,πππKwa kuhamisha magoli sikuwezi.Anyways, ni aibu ya kukiri kushindwa tu ila nadhani umejifunza.
Tulikuwa tunakwenda vizuri, lakini sasa naona unajichanganya mwenyewe. Soma tena pale mahali pa "Amiri Mkuu" ulivyoandika huko juu. Hayo maneno sasa unayakana?
Na haya mambo ya "maslahi ya taifa..."; hivi huwa mnaelewa maana ya maneno hayo kweli mnapo yatumia?
Ni maslahi gani ya taifa yanayokataza waTanzania wasiwachague viongozi wanaowataka wao wawaongoze kwa kuwachagua wao katika uchaguzi ulio HURU na HAKI?
Huu ni mtazamo wako..hakuna kisichowezekana.Unaoyatarajia hayapo na hayawezekani kutokea
Maana tayar ofisi kuu ya idara isharudishwa ofisi ya raisi ikulu(kwa muswada uliopitishwa na bunge recently).
Kwa Sasa,
kuanzia watumishi WA idara Hadi familia na washirika WOTE wako under presidential surveillance 24hrs
(Fuatilia vzur reshuffle iliyofanyika hivi karibuni pale HQ,
heads wengi (almost wote) wametolewa uraiani na kuhamishiwa makazi mapya waliyoandaliwa na mom wakiwa na family zao, wamepewa gari mpya Hadi furniture mpya.
Majengo mengi ya gov yaliyokua ofsin za serikali baada ya kuhamia dom kuanzia posta had magogoni, state imeyachukua na staffs wengi WA idara ndo wamepewa kuishi humo.
Hivi unadhani mom, anawapenda Sana kitengo? Jibu ni hapana, amewasogeza karibu na yeye ili aweze kuwamonitor.
Wengi wao kwa Sasa, wako bugged to the teeth, na ukibainika unakengeuka, unashughulikwa underground, Hata KELELE hupigi.
Mom sio mtu wa misifa Wala kujikweza kama alivokua mshua, mom anakushughulikia afu anakausha like nothing happened. Hata ukitoka kushughulikiwa, unakufa nalo rohoni (husemi Wala kulalamika popote).
Yaliyotokea kwa nape na kinana kumteta jiwe behind lines ndo ilikua wake-up call kwa mshua kuanzisha move ya huo muswada wa kuirudisha idara ofs ya rais ikulu,
mom alivoingia na kuona upresdaa wake uko mashakani na unalegalega, akaamua kuupitisha mswada moja kwa Moja bila kupepesa macho.
Kwa sasa, hakuna kitu idara itafanya mama asijue, all heads Kwa sasa WOTE wanaripoti Kwa mother directly iwe foreign au domestic.
Sahii kabisaHuu ni mtazamo wako..hakuna kisichowezekana.
Kwahiyo hao wengine ni majiziii au sioUko sahii mkuu
Sina ushahidi mkuuKwahiyo hao wengine ni majiziii au sio
Amepunguza tu mashaka lakini bado hajatibu tatizo kuu!Unaoyatarajia hayapo na hayawezekani kutokea
Maana tayar ofisi kuu ya idara isharudishwa ofisi ya raisi ikulu(kwa muswada uliopitishwa na bunge recently).
Kwa Sasa,
kuanzia watumishi WA idara Hadi familia na washirika WOTE wako under presidential surveillance 24hrs
(Fuatilia vzur reshuffle iliyofanyika hivi karibuni pale HQ,
heads wengi (almost wote) wametolewa uraiani na kuhamishiwa makazi mapya waliyoandaliwa na mom wakiwa na family zao, wamepewa gari mpya Hadi furniture mpya.
Majengo mengi ya gov yaliyokua ofsin za serikali baada ya kuhamia dom kuanzia posta had magogoni, state imeyachukua na staffs wengi WA idara ndo wamepewa kuishi humo.
Hivi unadhani mom, anawapenda Sana kitengo? Jibu ni hapana, amewasogeza karibu na yeye ili aweze kuwamonitor.
Wengi wao kwa Sasa, wako bugged to the teeth, na ukibainika unakengeuka, unashughulikwa underground, Hata KELELE hupigi.
Mom sio mtu wa misifa Wala kujikweza kama alivokua mshua, mom anakushughulikia afu anakausha like nothing happened. Hata ukitoka kushughulikiwa, unakufa nalo rohoni (husemi Wala kulalamika popote).
Yaliyotokea kwa nape na kinana kumteta jiwe behind lines ndo ilikua wake-up call kwa mshua kuanzisha move ya huo muswada wa kuirudisha idara ofs ya rais ikulu,
mom alivoingia na kuona upresdaa wake uko mashakani na unalegalega, akaamua kuupitisha mswada moja kwa Moja bila kupepesa macho.
Kwa sasa, hakuna kitu idara itafanya mama asijue, all heads Kwa sasa WOTE wanaripoti Kwa mother directly iwe foreign au domestic.
πππSijapotoka mkuu,
Wee ndio unaepotoka Kwa kuamini kua serikali yetu tayar ilishaachana na mfumo wa UCommunist.
Ni sawa na uoe single mother,
Kafu Kila wikend akuage anaenda kumtembelea mzazi mwenzie.
Afu nawe uamini kua anaendaga tu kujadili maendeleo ya Mtoto wao, Wanajiheshimu, hawavuki mipaka
Ukizungumzia "Uchaguzi huru na haki" tambua Hilo sio MIONGONI mwa "maslahi ya taifa" . USIJITIE MGUMU KUELEWA
Wakiamua Wana weza, kama alivyo amua JPMKwani Bilionea wambura na bilionea Cdf ngunda wana semaje
yaan we acha tu mtandaon kuna mengi zaidi ya unavodhaniUkingia mtandaoni unaweza zani nchi IPO kwenye taharukii,,afu ukiwa KITAA mambo ni normal watu wanakula konyag na kupiga mishe hawana mpango na no reform wala kutiki
Hizi ndio mimba zinazalisha hasara na kuzaliwa mitoto mijinga kama Mwashambwa.Astaghafirurah!!
