burna Boy. BET inaweza isiwaelewe na inaweza kuona kuwa wanatumika.

Imani yangu ni kwamba hata ikiwa Diamond atashindwa basi siyo kwa sababu ya akina Maria bali ni ushindani wa kawaida kabisa wa mziki.

ANGALIZO: KUPENDWA KWA HAYATI MAGUFULI TANZANIA NA AFRIKA HAKUMAANISHI KWAMBA ALIKUWA NI KIONGOZI MZURI LA HASHA, BALI NI UJINGA WA WATU KUTOKUTAMBUA YALIYOKUWA YANAENDELEA NYUMA YA PAZIA. KWA WAELEWA WA MAMBO MAGUFULI HAKUWA KIONGOZI MZURI HATA KIDOGO.
Diamond ana kura za kutosha za UVCCM.Haitaji kura za CDM
 
Ni swali zuri, kwa tafiti za sayansi ya jamii ukiongea na sample ya watu 15, hapa namaanisha mazungumzo ya kina kabisa na ya muda mrefu, inatosha kufanya hitimisho. Na ndicho nilichofanya. Huwezi kuwaaminisha vinginevyo waafrika wengi kuhusu Magufuli. Tafiti za aina hii huwa ni qualitative.
Kama ni mwanasayansi au siyo mwanasayansi, unachotakiwa kujua ni kuwa kwenye statistical analysis, the bigger the sample the higher perfection. The smaller the samples the higher the biasedness.

Unaposema waafrika wengi, ni lazima hiyo sample yako ihusishe random sampling lakini inayozingatia utaifa.

Mimi, wakati wa utawala wa mwendazake, nilitembelea Mozambique, Burundi, Kenya, DRC, Zambia, Ghana, Burkina Faso, Mali, na South Africa. Nilichokishuhudia ni tofauti na unachokiongea. Kwenye nchi zinazopakana na Tanzania, wote nilioongea nao walionekana wazi kuutambua ubaya wa utawala wa marehemu. Nchi pekee niliowapata watu walioonekana kuamini marehemu ni kiongozi mzuri ni Ghana, Mali na Burkina Faso.
 
Back
Top Bottom