Kinachoendelea huko Mashariki ya kati kinadhihirisha kuwa uongo wa wazungu unaelekea kufika mwisho

Kinachoendelea huko Mashariki ya kati kinadhihirisha kuwa uongo wa wazungu unaelekea kufika mwisho

Ahmednejad ni kichaa kweli kama angeendelea kuwa Rais wa Iran hadi leo angeifuta kweli Israel kwenye uso wa dunia wala hatanii.
Waisrael na wayahudi wa tandahimba washukuru Mungu sana kwa hilo. Maana jamaa akawazika madongoni kwa kombora moja tu la tani 10,000.
 
1,600 Israeli Soldiers Suffer from Combat Stress as Mental Health System Faces Collapse

January 2, 2024

By Palestine Chronicle Staff Israeli media reported that 1,600 soldiers show symptoms of combat stress reaction as the country’s mental health system faces collapse.

At least 1,600 Israeli soldiers show symptoms of combat stress reaction and 250 were discharged from service for this reason, according to Israeli media.

The Israeli news website Walla reported on Tuesday that “symptoms of battle combat stress reaction have appeared on at least 1,600 Israeli soldiers since the start of the ground operation in the Gaza Strip about two months ago”.
 
Akili zenu nyinyi waislam ziko kwenye ngono, vita, vurugu na uongo. Hatushangai kwa sababu mnamtumikia mungu Allah ambaye kiukweli ni shetani mwenyewe. Sahih Al- Bukhari 4950


View: https://x.com/OliLondonTV/status/1742937879763103927?s=20
View attachment 2865258

We kweli ni mpumbavu uliehitimu cheti cha kipumbavu hapa duniani.

Una ushahidi gani kuwa Israel inapingwa na waislamu tu?

Je haujui kuwa dini ya kiislamu ni ya pili kwa ukubwa huko Israel baada ya uyahudi?

Pia haujui kwamba Palestina kuna makanisa na waktristo wengi tu ambao wamejikuta ni miongoni mwa wahanga wa vita kisa tu ni wapalestina?

Je wale wamarekani wazungu wanaopinga serikali yao kuendelea kuisaidia Israel fedha na misaada ya kijeshi kwa sababu wanatumia misaada hiyo kuuwa raia wasiokuwa na hatia, watoto wa changa na wanawake nao ni waislamu?

Kwa comment yako uliyoandika tayari nimeshagundua kuwa wewe ni mkuna nazi na sio mtu mwenye kutumia akili kuwaza sawa sawa.

Ukiona mtu anaingiza udini katika mada ambayo haina sehemu iliyotaja dini, ujue huyo ni mpumbavu na amefilisika kiakili.

Japo nina imani wewe ni poyoyo ambae hauelewi hata salam moja ya kingereza lakini nakuwekea hiyo picha ili utafute mtu msomi akutafsirie kilichozungumziwa na Sen, Bernie Sanders huko Marekani.

Alafu uniambie huyo nae ushawahi kumuona katika msikiti gani.
 

Attachments

  • Screenshot_20240108-110757.jpg
    Screenshot_20240108-110757.jpg
    68.3 KB · Views: 3
Unashangaa IDF kununua silaha Marekani ila hushangai superpower Putin kuomba silaha North Korea, China, Iran kupambana na Ukraine!!
Inanunua au inapewa. Hivi mtu anaekupa pesa ya kula, kulipa kodi ya pango na kukusomeshea watoto anaweza tena kukuuzia wewe suruali wakati anajua wewe ni masikini tu hauna hela?
 
Kwahiyo unataka scrap kama CNN na BBC ndo zitangaze wewe uziamini. Hizo hata Trump ambae ndio mwenye kuzijua zaidi kupitia vitengo vikubwa vya upelelezi kama CIA, FBI nk alikuwa haziamini, sisi mimi mtu wa kawaida nitaziamini vipi?
Sasa unataka tuamini hao wasiovaa nguo za ndani?
 
1,600 Israeli Soldiers Suffer from Combat Stress as Mental Health System Faces Collapse

January 2, 2024

By Palestine Chronicle Staff Israeli media reported that 1,600 soldiers show symptoms of combat stress reaction as the country’s mental health system faces collapse.

At least 1,600 Israeli soldiers show symptoms of combat stress reaction and 250 were discharged from service for this reason, according to Israeli media.

The Israeli news website Walla reported on Tuesday that “symptoms of battle combat stress reaction have appeared on at least 1,600 Israeli soldiers since the start of the ground operation in the Gaza Strip about two months ago”.
Hii taarifa wahayudi wa tandahimba watajifanya hawakuiona 😄😄😄
 
Ahmedinejad aliposema ataifuta Israel kwenye uso wa Dunia alikuwa anajua anasema nini kwa sababu alikuwa amiri jeshi mkuu anaepata taarifa zote
Ila waisrael wetu wakapinga na kutukana sana
Ona sasa leo hata mateka wanawauwa wao

Mbona hawajaifuta sasa?!
 
Ulichoandika ni hisia tu na dhana, wala hauna uthibitisho wowote ili utuwekee hapa tukubaliane na kile ulichoandika.

Yani unaendeleza uongo ule ule tunaousema hapa bila kuweka fact na prove ya unachoandika. Dunia ya leo sio ile ya miaka mia 2 iliyopita kwamba mtu anaweza kudanganya lolote bila kuthibitisha alichodanganya na watu wakamuamini. Leo hii ili uaminike ni vizuri ukaweka ushahidi wa jambo fulani, watu waone na kukubaliana na wewe.

