yakowazi
JF-Expert Member
- Feb 9, 2012
- 1,765
- 624
Nani kakwambia we Chademe kabisa ULISIKIA wapiMaria, chadema na kigogo ni fungu la kukosa!
Diamond sasa hivi ni mkubwa kuliko chadema mana wanapambana nae kuliko walivyopambana na ccm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani kakwambia we Chademe kabisa ULISIKIA wapiMaria, chadema na kigogo ni fungu la kukosa!
Diamond sasa hivi ni mkubwa kuliko chadema mana wanapambana nae kuliko walivyopambana na ccm
Africa ilikuwa inamfurahia Magufuli kama watoto wanavyomfurahia Mr Bean!Shalom from Jerusalem,
Awali ya yote napenda niweke wazi kuwa sikumpenda kabisa Magufuli kutokana na ukatili wake ambao uliumiza wengi Tanzania. Lakini ukweli usiopingika ni kwamba ukatili wa Magufuli waafrika wengi nje ya Tanzania na hata ndani ya nchi hawakujua kilichokuwa kinaendelea. Kiufupi kulikuwa na kitu kama brainwashing iliyowafanya wengi kutokuona maovu ya rais huyo dikteta.
Nimepata wakati mgumu sana kuwaaminisha watu (waafrika wa nchi nyingine mbali na Tanzania) kuwa Magufuli hakufaa na kwamba alikuwa muuaji, alikandamiza wapinzani, alibambikiza kesi wapinzani na uovu unaofanana na huo.
Hivyo kujitokeza kwa wanaharakati wakiongozwa na Maria Sarungi wanaotaka BET imwondoe Diamond eti kwa sababu alimuunga mkono Magufuli , "kipenzi cha waafrika", kunaweza kusieleweke kwa waafrika wengi ambao ndiyo hasa wapiga kura kwenye tuzo za 2021 za BET.
Wala siyo siri weusi wengi huku ugaibuni wanamwona Magufuli alikuwa shujaa na ni ngumu sana kuwaaminisha vinginevyo.
Jambo baya zaidi wanalolifanya akina Maria ni kumpinga Diamond lakini wakati huo huo na kwa nguvu isiyo na mfano kumuunga mkono Burna Boy. BET inaweza isiwaelewe na inaweza kuona kuwa wanatumika.
Imani yangu ni kwamba hata ikiwa Diamond atashindwa basi siyo kwa sababu ya akina Maria bali ni ushindani wa kawaida kabisa wa mziki.
ANGALIZO: KUPENDWA KWA HAYATI MAGUFULI TANZANIA NA AFRIKA HAKUMAANISHI KWAMBA ALIKUWA NI KIONGOZI MZURI LA HASHA, BALI NI UJINGA WA WATU KUTOKUTAMBUA YALIYOKUWA YANAENDELEA NYUMA YA PAZIA. KWA WAELEWA WA MAMBO MAGUFULI HAKUWA KIONGOZI MZURI HATA KIDOGO.
Hapana kubali tu umekosea nduguIt has previously been recommended that qualitative studies require a minimum sample size of at least 12 to reach data saturation (Clarke & Braun, 2013; Fugard & Potts, 2014; Guest, Bunce, & Johnson, 2006) Therefore, a sample of 13 was deemed sufficient for the qualitative analysis and scale of this study.
Soma hapa chini uone huyu PhD candidate wa Oxford alitafiti PhD research 500 na alipata averaje kwamba sample size iliyotumika ilikuwa ni 30 tu. Sasa hapa wewe uliyesoma vyuo vyako vya kata ambavyo hata kwenye 1000 bora duniani havimo unapinga nini. Kumbuka kwenye hiyo 30, kuna waliotumia sample size ya 40, 25, 13 n.k kiasi akapata average ya 30...no ww ndio hujui hata qualitative research inakupa result za aina gani.
kwenye issue kama hii unatumia quantitative research kupata actual data kutokana na idadi ya watu unao hoji.
Labda kama umri wangu umeenda sana, ila qualitative research hatuitumii kufanya "generalization".qualitative research huhitaji kwenda huko kote, pengine hujui namna ya kufanya tafiti za namna hii...
walau wewe una hoja, lakini hata kama ningetumia quantitative methods nakwambia bado Magufuli alipendwa na wengi...amini nakwambia.. mi mwenyewe iliniudhi, maana ukiwaeleza ukatili wake hawakuelewi, Sijawahi kukutana na mwafrika aliyempinga Magu...Hapana kubali tu umekosea ndugu
Kama ulikua unatafuta magnitude ya how many people accepting the Magufuli regime basi hapo huwezi tumia Qualitative techniques...Key ni magnitude/upana/HOW many...tena kama ni Africa inabidi uchukue nchi kutoka horn zote yaani west, east, central, north and South (5 countries at least).
