BALENSIAGA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2019
- 3,353
- 5,800
- Iran nayo iombe msaada wa washirika wake kama inaweza.Israel hatakaa akamtisha Iran kamwe...
Kama Israel mwanaume kweli aingie vitani peke yake na Iran bila msaada wa USA na Western countries muone namna atakavyo chakazwa.
Mwanaume mzima unalialia kuomba misaada mara USA mara UK kwa nini usipigane mwenyewe? Wewe si unajisifia kuwa una jeshi Imara hapo middle East why calling for the USA and UK and Canada, France, Germany etc to support you?
Israel is a non existing state without USA and allies. But Iran kidume it stands alone...
Russia alisema ataipiga Ukraine ndani ya masaa 72. Na yoyote atayeingilia anampa kichapo. Kikowapi sasa mpaka leo anahangaika na ka Ukraine. Au wataka kusema Iran ni powerful kuliko Russia?Mkuu unapoizungumzia Iran unazungumza kuhusu a real threat kwa mataifa yote ya EU sio hicho kidubwasha kilichoanzishwa kimchongo mwaka 1948.
-kitu alichofanywa Iran aliwekewa vikwazo via kiuchumi,nchi itaingia kwenye umasikiniNi mara ya kwanza Iran kummiminia mvua ya makombora moja kwa moja Israel?
Si alipigwa makombora mia tatu zaidi ya jana na aliufyata?
Ulikuwa bado hujazaliwa? Hii ni Iran mkuu mataifa yote ya ulaya na Marekani walikaa na mwanaume mmoja kumuomba apunguze urutubishaji wa uranium lakini aliwavimbia na hakuna kitu wamemfanya.
Mkuu hivi wewe umebahatika kuona picha au video ya madhara aliyofanya Iran jana kule Israeli tofauti na kuona makombora yakitua? Binafsi sijaona.Hata wafanye kikao mwezi mzima hakutakuwa na jibu la maana.ni wazi kwa sasa mifumo yao imezidiwa ujanja na wa Iran.
Kwa kilichotokea jana kiukweli ni funzo tosha kuwa awapoo salama
Je wewe mkuu unapicha au video ya maafa yaliyosababishwa na yale makombora? Maana kila naye muomba anatuma video za yale makombora yakipaa na kutua Israel.Huko Tel Aviv kuna kikao kinaendelea cha kujadili mazishi na majeruhi wa jana na leo
NA BADO mpaka maji waite mma!
Angekuwepo, usingehitaji kuniambia wewe, angeniambia mwenyewe.Mungu yupo mkuu
Waambie waiache aljazeera ifanye kazi yake kwanza alafu uje ueleze picha zitakavyo mimi nika kuleMkuu hivi wewe umebahatika kuona picha au video ya madhara aliyofanya Iran jana kule Israeli tofauti na kuona makombora yakitua? Binafsi sijaona.
Kwani hujui kama Iran hapo inaishi na vikwazo na uchumi wake tofauti na wewe ambae nchi yako haina vikwazo hata kimoja-kitu alichofanywa Iran aliwekewa vikwazo via kiuchumi,nchi itaingia kwenye umasikini
Picha PleaseWadau hamjamboni nyote?
Kikao kizito sana kinaendelea muda huu.
Tuombe Mungu atuvushe salama
Mkuu wa shin bet Ronan Bar
Mkuu wa Mossad David Barnea,
Waziri wa ulinzi Yoav Galant
Mkuu wa majeshi Luteni Jenerali Harzi Halevi
Mnadhimu Mkuu Meja Jenerali Roman Gropman
Russia alisema lini au ndio wazee waku bet mpaka manenoRussia alisema ataipiga Ukraine ndani ya masaa 72. Na yoyote atayeingilia anampa kichapo. Kikowapi sasa mpaka leo anahangaika na ka Ukraine. Au wataka kusema Iran ni powerful kuliko Russia?
Unaweza ukawa sahihi kuwa wanadanganywa, je na wale wanaoambiwa kuwa watapewa mabikra 72,je ni kweli hilo? Au na wao ni wale wale?Eti ndio taifa teule hili na kuna mbweha kabisa anashupaza shingo kuamini upumbavu huu.
Sijui wachungaji wanawapa nini hawa kondoo maana wanadanganywa vitu vidogo ambavyo hata mtoto mdogo anabaini ukweli.
Kama na hili hulijui basi mkuu, nimekosea kukuuliza hilo swali.Russia alisema lini au ndio wazee waku bet mpaka maneno
Sio silijui hakuna huo ushahid wa hayo manenona tangu mwaka juzi hakuna humu alie thibitisha kua Russia alisema ataipigia Ukraine ndani ya masaa 72 zaid ya mageneral wa marekani ndio walikua wanaropoka kwa kuwewesekaKama na hili hulijui basi mkuu, nimekosea kukuuliza hilo swali.
Mkuu sasa mbona hiki ni kituko, ina maana walivyorusha makombora yao walikuwa wanategemea kujua madhara au targets ambazo zimekuwa hit kwamba Israeli itawaruhusu Aljazeera waende wakafanye kazi then ndiyo wawaambie hao Iran!! Hiki ni kituko sasa, so kifupi mpaka sasa hawajui wamepiga wapi au wameleta madhara gani mpaka Aljazeera aruhusiwe kwenda kufanya kazi ππππππWaambie waiache aljazeera ifanye kazi yake kwanza alafu uje ueleze picha zitakavyo mimi nika kule
Kuna sehemu iran walikwambia hawajui wapi wamepiga nimekwambia wewe unae taka picha zirushwe jua hao mazayuni wamepiga marufuku picha zisipigwe maeneo ya matukioMkuu sasa mbona hiki ni kituko, ina maana walivyorusha makombora yao walikuwa wanategemea kujua madhara au targets ambazo zimekuwa hit kwamba Israeli itawaruhusu Aljazeera waende wakafanye kazi then ndiyo wawaambie hao Iran!! Hiki ni kituko sasa, so kifupi mpaka sasa hawajui wamepiga wapi au wameleta madhara gani mpaka Aljazeera aruhusiwe kwenda kufanya kazi ππππππ
Mwanangu kwa huku kwetu anaweza kuibuka kiongozi na kusingizia bei ya mafuta ya kupikia yamepanda kisa vita ya Iran na Israel.Yaani wayahudi wafanye vikao vyao uko, Afu wee mtanzania umuombe Mungu akuvushe salama! π€
Kwa taarifa tu asilimia 80 ya majeshi ya iran hizbollah houth na hamas kipaumbele chao cha kwanza kwenye vita hua wanatamani kufaAyatollah ana nyege jamani na this time anataka mabikira tu.
Wewe ni muongo wa Karne, na kama kweli wewe kiranga huamini uwepo wa Mungu basi ka muingilie mama yako mzazi tena awe mkeo, ukifanya hivo utakuwa huamini uwepo wa Mungu, na kama hujawahi kumfanya mama yako basi upo ktk kumuamini Mungu,Angekuwepo, usingehitaji kuniambia wewe, angeniambia mwenyewe.
Ukishaona haja ya kuniambia Mungu yupo tu, ujue hayupo.