Otherwise hichi ulichoandika umekipata katika kijiwe cha kahawa cha wayahudi weusi wenzako wa tandahimba.

Huwa mnachekesha sana, yaani kila siku tunayashuhudia tangu vita vinaanza leo unasema uletewe uthibitisho, sijui kwanini huwa mumeshikiliwa akili kijinga hivi.
 
Huwa mnachekesha sana, yaani kila siku tunayashuhudia tangu vita vinaanza leo unasema uletewe uthibitisho, sijui kwanini huwa mumeshikiliwa akili kijinga hivi.
Kijana, dunia ya leo mtu hauminiwi kwa maneno matupu. Weka fact unazosema unaziona ili tujithibitishie na sisi.

Hauwezi kuniambia kuwa umeona kitu fulan, alafu mimi ambae sijakiona nakubali tu eti na mimi nimekiona.

Huu ndio mwisho wa kulishana matango pori. Jeshi kubwa linaongezewa msaada wa kijeshi, linaita hadi askari wa akiba, mamluki wanaodanganya kuwa wameenda kusomea mashamba, pamoja na wale askari waliostaafu ili kupambana na vijana wasiozidi elf 20 ambao hawana hata kifaru kimoja cha vita!

Nilitegemea kwa vile Gaza ni ndogo na Hamas hawazidi elf 20, basi Israel ingekadiria vijana wake kadhaa na silaha kadhaa kulingana na udogo wa Hamas na eneo wakawamalize na kurudi kuendelea na maisha huku nchi ikiendelea na mipango mingine.

Lakini sasa tunachokiona ni nchi nzima, serikali nzima, jeshi zima hadi askari wa akiba wameingia vitani na nguvu zote kama vile wanapambana na nchi nyingine ambayo ina silaha nzito kama zao, kumbe wanaenda kupambana na vijana wachache waliopo katika kaeneo kadogo tu wanakokakalia na bado wameshindwa, je tukiwapa mission ya kuja kuwatoa M23 wenye dhana bora za kijeshi katika misitu wasioifahamu bila back up ya Marekani wataweza kweli?

Hapo sizungumzii Iran ambayo inatumia vijana wadogo tu kulisumbua taifa zima na vibaraka wao Marekani na EU, tena kumbuka hiyo Iran inaongoza kwa kuwekewa vikwazo vikali na vya muda mrefu zaidi duniani, lakini bado inasumbua nchi isiyowekewa vikwazo, inayopokea misada ya kijeshi kila mwaka kutoka Marekani, na ambayo imekuwa ikiruhusiwa kutengeneza silaha ipendavyo.

Je kama isingekuwa inapewa misaada ya kijehi, na Iran kuwekewa vikwazo hali ingekuaje Mashariki ya kati?
 
Copy isiyokuwa na ndege za jeshi, vifaru, vifaa vya kuzuia makombora wala silaha za maana, inalitoa kamasi taifa teule ambalo mara kwa mara tunaambiwa lina jeshi bora, silaha za kisasa, intelejensia kali nk.

Unaambiwa hadi askari wa akiba na wale ambao tayari walishastaafu waliitwa kupambana na kikundi kinachomiliki mizinga tu ya kawaida na sio ndege zisizokuwa na rubani wala kifaru cha aina yoyote 😂😂😂
Kijana unauwezo mdogo wa kufikiri ungekuwa upo hapa Israel usingeongea haya
 
Ni wapi nilipoandika kuwa mimi ni mvaa kobazi?
Ni wapi nilipoandika kuwa mimi nawachukia wazungu?

Inamaana mtu akikudanganya na wewe ukajua kama anakudanganya na kuamua kuutangaza uongo wake kwa watu hapo ndo tayari itakuwa umemchukia?

Kumwambia mtu ukweli kwamba anakudanganya au anadanganya ni kumchukia?
Mkuu achana nao hao wapuuzi walio danganywa kua Israil ni taifa teule.
 
Japo HAMAS siwakubali ila WAYAHUDI nimdebwedo kinoma.
Hili kila mtu mwenye akili timamu analiona.
Kwa hali hii kama Israel ingekuwa Ukraine basi saa hizi warusi wangekuwa washaifukia nchi nzima.

Vijana wasiofikisha hata population ya wakazi wa mwananyamala wanaisumbua nchi nzima na washirika wao 😂😂😂
 
Kijana unauwezo mdogo wa kufikiri ungekuwa upo hapa Israel usingeongea haya
Wewe upo Israel ya bonyokwa, hivyo ni rahisi kulishwa matango pori na wayahudi wa kindamba.

Mimi mwenzako nipo katika uwanja wa mapambano nachukua picha halisi ya kile kinachoendelea vitani kati ya vijana wasiozidi elfu 20 wanatumia silaha duni, na jeshi la nchi nzima linalotumia misilaha mikubwa, midege na mivifaru yao yote walionayo kujaribu kukadhibiti haka ka kundi, lakini matokeo yake jeshi hilo linatumia misilaha hiyo ya midege na vifaru kuuwa watoto wachanga na wanawake
 

Attachments

  • IMG_20240107_140414.jpg
    IMG_20240107_140414.jpg
    57.1 KB · Views: 2
Back
Top Bottom