Kama ungekua umefanya your research kujua WHY watu wanamu accept or kutomu accept Magufuli sasa hapa ina maana unataka ku explore deep down, maana yake purposively utawachukua key persons wasiozidi 100 kutoka Horn zote 5 za Africa, its just a one case underpinning the study here.
Kwa hiyo hicho ulichokifanya sio research, its something else.
Itoshe kusema tu.Shalom from Jerusalem,
Awali ya yote napenda niweke wazi kuwa sikumpenda kabisa Magufuli kutokana na ukatili wake ambao uliumiza wengi Tanzania. Lakini ukweli usiopingika ni kwamba ukatili wa Magufuli waafrika wengi nje ya Tanzania na hata ndani ya nchi hawakujua kilichokuwa kinaendelea. Kiufupi kulikuwa na kitu kama brainwashing iliyowafanya wengi kutokuona maovu ya rais huyo dikteta.
Nimepata wakati mgumu sana kuwaaminisha watu (waafrika wa nchi nyingine mbali na Tanzania) kuwa Magufuli hakufaa na kwamba alikuwa muuaji, alikandamiza wapinzani, alibambikiza kesi wapinzani na uovu unaofanana na huo.
Hivyo kujitokeza kwa wanaharakati wakiongozwa na Maria Sarungi wanaotaka BET imwondoe Diamond eti kwa sababu alimuunga mkono Magufuli , "kipenzi cha waafrika", kunaweza kusieleweke kwa waafrika wengi ambao ndiyo hasa wapiga kura kwenye tuzo za 2021 za BET.
Wala siyo siri weusi wengi huku ugaibuni wanamwona Magufuli alikuwa shujaa na ni ngumu sana kuwaaminisha vinginevyo.
Jambo baya zaidi wanalolifanya akina Maria ni kumpinga Diamond lakini wakati huo huo na kwa nguvu isiyo na mfano kumuunga mkono Burna Boy. BET inaweza isiwaelewe na inaweza kuona kuwa wanatumika.
Imani yangu ni kwamba hata ikiwa Diamond atashindwa basi siyo kwa sababu ya akina Maria bali ni ushindani wa kawaida kabisa wa mziki.
ANGALIZO: KUPENDWA KWA HAYATI MAGUFULI TANZANIA NA AFRIKA HAKUMAANISHI KWAMBA ALIKUWA NI KIONGOZI MZURI LA HASHA, BALI NI UJINGA WA WATU KUTOKUTAMBUA YALIYOKUWA YANAENDELEA NYUMA YA PAZIA. KWA WAELEWA WA MAMBO MAGUFULI HAKUWA KIONGOZI MZURI HATA KIDOGO.
Hakuwamzuri kwako...Mimi kwangu bado alikuwa mzuri na ataendelea kubaki kuwa mzuriShalom from Jerusalem,

Sio walau nina hoja, bali nina hoja...nikishasema key persons kwenye your research it means hutachukua mtu toka Majohe au Tandale ili aweze kukupa data...utamchukua mtu kutoka Majohe mwenye features/title/status/proffesional/ ambayo itaweza kukufeed raw data ambazo zipo sahihi...nazungumzia Qualitative analysis/techniques na falsafa zake. Sizungumzii whether Magufuli alkua anakubalika au hakubaliki.walau wewe una hoja, lakini hata kama ningetumia quantitative methods nakwambia bado Magufuli alipendwa na wengi...amini nakwambia.. mi mwenyewe iliniudhi, maana ukiwaeleza ukatili wake hawakuelewi, Sijawahi kukutana na mwafrika aliyempinga Magu...
Ivi katika tuzo za Marais bora Africa mbona Jina lake lilitokea vileGoblack2 africa na Travelling sister hawa ndio walikuwa wanaongoza kuwa brainwash diaspora kwa ujinga eti magufuli ni bonge la rais
legacy itajitetea yenyewe.Pamabaneni lakini hamtafanikiwa kuharibu legacy ya Magufuli watanzania wanaelewa sana na wanaakili timamu, na Diamond atashinda tena kwa kishindo.
