Kuhusu Katiba Mpya: Hoja ya Rais Samia haina mashiko
Ndio, Hawa jamaa Mimi siwaelewi wanataka nini. Mama kaingia juzi tu ikulu amesema suala la katiba mpya tumpe muda kwann tusimpe huo muda anaotaka tungemuuliza tu unataka tukupe muda gani

Ni kweli katiba yetu ya sasa ina mapungufu kibao na ni zao la ccm lkn mama anakutana na makundi mbali mbali muda wa vyama vya siasa bado tungesubiri siku ya kukutana nae tuongee nae tumweleze wapi tulipokwama na ili twende mbele tuanzie wapi badala yake mnamtisha eti tutamnyoa kama tulivomnyoa mwenda zake mmmh hii Ni hatari
 
mama anaupiga mwingi kama jpm[emoji23][emoji23]
 
Kwani kuingia juzi unamanisha alikua ulaya,si alikua kiongozi wa TAIFA ili, alikuwa kiongozi wa Mchakato MPYA wa katiba ,Msimdanganye hata angeingia jana lazima kusonga na ajenda muhim za KITAIFA, kwamba wamanisha ata wateule wake wapya maofisn kwao wanaenda anza kazi na si kuendeleza pale walipoachiwa na watangulizi wao?

Sikia ccm mmekua na kiburi Sana , mazalau Sana kwa wananchi ,may be KWA sababu mmeona watanzania ni maboya, hamtaki sikia wananchi wanataka nini bali tu familia zenu zaishi vipi , madaraka kwenu limekua Jambo bora Sana kuliko TAIFA,

Kilicho baki nikuwachapa maombi MPAKA mtenguke viuno ila msife ili mpate adabu,subilini
 
Watanzania kwa umoja wao bila kijali itikadi za kivyama vyao walitoa maoni yao kwenye tume ya jaji Warioba kuhusu umuhimu wa kuwa na katiba mpya lengo likiwa kutaka viongozi kuwajibika kwa Wananchi wao.
Walitaka wawe na nguvu ya kuwachagua viongozi wao kupitia time huru ya uchaguzi na sio kuwa na viongozi wakuteuliwa kama CCM walivozoea kulazimisha ushindi.

Rai yangu kwa viongozi someni alama za nyakati kubalini matakwa ya wenye nchi yao hivo kubalini kuwapa katiba mpya .

Kwa hali ilivo hili swala halizuiliki Tena busara ni kuwapa Wananchi haki yao pia viongozi nawaomba muwe mnajifunza kwa mataifa mengine maana kupitia chaguzi Wananchi wameshaumizwa Sana hivo wamefikia mwisho wa uvumilivu.
Hekima na maarifa iwaongoze .
 
katiba mpya haiwezi kuwasaidia kujenga makao makuu ya chama

IMG-20210704-WA0079.jpg
 
Madai ya katiba mpya sio hitaji la kila Mtanzania ni hitaji la kisiasa kutoka kwa Chadema.

Mkibisha bisha, ila ushahidi ukihitaji nakupa.
 
Watanzania kwa umoja wao bila kijali itikadi za kivyama vyao walitoa maoni yao kwenye tume ya jaji Warioba kuhusu umuhimu wa kuwa na katiba mpya lengo likiwa kutaka viongozi kuwajibika kwa Wananchi wao.
Walitaka wawe na nguvu ya kuwachagua viongozi wao kupitia time huru ya uchaguzi na sio kuwa na viongozi wakuteuliwa kama CCM walivozoea kulazimisha ushindi.

Rai yangu kwa viongozi someni alama za nyakati kubalini matakwa ya wenye nchi yao hivo kubalini kuwapa katiba mpya .

Kwa hali ilivo hili swala halizuiliki Tena busara ni kuwapa Wananchi haki yao pia viongozi nawaomba muwe mnajifunza kwa mataifa mengine maana kupitia chaguzi Wananchi wameshaumizwa Sana hivo wamefikia mwisho wa uvumilivu.
Hekima na maarifa iwaongoze .
Chadema ndiyo wananchi?
 
Katiba ni hitaji la porojo za wanasiasa.
Mahitaji yetu wananchi ni maisha bora, maendeleo, huduma bora za afya, maji, shule, barabara, masoko ya uhakika ya mazao yetu, matumizi mazuri ya raslimali zetu, na mengine yanayofanana na hayo.
 
Ili hayo yote yapatikane katiba mpya utakua ni mwongozo mzuri Sana.Manake kiongozi atakae shindwa kuwajibika katika nafasi yake atajibishwa yeye.Iba Mali ya uma ufilisiwe na kufungwa ,Tunataka mifumo ya kiungozi na sio porojo Tena za wanasiasa wahuni.
 
Hili jambo si dogo kama tunavyodhani .

Mumewauliza wananchi kama wanataka Katiba mpya au wanataka uchumi? Wananchi wengi, tunataka uchumi, tupate mkate wetu wa leo na kesho, mambo ya Katiba ni yenu nyinyi wanasiasa, sisi wananchi bora mkono uwende kinywani. Hebu anzeni nyinyi wanasiasa muwaulize wananchi, hata kwa kupiga kura, kwenye maeneo yenu.
Huu sasa ndio unafiki kiwango cha sgr. Najua sio kwamba hujui umuhimu wa katiba mpya kwa mustakabali wa taifa letu. Watu wa aina yako ndio wanaisaidia ccm kudumaza nchi hii kwa miaka 60, kisa tu wanapewa pipi kama watoto
 
Back
Top Bottom