Katikati ya harakati za 50/50 kinyume chake wanawake wengi siku hizi hawana furaha

Nauliza huwa ni kwanini mwanamke akifiwa na mume lazima ateseke kupambania mali za mume wake na watoto? Lakini mwanamke akitangulia akabaki mume hamna anaesumbua hata kama mali alizichuma mwanamke kwa bidii.

Hii scenario imekuja ofisini last month siwezi kuielezea hapa maana victim anaweza kuwepo jf akaumia au akaona natoa siri zake. Kwa ufupi tu, baba aliwatelekeza akaenda kutengeneza familia nyingine, mama akapambana na mtoto wake wakajenga nyumba from the scratch, sasa mama yao kafa yule mzee karudi anasema ile nyumba ni ya mkewe na hawakupeana talaka so ana haki nayo. Kesi ndo inaanza kusikilizwa mwezi ujao.
Aliyefungua kesi ni nani? Ndugu wa mwanamke?
 
Nyie ndo vilaza sasa. Maana mpuuzi mwenzenu mmoja aliejifanya anamsifia eti mke wa gsm ni mama wa nyumbani huyo ndo nliekua namjibu nyie wenye nyege mmeikutia mada katikati. Mkadandia ndo maana siku hizi mmo.
Sasa si utulie upelekewe moto, watu wananyege unawakatalia. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Context yako ya mwanaume kutaka mke wa kukaa nyumbani tu ni tofauti na context yetu wanaume kutaka mwanamke akae nyumbani.

Wewe unatazama kama mwanaume anataka mke akae tu kama msukule sababu haujui hata wanaume huwa wanalenga program gani kwa wake zao wakiwa nyumbani.

Mimi huwa nakuwapo nyumbani muda mwingi but i have my ways kumake money ambazo hata mwanamke wangu namtrain na anazimudu so ananisaidia hata nikuwa sipo hapa mjini. So kuna module ya maisha mwanamke anaweza ishi na akatengeza milioni 3 akiwa home yaani ile most of the time unamkuta home.

Mfano tunafuga kuku shambani huko ila hapo home ndipo tunawahifadhi kwenye mafriza na wateja wanakuja kuwachukulia hapo na amesomea accounting anatunza vitabu vya biashara zetu ila hatoki home yupo muda wote anarelax anatazama tv, anakula Netflix, anapika chakula nakuja kula narudi kitaa naendelea na harakati. Na tukipiga total ya mapato tunatengeneza zaidi ya milioni 4.5 kwa mwezi, shida inakuwa wapi?

Sasa wewe sababu ya kukosa kwanza exposure ya mahusiano, maisha ya ndoa, hujui vitu unaishia kutunga tunga unachokiona ni mwanaume akisema mke abakie home unaona mwanamke anaeteswa, amefunguwa kwenye chumba na kufuli, jamaa akirudi anamtandika bakora, anamuua halafu anamuua tena ana mfufua, yaani unaona maangamizi tu[emoji23][emoji23][emoji23]

Ndio maana nakwambia wewe unamatatizo ya akili na haya matatizo yatakuja kukupeleka direction ambayo sio yako. Endekeza tu hizi ligi, maneno yanaumba, ukikiwaza sana kitu kinakuja kukutokea maana si unakiita na mawazo yako?
Wanatumia hisia kutafakari 🤣
 
Sasa ndio u panick kama sio stress hizo ni nini sasa, [emoji1787], yaani umetutukana forum nzima imebaki kutukana ma mods basi
Ngoja nichochee kuni, apikwe huyu hadi aive leo bado hajalainika chochea kuni.
IMG_20220606_114752.jpg
 
We sema tu ukweli kua " mme wangu mi hanihudumii ipasavyo kuacha kazi haitowezekana lazima nichape kazi nimtawale , sio unakuja na stress zake hapa unatutukana forum nzima"[emoji1787] kani tumekuoa forum nzima , si uliolewa kwa hiyari yako kubali kutawalika[emoji1787][emoji1787]
Hajaolewa huyu unakuta kapo 25 ndio maana kanajihami. Mwanamke aliyeolewa huu uzi asingeubishia maana anajua balaa la uraini lilivyo.

We ushawahi kutana na mlala njaa anamwaga chakula? [emoji848]
 
Kuna shida kidogo katika jamii yetu,hii shida ni kwamba mwanaume huwa ana ujazo ama uzito kuliko mwanamke.
Sijui hili nilieleze vipi?
Ila ile nadharia ya muoaji ndio provider imefanya muolewajwi awe inferior katika jamii.
Japo sio katika jamii zote.
Mali alizochuma mume mara nyingi katika jamii zetu za kiAfrica sio tu Tanzania huwa zinachukuliwa ndugu wa mume ndio wana haki,japo kiuhalisia haiko hivyo,mwenye haki ni mke na watoto.
Na ndio maana ni muhimu elimu itolewe kwa kina mama zaidi na zaidi ili watambue haki zao juu ya hili suala.
Mwanamke akitambua haki zake ni ngumu kudhulumika.

