Yote yana umuhimu, ya tozo yanatokana na Rais kuwa kama Mungu (ya kupelekewa kitu kanisani) na hivyo kuwa juu ya sheria. sasa Rais anakuwa juu ya Kanisa!Badala ya kujadili jinsi watanzania wanavyoumizwa na utawala wa Samia kupitia matozo mnajadili kiti cha Rais kanisani?
Hivi mmeishiwa na akili kabisa hadi mnajadili viti vya Rais kanisani au msikitini?
Hivi mmesahau kuwa hizo ni itifaki na mambo ya kiusalama?
Hivi tunaacha kujadili jinsi utawala wa huyu mama unavyoacha wananchi wateswe na mifumuko ya bei na matozo ya kijinga kijinga mnapoteza muda kujadili kiti cha rais kanisani?
Unahitaji kuwa akili haipo kabisa yaani umefilisika kabisa ubongo wako umebakia na juisi tu ndo ujadili kiti cha Rais kanisani
Tunapoteza muda kujadili upumbavu na ujinga usio na mantiki huku tukiacha mambo ya msingi
mwingine muhumini na mwingine rais
Tuziheshimu nyumba za Ibada.
Achana na wajinga hao mbona Askofu au padri ana kiti chake tofauti na waumini? Papa mwenyewe alitembelea Tanzania mbona alikuwa na kiti spesheli?
Labda wajibu kwa nini padri au Askofu.ana kiti specheli na kwa nini yeye huwa anakula mkate na kuteremshia na divai wakati waumini wengine kanisani wanaowasalisha wanapewa mkate peke yake wameze kwa kutumia mate yao? Kadivai ana enjoy padre au Askofu peke yake ndie anadudumia
Raisi popote akienda lazima awe na kiti chake fahamu ivo.
Haya masuala yanawahusu walinzi wake sio yeye !! Mengi anakuwa anapangiwa tu !!
Hujui Biblia inatanka wazi astahiliye heshima anastahili heshima kubwaHuo ni utaratibu wa ibada zao, je rais kuingia na kiti chake ni sehemu ya ibada yao?
Hawawezi kumpangia hivyo !! Kwani kiti cha Rais hakiruhusiwi kuingizwa kanisani ? Nadhani kimeingizwa kwa ruksa ya hapo kanisani na wamekubali kwa sababu hawakuona ubaya wowote ! That's My take lakini sina hakika !Sio kweli, wakimpangia kuingia na viatu msikitini ataingia navyo?
Wamarekani wanatembea mpaka na shuka za vitanda!! Tulishuhudia alipokuja Obama !! The Beast ndio haisahauliwi kabisaaa!! Gari la mkulu wa dunia !!Hivi ni Rais wa Tanzania tu ndio huwa anatembea na kitu chake maalum au marais wote??
Huwa sioni hata POTUS akiwa anatembea na kiti chake maalum!
Masuala ya ulinzi wa Rais ni mengi na magumu pia na yanaweza yakabadilika wakati wowote kulingana na hitajio la wakati husika na mahali popote pale !! That's my take!!Alipoenda UK alienda na hicho kiti chake?
Hujui Biblia inatanka wazi astahiliye heshima anastahili heshima kubwa
Heshima inaanzia kuanzia mapokezi atakapokaa ,atakachokula ,atapolala nk
Raisi ni mtu mwenye heshima kubwa huwezi m treat kama mtu wa kawaida
Mlitaka kumfanyaje mbona mnakomaa? AFTER All yeye na Makamu sio waumini wa hapo kanisani kwenu Bukoba walikuja kama wageni wa heshima wana makanisa yao Parokia au misikiti wanakosali Hawako kigango chenu au jumuiya ya kwenu!! Wamesafiri kuja kama wageni wa heshima tu huwezi kuwaweka kundi moja na wanywa Rubisi wa Kagera
Masuala ya ulinzi wa Rais ni mengi na magumu pia na yanaweza yakabadilika wakati wowote kulingana na hitajio la wakati husika na mahali popote pale !! That's my take!!
Huu ni ujinga umecomment unazijua itifaki za usalama kweli weweYote yana umuhimu, ya tozo yanatokana na Rais kuwa kama Mungu (ya kupelekewa kitu kanisani) na hivyo kuwa juu ya sheria. sasa Rais anakuwa juu ya Kanisa!