Kiti cha Rais Samia kanisani Vs Rais Ruto kanisani Homa Bay, Kenya

Msikitini anaendanacho?
 
Nyie mnasema upinzani Gani!?
Kuingia na kiti kanisani naona yupo sawa maana hakuna alipokiuka misingi ya biblia
 
Hayo ni mambo ya usalama acheni ujuaji sana

Mashekhe wengi si wanajifanya mbwa ni najisi? Mbona wakienda airport za nchi nyingine mizigo Yao inanuswa na mbwa
Hahahaha! Umetoa kali mkuu.
 
Raisi ni mtu mwenye heshima kubwa huwezi m treat kama mtu wa kawaida
Wewe kama kiongozi unapopewa heshima iliyovuka mipaka lazima uikatae na ukiikataa utaheshimika na kupendwa zaidi.
 
Ahaaa ahaaa, nimecheka kwa nguvu vibaya sana. Usingepanick ningeshangaa sana. Ila na mimi inabidi niache kukuonea wivu wa kike kwa jinsi ulivyosifiwa.
 
Kama unaona kanisa katoliki walichofanya kinakuchefua Hama kanisa au kaanzishe la kwako

Kwani kupewa kiti chake Raisi kanisa imevunja Amri.ipi ya Mungu au kanisa?
Upagami tu unawasumbua

Mumekomalia kiti kiti mumejaa midhambi mpaka kwenye makoo
 
Ahaaa ahaaa, nimecheka kwa nguvu vibaya sana. Usingepanick ningeshangaa sana. Ila na mimi inabidi niache kukuonea wivu wa kike kwa jinsi ulivyosifiwa.
Bora umejitambua una wivu wa kike, na unavyopenda kujichekesha kwa nguvu tena, ndio balaa zaidi, naanza kukutilia mashaka!.

Dah.!
 
Pumbavu!
 
Bora umejitambua una wivu wa kike, na unavyopenda kujichekesha kwa nguvu tena, ndio balaa zaidi, naanza kukutilia mashaka!.

Dah.!

Nitaacha kukuonea wivu na umesifiwa na mwanaccm? Yaani nimepata bonge la wivu. Jitahidi kubalance shobo usije kukosa nobel prize.
 
Sio msemaji wa CDM bali ni active member ndani ya jamii forums, na anatoa maoni yake kwa kufuata sheria zote za jamii forums bila kumtukana mtu. Hizi hisia zako ndio zinazopelekea hitimisho bovu.
Kwa muktada huo ni kwamba huwezi kumtenganisha kile akisemacho na mawazo ya wafuasi majority wa chadema.
 
Kwa muktada huo ni kwamba huwezi kumtenganisha kile akisemacho na mawazo ya wafuasi majority wa chadema.

Kufanana mawazo na wafuasi wengi wa CDM huku mitandaoni, hiyo haimaanishi kuwa ni maagizo ya CDM kama chama. Labda ulitaka kusema kitu kingine ila ukakosa maneno sahihi ya kutumia, ama hujui unasema nini.
 
Umenena la akili sana

Hali mbaya inaacha kujadiliwa, watu wanajadili outing ya mtu.

Kweli bongo nyoso
 
Kila jambo hujadiliwa kwa wakati wake kulingana na sehemu na tukio husika, huwezi kuchanganya matukio kwenye mjadala utaonekana hamnazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…