Katikati ya harakati za 50/50 kinyume chake wanawake wengi siku hizi hawana furaha

Maduka ya dawa yajiandae kuagiza mzigo wa kutosha wa dawa za antidepressants na za usingizi na pia wale mnaokwenda vyuoni someeni maswala ya psychology itakuja kuwa a very paying careers especially kwa wanaume maana ndio huwa the best psychologists kwa wanawake, na milembe ijiandae kupokea patients wapya.

Pale Moshi na Arusha machizi wengi ni wanawake ndio utakutana nao wanaokota makopo, na takwimu za matumizi ya dawa za kulevya zinasomeka kuwa wanawake wanaongoza.

Hii sio nzuri na sio swala la kuchekea tutawapoteza hawa viumbe.
 
Wameishikiria kwa nguvu ni ngumu kuwatenganisha nayo.
 
Af wenzie wanamtetea eti hajaongelea kwa ubaya🤣 tushawahi kupopoana kwenye mada na huyu jamaa mwaka 2022 alikua anatukana wanawake kinoma. Nahisi kaoa jitu gani sijui au bosi wake ni mwanamke basi anamsumbua

Af wenzie wanamtetea eti hajaongelea kwa ubaya🤣 tushawahi kupopoana kwenye mada na huyu jamaa mwaka 2022 alikua anatukana wanawake kinoma. Nahisi kaoa jitu gani sijui au bosi wake ni mwanamke basi anamsumbuaa
Ukiona hivyo ana chuki binafsi na wanawake . Pia inferiority complex.
 
Its like unawaongelea wanaume wenye character sita ndani ya mtu m'moja. Yaani huyo huyo ni abuser wa wanawake, huyo huyo ni masikini anayetokea familia au ukoo wa mafukara, huyo huyo ana kazi nzuri ambayo ofisini kwao anakutana na secretary pisi kali jambo ambalo ni ngumu kukutana nae kama mwanaume anafanya kazi kampuni ya zoa maji taka, huyo huyo mwanaume ni mbabe etc.

Sasa maswali yangu kwako nitakuuliza, hivi kwa uelewa wako, mwanaume wa kawaida ana asilimia ngapi za uhakika wa kumpata binti wa kishua akamuweka ndani kama mkewe wa ndoa so umeassume huyu binti anatoka tu kwao na kuanza maisha, hakuna process za mahari, posa, kuchunguza maisha ya mwanaume before hamjaanza ishi pamoja?

So kwenye hii imaginary scenario yako umeassume kuwa waume wanachotaka ni kumharibia mkewe maisha yaani wanaume hawa hawafikirii kabisa maendeleo yaani akirudi nyumbani hawazi hata kutazama tamthiria au kukaa na mkewe wapange maisha, anachowaza ni kumharibia maisha amuone amefeli kabisa, kweli hivi ndivyo inavyofikiria? [emoji848]

Kwahiyo umetengeneza mwanaume kwenye fikra zako kama kiumbe mwenye wazimu asiyejua maisha ni nini ila mwanamke ndie ana akili ya Maisha kwamba mwanamke atalosema na kuwaza ndilo litafanya maisha yasonge mbele ila mwanaume kila atakalo amua litakuwa na mwisho wa kufeli? Unaona akili za mabinti wa kisasa ambao kidogo mlipata fursa ya kujiendeleza kielimu? [emoji848]

Kwahiyo umeassume kuwa mwanaume kutotaka mkewe asifanye kazi basi imaanishe akae ndani kama yai, wanaume wa namna hiyo huwa mnakutana wapi hebu tuambie maana hata mimi nimesoma ulichoandika huwa nakiskia tu na kukiona kwa nadra sana kwenye jamii sio jambo la kusema ni prevalent kwenye maisha na jamii yetu, wewe mwenzetu haya unayaona wapi, au unatazama sana tamthiria za jua kali unahisi ndio maisha hali ya watu yale? [emoji848]

What if mwanamke anafanya kazi ambayo ni ya kusafiri sana na boss wake na wapo pamoja muda wote, mwanaume akitaka kuokoa ndoa yake na kumtaka mkewe kuacha hiyo kazi afanye biashara zao atakuwa anakosea? Kwako mkataba wa kazi ya miaka 20 ni kipaumbele kuliko mkataba wa ndoa wa kudumu? [emoji848]

Kuna vitu vingi umeongea na hoja imenyooka kwa maana maelezo yanasomeka ila umeongea vitu kinadharia sana unaonekana maisha unayatengeza kwa scenario za kutunga kichwani badala ya kuobserve kinachotokea kwenye uhalisia.