Alikuwa Bonge la Rais ndio, ndio maana aliiingia nafasi ya 2 miongoni mwa washindani wa tuzo hizo hapo chiniGoblack2 africa na Travelling sister hawa ndio walikuwa wanaongoza kuwa brainwash diaspora kwa ujinga eti magufuli ni bonge la rais
Kwa mara nyingine, nakupa ‘mwongozo’, mbatizaji! Kuna kabila la Wasukuma wa kanda ya ziwa, pia kuna kundi maarufu la nyimbo za sifa kwa mwanakwendazake, wanaitwa sukumagang! Hawa siyo lazima wawe Wasukuma, wapo makabila yote!Daimundi ni msukuma?
Au angesema angalau amefanya hiyo research yake kwenye angalau nchi za kiafrika 15! Sasa unahoji wakikuyu 15 Unafanya conclusion?!!Hapana kubali tu umekosea ndugu
Kama ulikua unatafuta magnitude ya how many people accepting the Magufuli regime basi hapo huwezi tumia Qualitative techniques...Key ni magnitude/upana/HOW many...tena kama ni Africa inabidi uchukue nchi kutoka horn zote yaani west, east, central, north and South (5 countries at least).
Kama ungekua umefanya your research kujua WHY watu wanamu accept or kutomu accept Magufuli sasa hapa ina maana unataka ku explore deep down, maana yake purposively utawachukua key persons wasiozidi 100 kutoka Horn zote 5 za Africa, its just a one case underpinning the study here.
Kwa hiyo hicho ulichokifanya sio research, its something else.
Nitanukuu sifa walizopewa/wanazopewa madikteta mbali mbali duniani waliopo na waliotangulia mbele za haki. Yupo moja hapa Afrika aliitwa Eyadema wa Togo...huyu alikuwa anasifiwa kwa kufanikiwa kumaliza ukame nchini Togo kwa kuwezesha mvua kunyesha na wananchi walikuwa wanaandamana kumpa Asante.Shalom from Jerusalem,
Awali ya yote napenda niweke wazi kuwa sikumpenda kabisa Magufuli kutokana na ukatili wake ambao uliumiza wengi Tanzania. Lakini ukweli usiopingika ni kwamba ukatili wa Magufuli waafrika wengi nje ya Tanzania na hata ndani ya nchi hawakujua kilichokuwa kinaendelea. Kiufupi kulikuwa na kitu kama brainwashing iliyowafanya wengi kutokuona maovu ya rais huyo dikteta.
Nimepata wakati mgumu sana kuwaaminisha watu (waafrika wa nchi nyingine mbali na Tanzania) kuwa Magufuli hakufaa na kwamba alikuwa muuaji, alikandamiza wapinzani, alibambikiza kesi wapinzani na uovu unaofanana na huo.
Hivyo kujitokeza kwa wanaharakati wakiongozwa na Maria Sarungi wanaotaka BET imwondoe Diamond eti kwa sababu alimuunga mkono Magufuli , "kipenzi cha waafrika", kunaweza kusieleweke kwa waafrika wengi ambao ndiyo hasa wapiga kura kwenye tuzo za 2021 za BET.
Wala siyo siri weusi wengi huku ugaibuni wanamwona Magufuli alikuwa shujaa na ni ngumu sana kuwaaminisha vinginevyo.
Jambo baya zaidi wanalolifanya akina Maria ni kumpinga Diamond lakini wakati huo huo na kwa nguvu isiyo na mfano kumuunga mkono Burna Boy. BET inaweza isiwaelewe na inaweza kuona kuwa wanatumika.
Imani yangu ni kwamba hata ikiwa Diamond atashindwa basi siyo kwa sababu ya akina Maria bali ni ushindani wa kawaida kabisa wa mziki.
ANGALIZO: KUPENDWA KWA HAYATI MAGUFULI TANZANIA NA AFRIKA HAKUMAANISHI KWAMBA ALIKUWA NI KIONGOZI MZURI LA HASHA, BALI NI UJINGA WA WATU KUTOKUTAMBUA YALIYOKUWA YANAENDELEA NYUMA YA PAZIA. KWA WAELEWA WA MAMBO MAGUFULI HAKUWA KIONGOZI MZURI HATA KIDOGO.
Waafrica wapi wewe lofa? Umelalia kifua cha mumeo hapo ndio akakudanganya hivyo? Mpuuzi kweli kweli!!!Shalom from Jerusalem,