Kutulia na mwanamke mmoja ni kati ya discipline kubwa ambayo wanaume wengi hatuiwezi

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] so akizingua tuu unatafuta side chick

Sent from my SM-N920C using JamiiForums mobile app
 
Kujiendekeza maana yake nini? Hivi huwa mnadhan kuwa na one woman is an esay task?
Its a kind of udhaifu au uoga au uvumilivu.

Sent from my SM-N920C using JamiiForums mobile app
 
Ninashuhudia kwamba mwanaume kuwa na mwanamke mmoja ni kujitafutia kifo cha mapema ,serious mmoja kweli lahaula la kuta kama roho!!? Utafeli mi nilijaribu ila nikafail mapema mno izi papuchi za kimasihara ziliniponza
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanasema unajiendekeza!

Sent from my SM-N920C using JamiiForums mobile app
 
We ni me au KE? wapo wanaooa na bado wana side chicks, ni ele tu tunatofautiana ktk kuficha siri

kuna mitihani either ukubali kushinda uaibike au ushindwe
 
Herini kwa sikukuu ya familia takatifu ya Yesu, Maria na Yoseph.
 
Huwa sipendi kero za reja reja[emoji28] kama utashindwa kuishi kama mpenzi wangu basi usitegemee miujiza. Hilo sharti ni jepesi mno.
Bado hujaoa... ukioa utakutana na mambo mengine mengi mzeee tegemea excuse zakutosha.

Utaambiwa uvumilie na uache kujiendekza

Sent from my SM-N920C using JamiiForums mobile app
 
Bado hujaoa... ukioa utakutana na mambo mengine mengi mzeee tegemea excuse zakutosha.

Utaambiwa uvumilie na uache kujiendekza

Sent from my SM-N920C using JamiiForums mobile app
Ntafurahi sana maana matokeo ya kuacha kujiendekeza yatakuwa mazuri sana!😅 Wapo wanawake wengi tu ambao wanajitambua mbona ntaruka nao kimya kimya.

Wengine mbunye sio ishu ya kila siku ila ukihitaji unaitaka kwa wakati. Mwanamke analiwa mara moja kwa week na bado aniletee ungese wa namna hio atafurahi!
 
Kuwa na mwanamke mmoja unajitengenezea ugonjwa mbaya unaitwa oneitis,,hapo ndio utajua hujui....wanaume wote walotulia na mwanamke mmoja basi walikuja kujuta
Hehehe my one and only. Anakuja kukubonda na likitu heavy kichwani
 
Hii issue ya kuwa na side check ni hatari kiroho na kimwili. Wanaume au wanawake wengi hawafanikiwi kwenye ulimwengu wa roho na baadaye ku manifest mwenye mwili hasa kwenye shughuli za uzalishaji na kazi. Kutembea na mwanamke au mwanaume mwingine kiholela unaingiza maroho ambayo yanaleta mikosi kwenye maisha yako. Adam alipomjua hawa tu, alianza kuona mema na mabaya. Kiroho mikosi mingi unayoipata sio wote utokana na roho ya ukahaba kwani sio wanaume au wanawake wote ni salama hasa ukishafunga pingu za maisha.

Nawashauri wanandoa wajikite kwenye shughuli za kufikiria maendeleo na sio papucha tu.

Chrismas njema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…