Japo hiyo kesi ya huyo mama ni nzito kiasi na inasikitisha,kuna wanaume wana roho mbaya sana aisee.
Mungu amjaalie mambo yaende sawa,ila kama anataka ashinde hiyo kesi,aende mahakama kuu ya mirathi Chang'ombe mbele ya Chang'ombe polisi kama unaelekea Temeke hospitali mkabala na jengo la NIDA.
Pale kesi husikilizwa directly na unalipia hela ya ufunguzi wa kesi tu 11,000/= elfu kumi na moja basi.
Akihangaika kwengine huwenda haki yake ikachelewa sana ama kupotea.
Umenielewa vizuri kabisa
 
Hajaelewa mada inahusi nini, reply ya kwanza kabisa pale mwanamke mwenzie kaelewa mada inahusi nini na kaeleza ukweli wake.

Ila huyu ana inferiority complex, anahisi kashambuliwa kihisia wakati mada haijajikita huko anakotaka yeye.
Huyu mimi nina uhakika ni Jadda huyu. Yaani ndio anakuwaga na ligi za kipuuzi za hivi kubishana na watu wazima na hakuna analojua.
 
Context yako ya mwanaume kutaka mke wa kukaa nyumbani tu ni tofauti na context yetu wanaume kutaka mwanamke akae nyumbani.

Wewe unatazama kama mwanaume anataka mke akae tu kama msukule sababu haujui hata wanaume huwa wanalenga program gani kwa wake zao wakiwa nyumbani.

Mimi huwa nakuwapo nyumbani muda mwingi but i have my ways kumake money ambazo hata mwanamke wangu namtrain na anazimudu so ananisaidia hata nikuwa sipo hapa mjini. So kuna module ya maisha mwanamke anaweza ishi na akatengeza milioni 3 akiwa home yaani ile most of the time unamkuta home.

Mfano tunafuga kuku shambani huko ila hapo home ndipo tunawahifadhi kwenye mafriza na wateja wanakuja kuwachukulia hapo na amesomea accounting anatunza vitabu vya biashara zetu ila hatoki home yupo muda wote anarelax anatazama tv, anakula Netflix, anapika chakula nakuja kula narudi kitaa naendelea na harakati. Na tukipiga total ya mapato tunatengeneza zaidi ya milioni 4.5 kwa mwezi, shida inakuwa wapi?

Sasa wewe sababu ya kukosa kwanza exposure ya mahusiano, maisha ya ndoa, hujui vitu unaishia kutunga tunga unachokiona ni mwanaume akisema mke abakie home unaona mwanamke anaeteswa, amefunguwa kwenye chumba na kufuli, jamaa akirudi anamtandika bakora, anamuua halafu anamuua tena ana mfufua, yaani unaona maangamizi tu[emoji23][emoji23][emoji23]

Ndio maana nakwambia wewe unamatatizo ya akili na haya matatizo yatakuja kukupeleka direction ambayo sio yako. Endekeza tu hizi ligi, maneno yanaumba, ukikiwaza sana kitu kinakuja kukutokea maana si unakiita na mawazo yako?
Hapo kwenye kuniita nna matatizo ya akili tunaweza kufikishana mbali bro. Kuwa tu mstaarabu maana hamna mtu hana maneno ya shombo. Wewe unasema unamtengenezea mkeo mradi wa kufanya. Na wasio na uwezo wa kutengeneza huo mradi wanafanyaje?
 
Context yako ya mwanaume kutaka mke wa kukaa nyumbani tu ni tofauti na context yetu wanaume kutaka mwanamke akae nyumbani.

Wewe unatazama kama mwanaume anataka mke akae tu kama msukule sababu haujui hata wanaume huwa wanalenga program gani kwa wake zao wakiwa nyumbani.

Mimi huwa nakuwapo nyumbani muda mwingi but i have my ways kumake money ambazo hata mwanamke wangu namtrain na anazimudu so ananisaidia hata nikuwa sipo hapa mjini. So kuna module ya maisha mwanamke anaweza ishi na akatengeza milioni 3 akiwa home yaani ile most of the time unamkuta home.

Mfano tunafuga kuku shambani huko ila hapo home ndipo tunawahifadhi kwenye mafriza na wateja wanakuja kuwachukulia hapo na amesomea accounting anatunza vitabu vya biashara zetu ila hatoki home yupo muda wote anarelax anatazama tv, anakula Netflix, anapika chakula nakuja kula narudi kitaa naendelea na harakati. Na tukipiga total ya mapato tunatengeneza zaidi ya milioni 4.5 kwa mwezi, shida inakuwa wapi?

