Let's wait till you get 40 hivi ili at least afike chuo😀
ukija home kunisalimia ushindw kutongoza sio kuwa nakupa anakufata🤣🤣🤣 hapo utongoze mzee
Hahahaaa! Yani from 35yrs now you’re saying 40yrs...you not serious Buddha 😂😂😂
 
Let's wait till you get 40 hivi ili at least afike chuo😀
ukija home kunisalimia ushindw kutongoza sio kuwa nakupa anakufata🤣🤣🤣 hapo utongoze mzee
Kutongozwa huwa siogopi mzee nimeshatongozwa sana na wanawake wengi kweli hadi machoko as I can say and still am cool and humble guy at all!
 
Kutongozwa huwa siogopi mzee nimeshatongozwa sana na wanawake wengi kweli hadi machoko as I can say and still am cool and humble guy at all!
Leo nakusamehe simuiti. Go take bath with salt water 😀

first time natongozwa na choko lq kizungu nilikosa uzingizi sikuwez kula week mbili niliona gundu and that was when I was in form six
Nilienda Beach kuoga😀
 
Hahahaaa! Yani from 35yrs now you’re saying 40yrs...you not serious Buddha 😂😂😂
Still my sister is young unataka kunijaribia dada yangi😀

mimi ni shemeji mzungu hata nikukute na demu bar simwambii sister 😀 siingilii mapenzi ya watu kabisa
 
Leo nakusamehe simuiti. Go take bath with salt water 😀

first time natongozwa na choko lq kizungu nilikosa uzingizi sikuwez kula week mbili niliona gundu and that was when I was in form six
Nilienda Beach kuoga😀
Hao nakutana nao wengi sana wanavaa pulets nyeusi sikiono hata jana baada kupigwa kibuti na Clepatina nileenda sehemu kurestoo my brain somehow basi akaja mtasha flan hivi karibu na meza yangu kuomba kampani...😂😂😂😂yaliojiri sasa heavy broh!😂😂😂
 
teh teh 😀I tell you watch the legs. Hapo ndio utajua kuwa ametumika kiasi gani. Women legs tell its all 😀
and don't pick em bitches wana vigundu hatari. In my entire life never picked them up and I will die picking no hoes 🤣

hapo ni wewe unasubiri kuoa😀 na maua yako...
 
Hoja yangu siyo mwanamke kukubali au kukataa pale anapotongozwa, hoja yangu ni wanaume kulalamika kwamba siku hizi wanawake hawajitunzi ilihali hata wao hawako tayari kujitunza na ndio wanaowachezea hao wanawake, reality is reality and perception is perception hili ni suala la objectivity na siyo subjectivity
 
Jadda mrembo mwenye sura ya baba na hupendi kabisa kuwa karibu na wenzio😂😂😂 hivi huko mbeleni hutakuja kuwa singo maza kweli!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…