PostGE2025 Kesi ya Ugaidi ina Dhamana? Kwanini Viongozi wa CHADEMA wamepata Dhamana? Kuna presha ya maridhiano?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
I know hostory za mataifa makubwa, unajua both they share one thing, serikal zao hazikuua watu ili zibaki madarakani au chama fulani kitawale, vita yao ilikuwa ya interest fulani

Only in afrika ambapo ndio hiko hivyo, sisemi tuitupe tanzania, but wahusika watawajibika !?
 
Yawezekana kosa la uhaini lilifutwa na kubaki makosa ya uchochezi. Jamani ada zetu zituletee manufaa
 
Tuwekee ile barua yao polisi inayowataka wajisalimishe vituoni.
 
Kasome tena kasome upya hujasoma na unasimuliwa wameuwa sanaaaaa sanaa sio kidogo ni sanaa Tz juzi ni kama kutuliza vibaka tu. Anyway tuache mbali fatilia tu hapo syria walipogoma maridhiano miaka 10 al asady ana chinja Raia na ndugu zake
 
Maeidhiano ni katiba mpa na uchaguzi u ulio huru na haki, mambo ya kutekana yakomeshwe tofauti na hapo ni kusaliti damu za watanzania wenzetu waliojitoa kwa ajili yetu.
 
Samia na wauaji wanawazoom na kisha wanacheka sana yani utake katiba mpya ili upate uchaguzi huru ili yeye samia na genge lake wapoteze madaraka alafu waione icc hii hapa, samia sio fala kiasi hicho.Huyo akiachia tu nchi amekwisha yeye na genge lake hiyo ni danganya toto tu
 
Inastaajabisha
 
Mwenyekiti John Heche alikamatwa akapalekwa Dodoma, badae akarudishwa Dar akashatakiwa kwa kosa la ugaidi, na ni kosa lisilo na dhamana.
Lakini jana ametoka kwa dhamana akiwa pamoja na viongozi wenzake.

Najiuliza imewezekanaje? Wamewezaje kuvunja sheria kwaajili ya Heche, je hakuna harufu ya maridhiano hapo?!
 
Hiyo kesi ilikuwa inaenda kubumba. The moment mahakama ilimuhitaji igp nilijua tu lazima wateme bungo

Hata hivyo ni setup
 
Waridhiane kwani wao ndo walianzisha au kushawish maandamano
 
Hapo ndipo mjue Gen Z wa Tanzania wanajua sana kuishika pabaya serikali baada ya wao kuingizwa mkende na vijana hao Oct 29,2025!,

Mataifa ya nje nayo lazima hayawezi kufumbia macho mauaji ya Oct 29,2025 yaliyofanywa kwa vijana wetu wadogo waliokuwa hawana silaha yoyote. Lazima tu serikali hizo nazo zitatoa mbinyo kwa wauaji hawa!!!

Hii ni aibu kwa waliokuwa wanafurahia mauaji hayo ya kutisha yaliyofanywa na serikali ya ccm, Sasa hivi wanatafuta namna ya kujivua uovu huo na hawataweza kamwe!!
 
Nasisitiza Chadema wawe makini na Boni Yai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…