HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Ndo maisha yalivyoKwa heshima yako nasitisha. Ila mzee nimeoa kila mtu anajua sijawahi fanya hili swala siri na hata kuna watu wameshawahi zungumza na mke wangu hapa.
Mfano Mwachiluwi juzi kanipigia akaanza kumwambia wife mimi ni mtu wa mademu humu. Kaniachia kesi wakati si kweli. Nimemmind kinyama huyu jamaa ni fala kabisa[emoji35][emoji35][emoji35]