Katikati ya harakati za 50/50 kinyume chake wanawake wengi siku hizi hawana furaha

Sasa ndio u panick kama sio stress hizo ni nini sasa, 🤣, yaani umetutukana forum nzima imebaki kutukana ma mods basi
 
We sema tu ukweli kua " mme wangu mi hanihudumii ipasavyo kuacha kazi haitowezekana lazima nichape kazi nimtawale , sio unakuja na stress zake hapa unatutukana forum nzima"🤣 kani tumekuoa forum nzima , si uliolewa kwa hiyari yako kubali kutawalika🤣🤣
 
Lengo la uzi hujalielewa na wewe umejaa kwenye mfumo yaani mulemule mleta uzi alichomaanisha.

Labda nikueleweshe tena, hamna anaetaka msifanye kazi, fanyeni kazi kwa bidii kabisa ila msijisahau sana mkawa bize na kazi mkasahau ninyi ni kina nani.
Mwanamke ni mama, anaplay part kubwa sana ya malezi ya mtoto na familia kwa ujumla. Kibongobongo ni kimbilio la kwanza kwa mtoto.
Hata sisi wazazi wetu walifanya kazi(waliajiliwa na kujiajiri) ila hawakua kama mlivyo ninyi, hawakufanya ili washindane na waume zao bali ili kuzilinda familia kiuchumi.

Na kama mwanaume ni kiazi/kilaza/asiejiamini anaependa kumkandamiza mwanamke atakukandamiza tu pamoja na kazi uliyonayo.
Ubaya ni kua huwa mnadhani ukiwa na kazi basi huhitaji kumheshimu mumeo maana hana anacho offer ukashindwa kujihudumia, upendo unapotea maana inakua kama nyote ni mabeberu.

Kama wewe unafanya kazi ili mumeo asikunyanyase basi ni kilaza sijapata kuona. Kazi ni kwa ajili ya manufaa yako na familia yako(wewe mumeo na wanenu) na sio kinga ya kutonyanyaswa.
Na hapa ndo penye shida matokeo yake sasa pesa za mke hata hazionekani zinaenda wapi, ujeuri, kiburi nk ndo chanzo chake hapa.
 
Hajajua hata lengo la hii mada kumbe ilikua inatafuta mtu wa ku panick ndio anakua mhusika🤣🤣 hili ni jiwe la gizani
Hajaelewa mada inahusi nini, reply ya kwanza kabisa pale mwanamke mwenzie kaelewa mada inahusi nini na kaeleza ukweli wake.

Ila huyu ana inferiority complex, anahisi kashambuliwa kihisia wakati mada haijajikita huko anakotaka yeye.
 
Kwa bahati mbaya, yeye ndo alinilipia ada ya masters. Kwahiyo kwenye hilo kundi lako haingii. Next
 
Ngoja tumsikikizie asipokuelewa na hapa tena mkuu, itakua ni mental disorder itabidi akapate therapy kabisa 🤣🤣
ja
 
Na wewe umenikuta namjibu mtu mwengine umeparamia. Kuna sehemu umeona nimemjibu mtoa mada?

Huyu mwenzenu kaja anasema mke wa gsm ni housewife as a proud african woman should be. Si mke wa gsm alimzawadia mmewe nyumba ushuani huko! Kwahiyo walikua wana act maana kama hawana kazi alipata wapi hela za kumnunulia nyumba mume.

Ndo nikawa namuuliza kama yeye ana uwezo kama wa gsm ili huyo proud african wife atulie. Kwakuwa mna mihemko mmekuja kuvagaa hapa. Em kaeni pembeni kwanza wekeaneni vikao vya kutafuta pesa muwe kama kina gsm muone kama wanawake hawatopenda kutulia nyumbani.
 

Attachments

  • IMG_7054.jpeg
    178.1 KB · Views: 2
Kwa bahati mbaya, yeye ndo alinilipia ada ya masters. Kwahiyo kwenye hilo kundi lako haingii. Next
Masters gani hata hekima huna unatutukana tu watu wazima ovyo hadi tunajihisi kama tumemvamia chizi, tafuta hekima kwanza ya ku behave kama mwanamke kwa heshima ndio hio elimu yako tutaiona ina msaada kwako,

Swali la kizushi,: Hivi nliskiaga mtu akisoma sana anachanganyikiwa ni kweli?🤣
 
Wanawake wa kiislam haswa wale swala 5 wake zao hukuti wako na mashughuli.
Mke analea watoto tu, mume ndio anaingia kutafuta chapaa.
Ila sharti ni kua umhidumie mke kwa kila kitu na pia umuwekee na msaidizi(niliowashuhidia wengi iko hivyo).