Kuna machawa wa CCM humu ni matokeo ya mimba kutungwa kwenye mambo ya namna hii na mikesha ya mbio za mwenge.
CCM ni baba wa uovu.
CCM ni laana.
Tiss ipo chini ya ofisi ya Rais miaka yote, labda wewe ndio ulikuwa hujui.Unaoyatarajia hayapo na hayawezekani kutokea
Maana tayar ofisi kuu ya idara isharudishwa ofisi ya raisi ikulu(kwa muswada uliopitishwa na bunge recently).
Kwa Sasa,
kuanzia watumishi WA idara Hadi familia na washirika WOTE wako under presidential surveillance 24hrs
(Fuatilia vzur reshuffle iliyofanyika hivi karibuni pale HQ,
heads wengi (almost wote) wametolewa uraiani na kuhamishiwa makazi mapya waliyoandaliwa na mom wakiwa na family zao, wamepewa gari mpya Hadi furniture mpya.
Majengo mengi ya gov yaliyokua ofsin za serikali baada ya kuhamia dom kuanzia posta had magogoni, state imeyachukua na staffs wengi WA idara ndo wamepewa kuishi humo.
Hivi unadhani mom, anawapenda Sana kitengo? Jibu ni hapana, amewasogeza karibu na yeye ili aweze kuwamonitor.
Wengi wao kwa Sasa, wako bugged to the teeth, na ukibainika unakengeuka, unashughulikwa underground, Hata KELELE hupigi.
Mom sio mtu wa misifa Wala kujikweza kama alivokua mshua, mom anakushughulikia afu anakausha like nothing happened. Hata ukitoka kushughulikiwa, unakufa nalo rohoni (husemi Wala kulalamika popote).
Yaliyotokea kwa nape na kinana kumteta jiwe behind lines ndo ilikua wake-up call kwa mshua kuanzisha move ya huo muswada wa kuirudisha idara ofs ya rais ikulu,
mom alivoingia na kuona upresdaa wake uko mashakani na unalegalega, akaamua kuupitisha mswada moja kwa Moja bila kupepesa macho.
Kwa sasa, hakuna kitu idara itafanya mama asijue, all heads Kwa sasa WOTE wanaripoti Kwa mother directly iwe foreign au domestic.
ndo umejua leo na ukitaka uwakune tishia useme hatutaki kuwa na vyama vya siasa tuunde mfumo usiokuwa na vyama.Ni wachumia tumbo, wanafanya kila kitu mradi wapige pesa tu.
Siwaamini wanasiasa kiukweli.
Unachanganya mambo, JWTZ wana kitengo chao cha usalama hawapo chini ya DGIS.Kiuwajibikaji, ndio kilikua office ya raisi.
Ila kiutendaji, kilikua kinasimamiwa na wizara ya ulinzi
Hii ilileta Sana contradiction, hasa katika kuunganisha utandaji na uwajibikaji ktk shughuli wazifanyazo tiss.
Maana Waziri WA wizara husika alkua Hana mamlaka yoyote Kwa watumishi WA ngazi za juu za tiss, na Mara kibao walivimbiana.
Hata bajeti ya tiss ilkua haitokani na bajeti ya wizara ya ulinzi, Bali ilitoka kwenye mengineyo ya bajeti ya ikulu.
Pia, Kuna watumish WA tiss walikua wanaripoti Moja Kwa moja kwa waziri ulinzi, na wengine Kwa mawaziri wengine kienyeji.
Yule mama aliyetoka pale ulinzi, aliruhusu uhuru WA manyani kwa maofisa wengi wa tiss, kias kwamba idara ya ulinz wa rais iliyumba Sana.
(Siri za ikulu zilivuja Sana)
Hii ilileta Sana shida
TISS yenyewe bado ina muundo wa kikomunist, yaani dola bado ipo kikomunist,kilichobadilika ni mazingaombwe ya demokrasiaNi CCM iliyobaki na muundo wa Kikomunisti, amoja na kwamba utendaji na utekelezaji wa mambo siyo wa kikomunisti, kama ilivyo kwa CCP (China Communist Party).
Kilichobaki sasa ni chama kinacholindwa na hao TISS na mitutu ya Bunduki dhidi ya vyama vya upinzani na waTanzania kwa ujumla.
CCP, hata siku moja hawaendi mitaani kuwahonga wananchi baiskeli na mifuko ya matakataka yenye picha ya Xi.
Communism is the highest stage of socialismπππKwa kuhamisha magoli sikuwezi.Anyways, ni aibu ya kukiri kushindwa tu ila nadhani umejifunza.
au wewe ndio Mwesigwa, nimekufutilia yaani toka mwanzo unamsifia gmhuyo jamaa, inawezekana mdio weweTabia ya ulawiti au uuaji inaweza kua ni sifa ya mtu flani,
Ila suala la kwamba ni sifa nzuri au sifa mbaya, inategemea na mambo kadha wa kadha:-
1. Itategemea mfanyaji analifanya Kwa maslahi ya nani. Kama Hayo maslahi hayakuhusu, laZima tu utachukia.
2. Wewe mpokeaji umelipokea Kwa mtizamo UPI, Kwa wanasiasa walio Wengi, mwesingwa kwao ni hero, mlio nje ya siasa hamuwezi kuelewa..
Kama hujui siasa za kikomunist zinaoperate vipii, utamchukia Bure mwesigwa au mtoa mada