Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 8,442
- 10,464
Hawakutumia adhanaNdugu, naomba kama unaweza jibu hii...
Kama uislam ulikuwepo kabla ya Muhammad walikuwa wanaitanaje kwa ajili ya sala ikiwa tunaona kwenye Hadith Muhammad anajadiliana na wenzake kuanzisha adhana?
SijuiWalitumia nini
Kwa hiyo Uarabuni hakuna wakristo au😀😀😀Wakristo Mungu wetu anaitwa Yahweh sio Allah..... Biblia inayomtambua Mungu kama Allah sio Biblia ya wakristo hiyo
Walimuamini Mungu wa Israel YHWH,Tunawazungumzia manabii hapa, je wao walimuamini Mungu wa mbudha?
Kitabu chako kinasema hao manabii walikua wanakimbiza watu na majambia kuwatangazia dini ya amani?Ili ujijue kuwa umedanganywa au haujadanganywa kuhusu uislam
Taja dini za hawa manabii
1) Adam
2) Nuhu
3) Ibrahim
4) Isaka
5) Yakobo
Kwa hiyo na wakristo wa Uarabuni pia wanamuabudu Arab pagan godWalimuamini Mungu wa Israel YHWH,
Kumbuka Allah sio YEHOVA,Allah ni Arab pagan god
Sasa adhana ndo dini hebu lete hoja za maana aisee😀😀😀😂😂
Ndo ujue kwamba hakuna uislam kabla ya Muhammad.
Nimekuletea ushahidi wa Biblia ya kiarabu bado unabishaWapo ila hawatumii jina la Allah...
Jew gani alinzisha Uislam?Sasa hao waisrael au wayahudi Jews mitume mbona mwawachukia tena Yani dini ya muarabu wenu ilianzishwa na Jews halafu Leo mnapambana na Jews.
Hata ukristo nao ni wa karibuniUislamu ndio dini ya karibuni zaid kati ya dini maarufu duniani
View attachment 3524480
Kwenye Qur’anKuswali Ijumaa mmekutoa wapi?
Nimeweka screen shot hebu itafsiri hiyo Aya kama itakuja jina Allah. Ni Aya hiyo hiyo uliyonipa weweNimekuletea ushahidi wa Biblia ya kiarabu bado unabisha
Aya lete wewe Biblia ya kiarabu tuone wanatumia Jina gani kumuita Mungu
Hii inathibitisha alikuwa ni Mtume maana alitumwa na Mungu.Kwa kuwa nimewapa ujumbe ulionipa, nao wameupokea. Wamefahamu hakika ya kuwa nimetoka kwako na wameamini kwamba ulinituma
Sasa Allah si hiyo au😀😀😀😀Nimeweka screen shot hebu itafsiri hiyo Aya kama itakuja jina Allah. Ni Aya hiyo hiyo uliyonipa wewe