Sasa wewe sababu ya kukosa kwanza exposure ya mahusiano, maisha ya ndoa, hujui vitu unaishia kutunga tunga unachokiona ni mwanaume akisema mke abakie home unaona mwanamke anaeteswa, amefunguwa kwenye chumba na kufuli, jamaa akirudi anamtandika bakora, anamuua halafu anamuua tena ana mfufua, yaani unaona maangamizi tu[emoji23][emoji23][emoji23]

Ndio maana nakwambia wewe unamatatizo ya akili na haya matatizo yatakuja kukupeleka direction ambayo sio yako. Endekeza tu hizi ligi, maneno yanaumba, ukikiwaza sana kitu kinakuja kukutokea maana si unakiita na mawazo yako?
Hapa umenena mkuu.
Maisha ya ndoa huwa yanatofautiana uendeshaji.
Japo kuna namna zingine haziko sawa hata kidogo japo wanandoa mmekubaliana.
Mathalan nina shemeji yangu dada wa mkewangu,kaolewa ila mume kamuacha mkoa A yeye anafanya kazi na kuishi Manyara.
Anarudi mara moja kwa mwezi kesha anaondoka.
Sasa hapa kuna ndoa kaka??
Maamuzi mengine tunayochukua wanaume ni kuwaokoa wenyewe wanawake na masahibu ya dunia,ila wao hawaelewi hili.
 
Mwanamke asikae tu ananenepa. Fungueni hata mradi wa familia hata duka tu. Si kila wakati mambo huenda sawa, kuna nyakati mambo huenda shaghalabagala. Maoni yangu mkuu.

MUNGU aepushie mbali ila ukikosa uwezekano wa kuimbiwa wimbo wa ulinikuta kazini kwanini ulinitoa utausikia sana.
Wife ana mradi wa kuku wa mayai zaidi ya buku nyumbani, huwezi amini ila kwa mwezi anawapiga overtake wafanyakazi wengi sana wa umma kwa maokoto
 
Masters gani hata hekima huna unatutukana tu watu wazima ovyo hadi tunajihisi kama tumemvamia chizi, tafuta hekima kwanza ya ku behave kama mwanamke kwa heshima ndio hio elimu yako tutaiona ina msaada kwako,

Swali la kizushi,: Hivi nliskiaga mtu akisoma sana anachanganyikiwa ni kweli?[emoji1787]
Mwanaume akisoma anakuwa na akili anapata kazi ya mshahara mkubwa au anafungua biashara kubwa, mwanamke akisoma anakuwa mjinga anaanza kugombana na wauame na wanawake wenzake anajiunga na mafeminist ambao hawana ajenda moja ingawa wapo pamoja, wanazeeka bila maisha wanakuwa vichaa.
 
Umeishiwa hoja. Hakuna hata point moja mliyojibu kwa hoja! Wanaume wa hf mnawaandama sana wanawake. Ingieni labor basi ili tumalizane kabisa
Aiseee macomrade mje hapa hii Violence isipoe iwe ya moto naomba mje na kuni za kutosha.
IMG_20220512_220507.jpg
 
Mwanaume akisoma anakuwa na akili anapata kazi ya mshahara mkubwa au anafungua biashara kubwa, mwanamke akisoma anakuwa mjinga anaanza kugombana na wauame na wanawake wenzake anajiunga na mafeminist ambao hawana ajenda moja ingawa wapo pamoja, wanazeeka bila maisha wanakuwa vichaa.
Mwijaku amesoma ila amechagua kuwa msifia wanaume. Baba levo kaacha udiwani yupo mjini anatamani kumzalia diamond. Na wakirudi nyumbani tunawapokea na kuwapa heshima zote za kuwa baba wa familia.

Kupanga ni kuchagua.

Hapo unaposema mwanamke akisoma anakua mjinga na mimi nizidi kusisitiza wanaume wana vichwa viwili na wengi wanatumia cha chini kufanya maamuzi that makes all of them dumb as well. Acha kutukana wanawake
 
Aiseee macomrade mje hapa hii Violence isipoe iwe ya moto naomba mje na kuni za kutosha. View attachment 3002634
Hivi we unadhani nakuogopa? Ndo maana saizi kizazi kinacholindwa sana ni cha kiume maana mkikunjwa kidogo
Tu kwisha habari🤣🤣 jishkilieni hivyo hivyo mlinde nyeti hizo maana ndo zinazowapa kiburi hii vita utapigana mwenyewe. Sibishani na mtu aliepita katikati ya mapaja ya mwanamke. Labda kama ulijambwa.

Violence is hereby accepted. 🤝
 
Back
Top Bottom