Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Hujui usemalo na ukae mbali nami😂😂😂Ungenijua ungejua sio rahisi kama unavyodhani.🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujui usemalo na ukae mbali nami😂😂😂Ungenijua ungejua sio rahisi kama unavyodhani.🤣
hahaha ukisikia kubwa zima linadanganyika hapa ndio maana yake😀Huu ufala wangu kuna mtoto wa mtu hajiwezi kwangu acha kabisa.
Nikikohoa anasema ni yako peke yako baba🤣🤣🤣
Na kweli wewe ni kubwa jinga aka Faller zito😂😂😂hahaha ukisikia kubwa zima linadanganyika hapa ndio maana yake😀
unaonaje mshamba_hachekwi? unaamini ni kweli?
🤣🤣 haya majungu unafaa kuwa katibu uenezi CCMMangi gani huyo?
Alimshindwa Clepatina 😂😂😂
Nyie wachaga HAMKO ROMANTIC kama wakurya😂😂😂
nishawah kusema kati.ya mbuzi choma na mbususu nachagua mbuzi nyama choma😀Na kweli wewe ni kubwa jinga aka Faller zito😂😂😂
Wewe ni mtoto laini ukaongezea mabeno supavilaini?🤣🤣🤣 haya majungu unafaa kuwa katibu uenezi CCM
nishawah kusema kati.ya mbuzi choma na mbususu nachagua mbuzi nyama choma😀
Kwa hiyo ndio unalia lia hapa unaona chombo unaibiwa🤣Nikwambie ukweli?
Ni X GF wiangu
Uliza lingine.
Nilishwambia kuwa unapotaka kulala mimi nimeamkia huki hukunielewa?😂😂😂
Unajua maana ya X?Kwa hiyo ndio unalia lia hapa unaona chombo unaibiwa🤣
basi nimekuachia endelea nacho ngoja nipite kule na mtoto mmoja mzuri😀
mshamba_hachekwi naomba ufikishe taarifa kwa Glenn huu ndio ulaji wangu wa kuku😀😀😀Unajua maana ya X?
unataka niwe chawa wako??😂 na mi nna hela ujue😂mshamba_hachekwi naomba ufikishe taarifa kwa Glenn huu ndio ulaji wangu wa kuku😀😀😀View attachment 2629151View attachment 2629152
sijasema huna hela unazo sana😀😀😀😀unataka niwe chawa wako??😂 na mi nna hela ujue😂
na mimi ni supervillain 😂sijasema huna hela unazo sana😀😀😀😀
Maneno mawili tu KA-TAMrs Lissu sijawah kukulaumu hata siku moja mume wako yuko ubelgiji wewe uko Dar. Najua kama familia lazima ufanye maamuzi magumu😀
haha wa kibosh huko🤣na mimi ni supervillain 😂
GilyKwa heshima yako nasitisha. Ila mzee nimeoa kila mtu anajua sijawahi fanya hili swala siri na hata kuna watu wameshawahi zungumza na mke wangu hapa.
Mfano Mwachiluwi juzi kanipigia akaanza kumwambia wife mimi ni mtu wa mademu humu. Kaniachia kesi wakati si kweli. Nimemmind kinyama huyu jamaa ni fala kabisa😡😡😡
Futa hii kauli..jidanganye...Mwanaume haandaliwi kuwa Mume hata siku moja
Are you sure?😂Labda anamtaka