Acha kujitisha. Unaona mfano mimi nimekusoma tu nimeshajua kuwa haujui maisha yanaendaje sababu unawazungumzia watu kwa character tofauti ambazo huwa ni ngumu mtu azibebe zote kwapamoja kwasababu Maisha humshape mtu kuwa na tabia au haiba fulani ni ngumu mtu kubeba zaidi ya haiba moja. Huwezi kuwa mchoyo halafu tena uwe mkarimu, huwezi kuwa mnyanyasaji wa wanawake halafu uwe na mapenzi ya kweli, huwezi kuwa binti kutoka familia ya single mother ukawa na tabia za kufanana na binti aliyelelewa familia ya baba na mama, huwezi kulelewa na mama mdangaji halafu uje kuwa sista wa kanisani historia yako ya malezi na background yako vitakuhukumu utafeli mission ya usista.

Nadhani unahitaji exposure ya maisha kwasababu unaumba mtu kama director wa movie ila unasahau maisha sio movie. Nimalizie kwa kusema, women view life as fairytale male view life as practical physics and mathematics assignments.
 
Akibishana na wewe atakuwa ndio wale wale wasiojua walisemalo.
 
So watoto uliosema wa uswahili, umetazama wale wanawake au mama zao ni watu wa aina gani? [emoji848]Hata kama wangekuwa na kazi unahisi factor ya mtoto kuharibika kimaadili chanzo huwa ni nini?

Labda hauwafahamu vema wanawake wa uswazi ambao wengi wanatokea koo za kizaramo, kindengeleko, wamakonde, wakwere, walugulu, jamii za kufanana huwa zinakaa pamoja na kuelewana. We umkute mhaya au mchagga hayo maeneo?
 
Umechapa barua mzeee....
Nayeye anajipanga huko anakuja
 
Hili mbona kuna Mbunge alilizungumza mbungeni!?
Yule Mbunge jina nimemsahau ni mwanamke,alikua akiikosoa bajeti iliopangwa na waziri wa jinsia,wanawake na watoto.
Aligusia hili suala la wanawake kuharibiwa na feminism kiasi hata furaha pia hawana na wengi wao kuishia upweke.
Maana ujiko wa mwanaume wamejipa wao,na hakuna mwanaume anaeweza kuwa beneti na mwanamke-mwanaume.
Yule mama aliongea mengi sana.
KIUFUPI ULIYOZUNGUMZA MLETA MADA YANA UKWELI 10000%.
Hata wao wenyewe wanalithibitisha.
 
Hujaelewa mleta mada anagusia nini.
Kinachozungumziwa sio mwanamke kutokujipambanua kiuchumi.
Ila kinachozungumziwa ni mwanamke kufahamu nafasi yake katika jamii kama mwanamke ikoje pasi na kujalisha kipato wala cheo.
Wanawake wa kiAfrica wakishapata pesa ama cheo huwa wanajisahau wao ni kina nani na wana nafasi gani katika jamii.
Uwe na pesa uwe na cheo mwanamke itambue nafasi yako katika jamii and play your role.
Sasa hapa kwenye ku play role ndio mnajisahau.
Mbona wanawake wa wenzetu huko Asia Matajiri na wanaheshimu nafasi zao kama wanawake na wake na wana play role zao kama wanawake katika jamii!??
Ila kwanini ninyi mnajisahau nafasi zenu katika jamii??
Yani mkiweza kutengeneza 20k tu ni kelele aisee mnavimba na makisirani tu na kauli mbovu juu"usinitishe kama pesa na mimi natengeneza" LOL!!
Acheni kujisahau.
 
Mbona hoja zako una hama hama haueleweki kuwa unalenga kusema kitu gani in conclusion. Yaani kama ni umepewa nafasi ya kumtuhumu tu unakuwa kama wale watu waliomhukumu Yesu, wanaulizwa kosa lake ni lipi kila mtu anaongea hili mara lile anashindwa kujenga hoja ya msingi kwa kauli moja kuwa huyu mtu anashida moja mbili tatu na hizi shida mimi personally zinanidhuru hapa na hapa na hapa.

Wewe mleta mada ameweka hapa very clear kuwa issue ya 50/50 ina madhara haya na haya kwa wanawake, SIO KWA WANAUME KWA WANAWAKE. Wewe unakuja unasema mara sijui tukiacha kazi mnatunyanyasa, mara kuacha buku, mara kuzaa na wanawake nje, mara kutembea na secretary, mara kupauka sababu ya kukosa matunzo? [emoji848] Wewe mbona unaujengaji wa hoja kwa namna ya kitoto sana aiseeee.