Hao kina Gsm ni moja ya hizo familia zenye itikadi hizo, na wala huhitaji kua na pesa kama Gsm kikubwa uweze kumtimizia mkeo mahitaji yake.

Hao wanaotaka mke aache kazi nao wana sababu zao pia na pia inategemeana ni kazi gani. Huwezi kumshangaa mtu akimuachisha kazi hatarishi mkewe, au unadhani kazi ni za ofisini tu.

Na pia utulivu wa nafsi ni muhimu, kama unahisi mkeo huko anakofanya kazi sio salama na wewe uwezo wa kumhudumia unao ni kukaa chini kuset terms tu.
Shida inakuja mwanamke kaolewa na kanjanja asie muaminifu, kanjanja anaweza sema acha kazi afu lenyewe ni mishemtown tu hana dili za kueleweka ni mawivu tu yamefanya kakuachisha kazi.
Umeolewa na mtu hata kazi yake huijui, ni malaya, ana watoto kibao nje hapo ukiacha kazi kwa kulazimishwa nae basi utakua huipendi familia yako.
 
Umeishiwa hoja. Hakuna hata point moja mliyojibu kwa hoja! Wanaume wa hf mnawaandama sana wanawake. Ingieni labor basi ili tumalizane kabisa
 
Wewe pia unahitaji ushauri, kuna jambo linakusibu
Pambana na mwanamke uliyemchagua......
Walioopoa boko waacheni wao
Kila siku kufungua nyuzi humu wanawake this wanawake that ni dalili ya kukosa akili na kukosa mwelekeo.... la saba B wapo kibao mtaani kaoeni hao, life is not that deep sawa???

Au na sisi tuwe tunafungua nyuzi humu ambavyo asilimia kubwa ya 30s-40 wana uwezo wa kifedha wa kuunga unga, mixer vitambi vya hovyo hovyo na nguvu za kiume ni adimu????

KILA MTU ASHINDE MECHI ZAKE and let me ignore you akili yako inatosha kufungua zipu ya suruali tu
 
Sasa mkuu ungekuja hivi tangu mwanzo kwani tungefikia kwenye kulumbana? Umeongea kama mwanaume na mimi ndo napenda nikiongea na mwanaume aweke mada yake hivi. Hiyo aya ya Mwisho umemaliza kila kitu! Wanaume wengi hapa wanakwepa kupaongelea. Wanataka mwanamke awe chini, asifanye kazi lakini yeye ni mlevi aliepindukia, kodi hana, ada hatoi. Na amezalisha wanawake zaidi ya watatu na bado anakomalia mkewe alee hao watoto wake wa nje. Lazima pachimbike.

Huyo mwanamke anapata wapi amani na nuru mnayoitaka? Kwako I rest my case labda kama kuna lingine🤝
 
Jingine punguza kebehi na kauli mbaya kwa members wenzio.
Wapo wanaochukulia serious majibizano ya mitandaoni, utawadhuru hisia zao ama lah utadhulika wewe kihisia.
 
Ndo maana nikasema kuna jambo linakusibu, ulichokiandika sijakizungumza, umejibu kitu tofauti kabisa.
 

Hapa nakuunga mkono kwa asilimia zote. Mwanamke akitaka aishi kama malkia basi anitii na kuniheshimu. Lazima niwe mtumwa kwake. Huu ukweli umesemwa tangu na tangu.
 
Jingine punguza kebehi na kauli mbaya kwa members wenzio.
Wapo wanaochukulia serious majibizano ya mitandaoni, utawadhuru hisia zao ama lah utadhulika wewe kihisia.
Ushauri umepokelewa🤝 tatizo walikua wanakuja kichwa kichwa ikabidi nigawe wastani kwa idadi.

Wanatutukana sana wanawake mada nyingi ni za kutushusha tu mara tuite mipira mibovu sasa mtu akijichanganya yanakua mengine.
 

Hii bibie sio hoja ya msingi, sababu tupo tuna vipato vya chini ya hao ulio wataja ila wake zetu wanaishi maisha mazuri na wanapendeza kuzidi nyinyi mnao fanya kazi. Hapo cha msingi ni upate mwanaume wa kweli na wewe mwanamke ujitambue na uishi katika uhalisia sio uishi maisha ya wenzako kwamba mama fulani kavaa hiki na wewe uvae au mfano wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…