Miguel Felix Gallardo
JF-Expert Member
- Aug 17, 2024
- 2,841
- 5,218
๐๐๐Huna akili!!!18-23 bado immature na wanapambania ndoto zao, elimu n.k, atleast >30 wako mature, sidhani kama wewe utamuoza binti yako wa miaka 18?. DONT treat women as an object/ property for pleasure
Siyo wanajiona wadogo, hao bado kiakili ni wadogo sana ingawa kimwili wanaonekana ni wadada wakubwa. Na ndoa zao, hasa kama hawajamtanguliza Mungu, huwa zina mitihani mingi sana.Sijajua si ni mimi. Tu ndo inanitokea nishaaproach sana hao below 25, girls with no kids
Hakuna anayetaka kuolewa na umri huo wanajiona bado wadogo ๐ค
Wanakwambia kuolewa labda wafike 25 and above
Ndiko mnakokimbilia msio na hoja, mwisho kabisa ni kuita mtu SIMP.Hii mada imekuzidi kimo.Keep SIMPING hapo ndipo eneo lako la kujidai!!!
Mbona mama zetu waliolewa kwenye umri wa 16-21 mzee and kila kitu ikawa mkaoSiyo wanajiona wadogo, hao bado kiakili ni wadogo sana ingawa kimwili wanaonekana ni wadada wakubwa. Na ndoa zao, hasa kama hawajamtanguliza Mungu, huwa zina mitihani mingi sana.
Binafsi binti mdogo namna hiyo siwezi kumuoa. 18 yrs hapana kwakweliSasa uyo miaka 21 hawezi kuwa na tabia mbovu? Halafu tunavyosema iyo interval ya umri hatumaanishi kwamba usiangalie vigezo vingine mfano tabia.
Halafu inaonekanana wanaume wengi hamjui tofauti ya damaged woman na matured woman. Mwanamke anaekataa kuolewa akiwa 20's ili aweze kuishi maisha ya partying, clubbing and hoeing halafu akifikisha 30's ndo anataka nice guy wa ku-settle nae huyu sio matured woman, huyu ni damaged woman.
Hao wanawake mnaowatetea wanapigania ndoto zao embu wafuatilieni trend ya mahusiano yao inaendaje. Mtu kama gigy money akifika 30 atasema amepevuka kiakili na kuna ambao mtamuita matured woman
๐๐๐Huna akili!!!Hii MADA yako ihifadhi mbeleni huko ukizaa watoto wa kike tupu utaikumbuka
Wewe ni mdhaifu sana, unataka uonekane mshindi kwa ufupi wale mediocre much knows""๐ฅถ๐๐๐Huna akili!!!
Kataa ndoa hatupingi kuwa na familia, hatupingi mtoto kupata malezi ya baba na mama, ambacho tunakipinga ni ule mkataba wa kitapeli kwa mwanaume uliopewa jina la "ndoa"
Kwanza walikuwa na mifumo imara ya kuingia kwenye ndoa. Familia inamfuatilia binti mwanzo mwisho na wazee wanajua tabia na kila kitu kuhusu binti anayeolewa. Mara nyingi unakuta binti ni bikra na mumewe anakuwa ndiye anayemjua for the first time. Pili kumbuka mama zetu hawakuwa na milolongo mirefu ya elimu kuanzia sekondari mpaka chuo. Kingine zamani ilikuwa ukioa kijana anaishi pale kwa wazee wake kwa kipindi fulani, jambo ambalo linawapa muda wa kufundishwa misingi ya maisha ya ndoa. Je miaka hii hayo yapo?Mbona mama zetu waliolewa kwenye umri wa 16-21 mzee and kila kitu ikawa mkao
๐๐๐poor you bodaboda guy!!!Wewe ni mdhaifu sana, unataka uonekane mshindi kwa ufupi wale mediocre much knows""๐ฅถ
Ninaye binti yangu wa miaka 19 , yaani ndoa bado sana kuihimili, na bahati nzuri yeye mwenyewe yuko very focused kwenye malengo yake ya kujiendeleza..Binafsi binti mdogo namna hiyo siwezi kumuoa. 18 yrs hapana kwakweli
Hannah Kama una taka upigwe na majirani zako basi mualike huyo bwege Half american, maana yeye ndio haji mnr ๐ ๐Mamtu nmeona nguvu ya kufosi kwako, ninyime vyote ila usininyime kuja uswazi kwenu.
Usimsikilize huyo raisi wa majobless Intelligent businessman
Nashukuru mkuu๐boda boda nayo ni kazi siombi kwa mtu๐๐๐poor you bodaboda guy!!!
Siku ukiacha kuendesha bodaboda ukaacha kuvuta petroli iliyopo hapo kwenye tenki la mafuta.Urudi usome madini anayotoa huyo mwamba kisha utayaelewa.
comrade wewe wasi kuhusishe, maana hata uki achwa saa hii nakuja na farasi wa kifalme๐๐Nimejiuliza uliowatag
1. Wanakaribia 30+ hawajaolewa? Au
2. Wanaomba omba hela?
3. Wana sura na shape nzuri?
Bado sio kigezo cha kwenda kulipia mahari kwa MPIGANIA UHURU/VETERAN SOLDIER/ RETIRED BED TO BED MIDFILDER WITH EMOTIONAL LAGGAGE NA TRAUMA PLUS AMEPIGWA MECHI ZA KATA FUNUA NJE NDANI.AMESUCK DICKSOME NA MABORINGO YA KILA AINA NA MAFUSI YALIKUWA YANAINGIA MPAKA KWENYE MENO ANATOA NA TOOTHPICK,AT ONE POINT KUNA EX WAKE MMOJA AU WATATU WALIMYAS BY MIX๐ค๐ค๐ค.MEEEEEEEEENNNN!!!!NEVER EGNORE ๐ฉ๐ฉ
- Usichojua ni kuwa at 40`s wanawake ndo wako na njaa na sex kuliko rika zote.
- Na usichojua ni kuwa at 40`s wanaume wengi tezi dume linaanza kusumbua kidogo kidogo, at 50`s na kuendelea hapo hata hiyo sex yenyewe inakuwa adhabu. Sasa uko na 50+ na tezi dume lako, mkojo kutoka mpaka ujiminye misuli halafu mkeo ndo ana 40, ndo mwishowe anakuwa lishangazi mjini.
Nimetumia ilo neno "menopause" kwa sababu ni rahisi kueleweka tofauti na ningesema andropause wengi wasingenielewa. Miaka 60 tayari mwanaume kaingia andropause ingawa kuna exceptions cases but we don't do generalization based on exceptions.Mwanaume hana menopause. Baba yangu kapata mtoto wake mwingine (sina uhakika kama ni wa mwisho) akiwa na miaka 64. Jikumbushe Reginald Mengi pia.
vibonge hamnaga akili!!!!Bora awe 30+ ila asiwe single mother