Kinachoendelea huko Mashariki ya kati kinadhihirisha kuwa uongo wa wazungu unaelekea kufika mwisho

nMaelfu ya watoto waliouwawa bila hatia huko Gaza hawakuanzisha vita na mtu yoyote, na wala hawajui hata kushika jiwe kupambana na jeshi lenye mavifaru na ndege za kivita wanazotumia kupambana na watoto hao.
Wambie ndugu zenu hamas wapigania conventional warfare, sio kujificha kwenye makazi ya watu na kuwafanya kinga. Wataendelea kuuawa tu. mpaka waseme po
 
Nenda huko uarabuni alafu kajitangaze wewe shoga alafu utupe mrejesho,, kisha nenda Israel alipozaliwa mungu wako yesu katangaze unagongwa pia rudi utupe mrejesho,, kipahpah weee
Kwani mudi si alikuwa muarabu, ushoga akifundishwa na nani
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hao Israel walioomba msaada wa silaha, fedha na kijeshi kutoka kwa mashoga wenzao?

Hamas anapigana na Israel, US na Uingersza kwa uchache tu na bado hawajatoboa mwezi wa tatu huu unaisha.
Unashangaa IDF kununua silaha Marekani ila hushangai superpower Putin kuomba silaha North Korea, China, Iran kupambana na Ukraine!!
 
Naona mnafarijiana huku,ni huruma tu ya taifa la Mungu kupiga kistaarabu,ingeweza kupiga siku Moja na kumaliza kazi.
Ndugu soma alama za nyakati, Israel kama nchi huwezi kuita taifa la Mungu, kumbuka nchi hiyo inatawaliwa na Wazayuni ambao itikadi Yao ni tofauti na Wayahudi wengine, Wazayuni wameanzisha sheria nyingi kupiga marufuku hata kumtaja Yesu Masihi katika nchi hiyo, pia wanaeleza wazi kuwa Yesu ni mtoto wa zinaa ambaye baba yake hajulikani.

Wazayuni wanafadhiri ushoga, kamali na mambo mengi ambayo Mungu ameyapinga katika Biblia. Zipo taarifa za uhakika kuwa Wazayuni ndio wakuu wa freemason duniani. Iwapo utasema kuwa Israel ni taifa la Mungu, ni Mungu gani huyo?
 
Israel wana uwezo wa kufanya carpet bombing na waisambaratishe Gaza in minutes, ila inawabidi wachambue magaidi yenu yanayojificha nyuma ya watoto na kina mama.
Israhell anachoweza kuchambua labda ni maharage tuuu
 
Ona unavyojikanyaga kila mwanaume anazaliwa akiwa hamas mara baada ya miezi miwili hakutakua na hamas
Sasa mossad kama shirika bora lakijasusi mnavyoliita lilikua wapi siku zote hizo watu wanapanga mipango hapo nje kwao?
Mmeshindwa miezi mitatu mtaweza miwili nakuongeza tena miwili ila hamtaifuta hamas
 
Naona mnafarijiana huku,ni huruma tu ya taifa la Mungu kupiga kistaarabu,ingeweza kupiga siku Moja na kumaliza kazi.


Akili zenu nyinyi waislam ziko kwenye ngono, vita, vurugu na uongo. Hatushangai kwa sababu mnamtumikia mungu Allah ambaye kiukweli ni shetani mwenyewe. Sahih Al- Bukhari 4950


View: https://x.com/OliLondonTV/status/1742937879763103927?s=20
 
Does your friend oli London knows there is highly educated muslim women around the world including your country maybe you need tell him
 
Hawa hawawezi kupambana na Iran hata dakika 30, na wengi wasiokuwa na mihemko wameshaliona hilo. Hiyo ardhi ya Israel imekuwa ikilindwa na jeshi la Israel, Marekani, UK nk. Hata hao mateka wa kimarekani na uingereza waliokamatwa ukute kuna baadhi ni askari wao.

Lakini cha kushangaza majeshi ya nchi zote hizo nilizozitaja hapo juu, pamoja na mamitambo yao ya kudhibiti makombora wameshindwa kuzuia makombora yanayorushwa na vijana ambao hawana mafunzo mahususi ya kijeshi, hawana nchi wanayoithibiti wala mavifaru.

Je akiingia mwenyewe muiran mzigoni na full silaha za maangamizi za kijeshi ni nani atakaekuwa na uwezo wa kumdhibiti eneo hilo. Tumeona vindege kidogo tu alivyompa Urusi jinsi vilivyofanya uharibifu mkubwa Ukraine, sasa akiingia nazo mwenyewe vitani, si itakuwa balaa.
 
Ulichoandika ni hisia tu na dhana, wala hauna uthibitisho wowote ili utuwekee hapa tukubaliane na kile ulichoandika.

Yani unaendeleza uongo ule ule tunaousema hapa bila kuweka fact na prove ya unachoandika. Dunia ya leo sio ile ya miaka mia 2 iliyopita kwamba mtu anaweza kudanganya lolote bila kuthibitisha alichodanganya na watu wakamuamini. Leo hii ili uaminike ni vizuri ukaweka ushahidi wa jambo fulani, watu waone na kukubaliana na wewe.

Otherwise hichi ulichoandika umekipata katika kijiwe cha kahawa cha wayahudi weusi wenzako wa tandahimba.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hao Israel walioomba msaada wa silaha, fedha na kijeshi kutoka kwa mashoga wenzao?

Hamas anapigana na Israel, US na Uingersza kwa uchache tu na bado hawajatoboa mwezi wa tatu huu unaisha.
Correctly kabisa πŸ‘πŸ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…