Yaani umeacha kuona tatizo linalowadhuru wanawake wenzako unaanza kujadili changamoto zako za anxiety na insecurities kwenye mahusiano.

Acha kusteer na kuconfuse the conversation here kufit your narratives mbona unapenda sana kuchekecha mada ije kukaa kwenye meza yako na kufanya mjadala uache kulenga maudhui lengwa? [emoji848]

Grow up, i can smell your attitude and personality even ukiandika sentence za aya moja tu you have that childish signature attached with you. Hebu kua kwanza uende ukaolewe uexperience life katika uhalisia utibu hizo insecurities zako kwanza ndipo uwe unakuja kujadili mada za kiutu uzima na watu wazima sio unakuja na form six au secondary school girl perception on marriage kumbe you lack an ounce of knowledge about grownups relationships and marriage.
 
Aisee haya maelezo yamejitosheleza sana mkuu.
 

Naona ninachokiandika hukielewi, huo upande wa negative nimeuongelea pia ndio nikawa nakwambia wewe unajenga hoja upande wa uadhaifu na sio ukamilifu. Hii ikapelekea wewe kulifanya jambo likawa la ujumla wakati ukweli ni kinyume chake. Ulitakiwa ujenge hoja kwenye ukamilifu huku ukiwakosoa wanaokosea na hiki ndio nakifanya mimi.

Mpaka nakubali kwamba kuna udhaifu namaanisha watu wote sio wema, elewa maneno bibie.

Ndio hata usipokuwa na kazi ya kuingiza kipato pia unaishi, bibie mbona unajitia upofu wakati mambo yako wazi haya ?
 

Ndio maana nikasema unadhani kusaidiwa ni kuomba omba ? Ulitakiwa usome na mtiririko wa hoja, hata kupata kazi nako ni kusaidiwa hata kupewa mawazo ya kufanya kazi kwa bidii ni kusaidiwa pia. Hoja yangu ya msingi huyo mwanaume anasaidiwa kwa namna moja au nyingine katika upambanaji.

Shida yenu mmepewa upofu na mkawa wajinga hata wa kuyafikiria mambo kwa undani badala yake mmekuwa watumwa wa kutafuta hela na kudhalilishwa.

Bibi kwa ufupi hamjazijua siri za kuishi kwa furaha katika dunia hii, japo mitihani ipo lakini sio kwa mitazamo yenu hasi.

Ukweli bado hujawa na hoja sababu ulipojengea hoja yako ni kwenye makosa.
 
Acha wachapike na sera zao zinazotokana na FEMINISM
Wanaiga harakati za mataifa ya kimagharibi wanaishia kujitesa wakati mifumo yao ya kijamii na yetu haviendani.
Na kwenye hili siku hizi hawaongei kabisa vichwa chini aibu tupu. Na ukiona vimbelembele ujue vidada vya juzi. Navyo subiri vikutane na maji ya moto miaka kadhaa tu mbele unavikuta vimenyweaaaa
Hawatakuja kuelewa maana ya UANAUME hata siku moja, wameutaka sasa unawatesa, walihisi tunafaidi 🤣
 
Hata huko Magharibi mkuu hii feminism inawatesa sana.
Maana imewapa uhuru kiasi wakachupa mipaka ya ule uhuru stahiki,wanaishi ishi tu ila sio yale maisha ya furaha kama itakikanavyo.
Mie huwa nafuatilia vipindi vyao sana kwenye vyombo vya habari na kwingineko.
Hata Ulaya na America haijawaacha salama hii kitu.
 
Utajua mwenyewe. Inferior set of human beings[emoji1787] I have dreams too. Yani maisha ya mwanamke hayawezi ku revolve around a man’s world. Over
Utajua haujui endelea kukimbiza ndoto. Ukifika 30 hapo utaanza kupata sasa joto lenyewe, utaufyata hautaamini. Wenzako walikuwa na mdomo wewe cha mtoto. Saa hii wapole kama paka kamwagiwa maji.

Uzuri ni kwamba kwenye movie unazozitengeneza unaweza kuedit ila kwenye uhalisia hakuna kitu utaedit.
 
Kwa bahati mbaya sana, mwanaume ana uwezo wa kufanya maamuzi na kutoa ahadi akiwa juu ya kiuno. Na huwa mnakiri kabisa huo ni udhaifu wenu unawapelekea hadi kutelekeza familia zenu. katika hilo haitakaa ije itokee siku nikasikiliza maoni ya kiumbe wa aina hiyo! Sio lazima uioje hiyo hoja ila my take is not all men are men. Wengine mnavaa suruali tu maamuzi mengi wanafanya mama zenu. Bye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…